Dodoma mpo.!??

Aahh umekuja siku mbaya Jumatatu?..unajua wengine ni security guard siku za Jumatatu mpaka jtano tupo kwenye shift...Ila bata nzuri ulizia Club 84 siku ya Alhamis..au kula kuku chako ni chako halafu malizia na gambe Cafe latino
 
Du si
Mchezo dom kuna cafe latino?
 
Aahh umekuja siku mbaya Jumatatu?..unajua wengine ni security guard siku za Jumatatu mpaka jtano tupo kwenye shift...Ila bata nzuri ulizia Club 84 siku ya Alhamis..au kula kuku chako ni chako halafu malizia na gambe Cafe latino

gambe Cafe latino iko maeneo gani plz najua inayo2pikia chakula kibichi huku UDOM? Nataka nikapunguziamo stres za UE!
 
Usiku kunauzika vinywaji vyenye rangi..maeneo ya maisha club mbele kidogo mkono wa kushoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom