DODOMA Makao Makuu Kimaandishi-AtHari zipi Dar Es Salaam!!

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
:car::car::car::car::car::car::car::car::car::car::car:


HIVI KWELI HAWA VIONGOZI WANAFIKIRI VIZURI :A S 109:
  • NIMETOKA KWANGU SAA 11.30 ALFAJIRI NAINGIA OFISINI SA3;30 ASUBUHI
  • NAJIANDAA KUONDOKA OFISINI SAA8.30 MCHANA ILI JAPO NIFIKE HOME SAA 1USIKU
  • YAAANI DAILY NIKO FULL FATIQUED(UCHOVU WA KUPINDUKIA):A S-confused1:
 
Nigeria took only 2 years to shift from Lagos to Abuja. Tanzania is still talking about shifting to Dodoma since Mwalimu's era!
 
  • DANADANA NYINGI KWENYE MASUALA YA MUHIMU MATOKEO YAKE WENGINE WANAOVATAKE
MFANO: KIGALI-RWANDA
  • ISHU HII YA KATIBA IMEANZA LONG TIME LATE 1980's na CONSTRUCTION REFORM PARTIES vimeingiliwa na mchwa wa Chama tawala MATOKEO YAKE Wengine wameovatake-MFANO: KENYA:bounce:
WATUNZANIA MPO!
 
Watu hujifunza, lakini serikali haijifunzi.
Mungu awasamehe maana wanakula kodi zetu kila mwaka kwa udanganyifu wa kuhamisha makao makuu.
 
Back
Top Bottom