Doctor na mwalimu nani wa kuongezewa posho?:masanja times fm;

nanchi

Member
Jan 29, 2012
66
7
Kuna mada inayo ongozwa na masanja times FM.masanja anasema doctor ndio muhimu kuliko mwalimu.je ukweli uko wapi wakati bila mwalimu hakuna wasomi?mi naona kwa wakati huu ni doctor coz imesha kua dharura.ila mwalimu best.
 
wote wapate malipo stahili kwa umuhimu wa taaluma zao. Na hii haina maana kwamba ENGINEERS mkae kimya.

EVERYBODY WAKE-UP!!!

You sleep, they forget you, your kids lack good education & health care, you all die poor, they take what's rightfully yours.

So, blame nobody.
 
Ukiwa na watangazaja wenye upeo mdogo hawaachi kujidhihirisha kwa mada zao ktk vipindi au michango yao.

Ukimuuliza, nini makusudi ya mada hiyo? Majibu yake aibu. Ukimuuliza unafikiri watu wenye ufahamu mkubwa wanaweza kupiga simu na kutoa michango yao? Majibu yake utachoka.
 
Back
Top Bottom