Documentary ya KDF

Mbwembwe nyingi ufanisi Zero.
Vifaa wanavyo tatizo morali wa kijeshi hakuna
Umepost after 5 minutes, na documentary yenyewe ni 26 minutes. Come polepole, bro.

kdf.jpg
24516582312_d4d527fd60_k.jpg
kdf-in-kismayo.jpg
1279073.jpg
 
Nice documentary and my first post..new to the forum
Today is the day we begin to learn to look through the eyes of others; to find out and experience what the world is like for them. It is also the day we grow bigger than our differences and offer to everyone regardless of historical rights and wrongs, a friendly welcome, an outstretched hand in JF by the way what is your gender?
 
Thanks..I have learnt a lot on day two here on JF...I am a man since you asked about my gender..
 
Mbwembwe nyingi ufanisi Zero.
Vifaa wanavyo tatizo morali wa kijeshi hakuna

Motochini, salam.

Hili jeshi la wauza mkaa halina kitu. Documentary gani ya kijinga eti watu wako rehearsal wanakimbia kimbia hovyo bila mpango.

Jeshi ni ni ushindi vitani na majeshi yaliyo tukuka, pia ushindi kwenye operation za kweli.

walipata nafasi ya kuionesha dunia in westgate mall, matokeo yake yaani ilikua aibu kubwa sio kwa kenya pekee ila kwa bara la Afrika, wanatakiwa watuombe radhi. Yaani wanajeshi walikuja na APCs, kweli? APCs za nini pale? Pia walikuwepo polisi, na Wale mabwege wakuitwa sijui GSU, mmoja wa hawa mbulula alitandikwa risasi na mbulula mwenzake ndani coz kila team ilikua ndani yaani ilikua chaos.

Chakushanga na kustaajabisha, mwanajeshi wao alikuja na RPG, haaa! Jamaa nliokua nao waliuliza wanaenda kuokoa innocent people or kuwaua? Yaani ilibidi nijitete maana nlikua nje ya bongo. Hii yaonesha jeshi lao lilivyo na vila'za wengi.

kwenye attack ya university wanafunzi waliuawa wengi mno, ila jamaa hawaishi vituko na ujinga, walikuja mpaka na Main Battle Tanks, haaa! Za nini? Yaani mnapigana na watu wenye AK47 na vifaru? Ndio hata Somalia, ni Jeshi pekee lililo huko likitumia ndege za kivita, meli za kivita likikabiliana na kikundi kidogo cha waalifu wenye silaha duni, wanao tegemea kuuza mkaa wanunue chakula. Kikundi cha waalifu cha al Shabab kinacho tumia mbinu za kigolola.

Wakae nairobi watafune miraa, mambo ya kivita si inshu zao.
 
Surely true, hawa wakenya hawana ujuzi wa kivita kabisa lakini mbwembwe kibao
 
Back
Top Bottom