Doctor na wagojwa wa akili 4

filonos

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
647
137
katika hospital 1 ya wgojwa wa akili doctor alikua anataka kuwa ruusu wale nafuu waende ili wabaki wale hawajiwezi maojiano yalianza ivi Doctor ailchola picture ya mlango pale ukutani theni akataka kujua nani yupo OK. .haya NYOTE tokeni inje muende kwa nyumba sasa wote wakawa wanagombania kupita pale kwenye mchoro wa mrango lakini mmoja akawa ameturiatu huku anacheka Doctor akamuuliza wewe mbona hauwendi? yule akajibu nawashangaa hawa vichaa wanagombea Mlangoni wakati ufunguo ninao mimi ?? duu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom