jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Tunajuwa kuwa STD stands for sexually transmitted disieses.....HIV AIDS ni the same...Lakini kuna maeneo mengi tu duniani ambapo ni sindano za madawa kama heroin zinasambaza virusi hivyo kwa kasi.
Mimi nataka kujuwa kama STD inayojadiliwa hapa inaweza kuenezwa kwa njia ya tofauti zaidi ya sexual intercouse.
Mwanjelwa alipotowa mfano wa kipindundu nilimwelewa kuwa kipindu pindu ni ugonjwa unaosababishwa na uchafu licha ya kwamba huwa haisemwi hivyo.
Je ugonjwa huo ambao inawezekana mabinti wanau mistake na hamu ya kufanya mapenzi unaweza kuwa spread bila muingiliano wa kimwili?
If thats the case then Mwanjelwa nitakuelewa zaidi...Kama sivyo basi nitaelewa ulimaanisha kuwa hayo maji machafu nk ni facilitators na na si transmitors.
Naomba muendelee kutoa darasa.