Dodoma Kata ya Chang'ombe ni mvutano

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
13,370
11,088
Mpaka sasa hivi saa 4:00 asubuhi hali ni Chadema 857, CCM 1146 ntawajuza
 
mbona kama sikuelewi?! kwani bado kura zinahesabiwa?! Si mshindi wa kata hiyo tayari anajulikana?! mvutano wa nini na utatujuza nini?
 
Huko dodoma nadhani somo bado halijaeleweka vizuri.. M4C ikapige kambi pande hizo kuanzia mjini mpaka mtera kwa mzee wa matusi bila kusahau mpwapwa, Bahi na kwingineko.. sijui wana dodoma wana matatizo gani?
 
Dodoma tunaomba operation ondoa woga watu wajitambue, wafanye maamuzi kuleta mabadiliko ya maendeleo

subiri mwezi wa nane mwaka huu kuna mbunge wa mtera atakufa kwa kifo cha ajali mbaya ya gari ambapo itapelekea kufanyika kwa chaguzi ndogo.
Hakika dhahiri shahiri elimu ya ukombozi wa fikra kwa wagogo inahitajika kwa kila namna.
 
Hapana, huu si utabiri mzuri,sikubaliani nao.futa kauli yako mkuu.
Adui yako muombee NJAA na si KIFO
Nafikiri umenisoma.
 
Kura miatatu bado ni nyingi. Dodoma bado imeshikwa na chama tawala tunaomba CDM itumia kete ya Elimu juu ya maoni ya katiba mpya kuivamia Dodoma yapaswa pawe ngome yetu kama Mwanza,Mbeya, Iringa, Arusha, na Mara. Dodoma kuna wasomi sasa jamii yaweza badilika. Kadhalika Morogoro wale jamaa kama wakifungiwa kazi pmj tutashinda.
 
subiri mwezi wa nane mwaka huu kuna mbunge wa mtera atakufa kwa kifo cha ajali mbaya ya gari ambapo itapelekea kufanyika kwa chaguzi ndogo.
Hakika dhahiri shahiri elimu ya ukombozi wa fikra kwa wagogo inahitajika kwa kila namna.

Duh!Mkuu yamekuwa hayo tena!Siyo utu huo tuacheni siasa iitwe siasa na ubinadamu ubaki palepale.
 
Huko dodoma nadhani somo bado halijaeleweka vizuri.. M4C ikapige kambi pande hizo kuanzia mjini mpaka mtera kwa mzee wa matusi bila kusahau mpwapwa, Bahi na kwingineko.. sijui wana dodoma wana matatizo gani?

Si kwamba somo halijaeleweka .........bali CDM haijaweka nguvu za kutosha.............maeneo hayo ya dodoma.........kama arumeru walimchagua mgonjwa Sumari.....bila hata kupiga kampeni lakini baada ya nguvu za kutosha CDM imeshinda ujue tunachotakiwa kufanya ni kipi. Tusambae hadi vijijini
 
CCM polisi ndo shida pale. Kila mikutano inayoitishwa hufutwa hatua za mwisho.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom