Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,344
Ubora wa Kenya ungeonekana kwa Westgate
ubora wa France ungeonekana Paris
ama Nice wakati watu 123 na 81 waliuliwa na terrorist
ubora wa UK ungeonekana pale kwa tube zao wakati terrorist waliuwa watu 200+
ubora wa uturuki ungeonekana
istanbul
Gaziantep
Ankara
wakati terrorist waliuwa watu 245,50,23
mtakaa hapo mkisema westgatr oooh ahhh jaribuni kuigeuka Kenya mtaupokea ubora wetu toka majini hewani na on the ground
Kenya air force will make Dar a quarry within hours
saio Kenya navy will be marching toka kwale iki toanisha
Tanga na Bagamoyo
kenya army will March toka namanga hadi dodoma bado hamtajua kilicho wapiga we have more tanks than Tanzania
about 300 tanks Tanzania ziko 78 hehehe mtajuta Somalia sio Tanzania!!!