kookolikoo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 2,750
- 594
Tusubiri tuone hatma ya yote.
wizi na siasa uchwara vitaimaliza ccm
Awali, Profesa Mahalu akijibu maswali ya Wakili Mgongolwa, alisema kuwa Februari 19, 2006 alipigiwa simu na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na kumwarifu kuwa kesho yake anatakiwa afike Dar es Salaam kwa ajili ya mashauriano.Alidai kuwa alimwambia kuwa kesho yake isingewezekana kwa sababu ilibidi ajiandae, ndipo akaambiwa kuwa Februari 21, awe amefika.
Alidai kuwa majira ya alasiri kama saa 10:30 ya Februari 21 alikuwa ameshafika ofisini kwa Kaimu Katibu Mkuu, Balozi Patrick Mombo ambaye alimpa barua ya utenguzi wa uteuzi wake kama Balozi nchini Italia iliyokuwa imeandikwa siku hiyohiyo ya Februari 21, 2006.
Profesa Mahalu alisema kuwa alishangaa maana hakuwahi kuwa na jambo la kusababisha uteuzi wake kutenguliwa na kwamba alipomuuliza Mombo alimjibu tu kuwa ni agizo la Rais.
Nackia huyu ni vice chancelor wa chuo cha bagamoyo,na vice chancelors ni wateule wa raisi,inakuwaje wakati wana bifu??
Nackia huyu ni vice chancelor wa chuo cha bagamoyo,na vice chancelors ni wateule wa raisi,inakuwaje wakati wana bifu??
kile cio chuo kikuu cha serikali so chancellor wake sio presidential appointee kama public varsities!
Kwa Taarifa yako, Bagamoyo University si chuo kikuu cha serikali! Kwa hiyo Vice Chancellor wake hateuliwi na RAIS.