Doctors tukutana hapa JF kama DonBosco, Starlight haiwezekani

Hallow Doctors
Kwakuwa ulimwengu wa technolojia umekuwa, sio lazima kukutana Don Bosco wala starlight, njooni tupeane updates na kuzungumza yanayotuusu na jinsi ya kuendeleza vikao vyetu mpaka kieleweka hapa JF. kama huna account ya JF tengeneza plz

Twende kazi

Fully supported.

Twende kazini!!
 
Mikono yenu imejaa damu za watz masikini wasio na hatia, mlaaniwe nyie na vizazi vyenu pamoja na wote wanaowasapoti.
 
kuweni na mshikamano ndug madsktsri msitishiwe na kauli za pinda kwa ni hata yeye amekosa mwelekeo...... hakikisheni haki yenu inapatikana ha iwezekani wao wajiongezee halafu wengine wazidi kukabwa na maisha lazma safari hii kielewekeeee.....wana madaktari wangapi wa wanajeshi na mapolisi? Naomba niwakumbushe kitu maana ya mgomo kuisha ni kutimzwa kwa mmadai yenu na siyo vinginevyooo...
 
Mikono yenu imejaa damu za watz masikini wasio na hatia, mlaaniwe nyie na vizazi vyenu pamoja na wote wanaowasapoti.
Daima Ukitaka kuonekana mbaya dai haki yako!
Utaambiwa kila lugha!...mara mikono yako imejaa damu, mara msaliti...!huh!
 
Niko busy na wagonjwa hapa Amana nikimaliza nitaingia kikamilifu JF, mliopo endeleeni na mjadala.... nitawajoin baada ya saa za kazi!
 
Mikono yenu imejaa damu za watz masikini wasio na hatia, mlaaniwe nyie na vizazi vyenu pamoja na wote wanaowasapoti.
Hujui usemalo; damu imetoka wapi hapa kwani wamemwua mtu hawa?. hawajawafanya watu waugue, wale wapate ajali useme wao ndio chanzo cha matatizo yao. Mkuu tumia kichwa kufikiri ukifikiri kwa kiungo kingine lazima utasema unayoyasema.
 
Niko busy na wagonjwa hapa Amana nikimaliza nitaingia kikamilifu JF, mliopo endeleeni na mjadala.... nitawajoin baada ya saa za kazi!

dah mie sio daktari....lakini wewe kwani ulisomea wapi udokta wako? inaweza kabisa kuwa ndio mnaokata miguu ya wenzenu badala ya kuiunga wakipata ajali
 
Daima Ukitaka kuonekana mbaya dai haki yako!
Utaambiwa kila lugha!...mara mikono yako imejaa damu, mara msaliti...!huh!
Wamejaa damu mikononi na wamesaliti wananchi wanyonge, pigeni porojo zenu lakini ukweli utasemwa tu,.
 
LAANA HII IKURUDIE WEWENA KIZAZI CHAKO NA SERIKALI YA JK

MASABUrI NYIE

At least masaburi yanakuwezesha kukaa vyema kuliko madaktari uchwara waso utu..na bahati mbaya sana uoni wako ni finyu na kudhani aliye kinyume na mgomo wa madaktari anasapoti serikali..akili matope kabisa hizi.
 
Hujui usemalo; damu imetoka wapi hapa kwani wamemwua mtu hawa?. hawajawafanya watu waugue, wale wapate ajali useme wao ndio chanzo cha matatizo yao. Mkuu tumia kichwa kufikiri ukifikiri kwa kiungo kingine lazima utasema unayoyasema.
Wewe ndio utumie akili, maana upo completely out of touch na ninachokizungumzia. Bahti mbaya sipo hapa kutoa ufafanuzi wa posts, kaa huelewi bahati mbaya sana.
 
Mikono yenu imejaa damu za watz masikini wasio na hatia, mlaaniwe nyie na vizazi vyenu pamoja na wote wanaowasapoti.

heri ya mikono iliyojaa damu kuliko mioyo iliyojaa dhuruma na ukiziwi kwa maana mikono inasafishika lakini mioyo itakufa na mwili wake na nafsi yake yenye choyo na dhuruma. songeni mbele madokta haki itapatikana kwa kuwa kadili mateso yanapozidi basi ujue neema ipo karibu najua wengi watabeba msalaba wa wenzao lakini heri ufe ukiwa shujaa kuliko kuishi ukiwa mnyonge na mwoga
 
hujui usemalo; damu imetoka wapi hapa kwani wamemwua mtu hawa?. Hawajawafanya watu waugue, wale wapate ajali useme wao ndio chanzo cha matatizo yao. Mkuu tumia kichwa kufikiri ukifikiri kwa kiungo kingine lazima utasema unayoyasema.

haya yote yamesababishwa na mfumo mbaya wa mishahara,

mfano,mbunge 200,00/- per day kwa mwezi 6 milion hii ni posho tu bado mishahara,wengine kama walimu
ni sh,150,000 kwa mwezi,hivyo walimu na madokta mna haki ya kugoma
 
heri ya mikono iliyojaa damu kuliko mioyo iliyojaa dhuruma na ukiziwi kwa maana mikono inasafishika lakini mioyo itakufa na mwili wake na nafsi yake yenye choyo na dhuruma. songeni mbele madokta haki itapatikana kwa kuwa kadili mateso yanapozidi basi ujue neema ipo karibu najua wengi watabeba msalaba wa wenzao lakini heri ufe ukiwa shujaa kuliko kuishi ukiwa mnyonge na mwoga
Sijui unaongelea nini? labda niseme, mimi nazungumzia loss of lives of poor wananchi due to negligence & love for money by our beloved doctors.
 
Back
Top Bottom