doctor cheni!utunzi wa filamu huweezi baki tu kuwa mwigizaji!!!!!

faithful

JF-Expert Member
Aug 10, 2010
378
33
wadau nimetazama filamu moja ya kibongo inaitwa one by one yaani dhamira ya mwandishi haieleweki haileweki!nikagundua ameitunga cheni anaejiita doctor.inaonekana jamaa hata ile general knowledge ya fasihi hana.ni kama hadithi kumi ndani ya stori moja na hazina mwanzo wala mwisho!
nashauri wasanii wa kibongo wanaopenda kutunga story wapate mafunzo kidogo wasikurupuke!!!!!
watafute japo vitabu vya fasihi wapate utaalamu kidogo,watazame na tamthilia na filamu za nje wajifunze toka kwa wenzao.au utunzi wamwachie shigongo,sultani tamba,chuzi na musa banzi wao wawe waigizaji tu
kinachokera kingine unakuta mtu amelala na mumewe huku wamevaa mataulo ya guest hivi wanashindwa kujua yale ni mapungufu?au kuna watu huwa wanalala na mataulo?
 
Mkuu at least wewe unajaribu hata kuangalia hizo filamu. Mpaka sasa inaonekana ni Mzee Jongo (Ibrahim Raha) ndiye aliyeweza kuwa mcheza filamu mahiri hapa Tanzania. Kuna wengine walijaribu kiasi (Bishanga na wenzake), lakini toka hapo na kuendelea ni zero zero zero. Kuna matoleo mengi tu ya filamu za nje unaweza kuangalia kwa bei rahisi sana.
 
plus wasanii wa enzi za kina majuto
 
plus wasanii wa enzi za kina majuto

majuto nae Komedi zake ni za miaka ileile story za tangu DDC kibisa mpaka leo, alafu mara nyingi naona anashindwa kujua kwamba ile ya Audio na hii ya Visual ni vitu viwili tofauti
 
majuto nae komedi zake ni za miaka ileile story za tangu ddc kibisa mpaka leo, alafu mara nyingi naona anashindwa kujua kwamba ile ya audio na hii ya visual ni vitu viwili tofauti

kwani majuto yungali katika game..?! Hajakaa benchi
 
Back
Top Bottom