Do You Support Gay Rights In Tanzania?

humu ndani kuna vitu viwili vinachanganywa.....
'gay rights' ambazo ni 'human rights'
na 'gay culture'

unaweza kupinga gay culture bila kupinga 'human rights' kwa gays...

mimi sisapoti wanyanyaswe wala kuteswa au kunyimwa haki za msingi za kibinaadamu

but sisapoti 'gay culture' au ndoa zao......
 
Personally, I really don't care what two consenting adults do in the privacy of their bedroom. Why should I care? Aren't they over 18 years old? I think as a nation we have our priorities misplaced. We should be fighting vices like Ufisadi, Aids, Poverty, and Ignorance instead of wasting our energy on grown ups who want to do whatever with their own bodies in their own bedrooms!

Remember you may hate gays and lesbos today but your own son or daughter may just grow up to be one of them
Boflo amka, gays hawana future, wanaume/wanawake wanapo-oana wenyewe kwa wenyewe wanaweza kuzaa mtoto? Au Adam angekua shoga wewe na mimi tungekuwepo? Ushoga haufai kabisaaaaaaaaaaaa!!!!!!. Khaaa!!!
 
Iko shida kichwani kwako!!!! na mijitu yenye mawazo hii itakuwa nayo inafanya huu ujinga, hemu sitaki kusikia hii mambo, natafakari tu possible ways Lema anaweza kutoboa
 
humu ndani kuna vitu viwili vinachanganywa.....
'gay rights' ambazo ni 'human rights'
na 'gay culture'

unaweza kupinga gay culture bila kupinga 'human rights' kwa gays...

mimi sisapoti wanyanyaswe wala kuteswa au kunyimwa haki za msingi za kibinaadamu

but sisapoti 'gay culture' au ndoa zao......

Umesema vizuri Boss!
 
I will never support them

Na Zaidi sana Tuombe Mungu Atuepushe na Hayo maana kwa nguvu zetu Hatuwezi
Ni Kwa Neema Ya Mungu Utayashinda Magumu haya
 
humu ndani kuna vitu viwili vinachanganywa.....
'gay rights' ambazo ni 'human rights'
na 'gay culture'

unaweza kupinga gay culture bila kupinga 'human rights' kwa gays...

mimi sisapoti wanyanyaswe wala kuteswa au kunyimwa haki za msingi za kibinaadamu

but sisapoti 'gay culture' au ndoa zao......
Asante saaana Bosi, msingi wa swali langu uku wa kwanza kabiaa nilitaka kusikia mtazamo na uelewa huu...

Thanks once again!
 
nakubalina na Konie pamoja na NN...huwezi kumkana Gay hasa akiwa ndugu yako..mimi nina Ndugu yangu tena baba yake ni Tajiri mkubwa tu hapa town lakini Gay...na jamaa yuko vzr sana kichwani...najua watu huwa wanashangaa sana wakiniona niko naye na akija home kunitembelea ...lkn nafanyaje wakati ni ndugu?....ishu ni kuwasaidia ingawa ngumu kdg...na mbaya zaidi atokee mtu akuambie kuwa yule jamaa ndio anatoka na Ndugu yako Gay...kudadek...ilinitokea pale coco beach...nilimuona huyo ndugu yangu katika gari anakiss na Mchizi.....
 
u.s.e.n.g.e kwa tamaduni yoyote haukubaliki. mwanangu akifanya hivyo namwakyembe fasta na kwakuwa si mh. basi atafia mwananyamara hsptl kimya kimya.
 
Kiongozi wao ni somebody Wandera. kutwa anaandika ***** ku support magay kwenye wall ya FB. Hata kama ni njaa hii imefikia kikomo.
Ukiwa na mtoto gay, lakufanya litakuja hapo utakapojua, kwa sasa kuanza kusema nita.... nita.... ni kutudanganya.

Mleta mada anaitwa Boflo.. Ambapo ni jina jingine kumaanisha mkate.. So ye mwenyewe ni chakula ya watu. Lazima awatetee magei wenzie.. Ushindwe na ulegee peleka mada zako huko kwenye mikutano yenu mnayofanyaga na waganda na kufadhiliwa na kamerun ili muunde asasi yenu ya kuwatetea.
 
usiseme hivyo, ni maneno makali sana haya. kuna mama namfahamu aliwahi kuapa kua mwanae akiwa gay atamuua. huwezi amini mwanae ni gay na hakumuua. aliumia sana, akapata presha, lakini sasa kazoea hali anauguza presha yake aliyopata sababu ya mtoto.

u.s.e.n.g.e kwa tamaduni yoyote haukubaliki. mwanangu akifanya hivyo namwakyembe fasta na kwakuwa si mh. basi atafia mwananyamara hsptl kimya kimya.
 
Do You Support Gay Rights In Tanzania?

no.jpg

Nilitarajia siku ya wanawake dunia, akina mama wote wapanze sauti zao kupinga 'magay' kwani yanaingilia na kuwanyima haki yao ya msingi. Vivyo hivyo kwa wanaume, Lesbians wanatunyima haki yetu kabisaaaa. Mimi siungi mkono huu ushetani
 
My opinion ni kwamba they should have the same right as everybody else (kuoa, kuzaa, kutobaguliwa na mengine)
Nasikitika sana ninapoona mtu competent kabisa anachukuliwa kirahisi just because he/she is an homosexual.
Ningependa serikali iwatambue na iweke sheria za kuziwia unyanyasaji wao
Pia ningependa sana kama leaders (religious, political) wangeacha kuwa-treat like mutants, devianats, psycho etc.
Upande mngine hii ni vita yao wenyewe, hakuna mtu atawapigania kama hawapigani wenyewe. stand up for your rights :peace:
 
humu ndani kuna vitu viwili vinachanganywa.....
'gay rights' ambazo ni 'human rights'
na 'gay culture'

unaweza kupinga gay culture bila kupinga 'human rights' kwa gays...

mimi sisapoti wanyanyaswe wala kuteswa au kunyimwa haki za msingi za kibinaadamu

but sisapoti 'gay culture' au ndoa zao......
I don't agree with this. It is just as homophobic (disguised).
 
My opinion ni kwamba they should have the same right as everybody else (kuoa, kuzaa, kutobaguliwa na mengine)
Nasikitika sana ninapoona mtu competent kabisa anachukuliwa kirahisi just because he/she is an homosexual.
Ningependa serikali iwatambue na iweke sheria za kuziwia unyanyasaji wao
Pia ningependa sana kama leaders (religious, political) wangeacha kuwa-treat like mutants, devianats, psycho etc.
Upande mngine hii ni vita yao wenyewe, hakuna mtu atawapigania kama hawapigani wenyewe. stand up for your rights :peace:

First you should say what rights they are being denied, and who deny them. Or you should mention their rights and tell how, who and where a gay man or gay woman has been denied the right. Au unataka tuwe gay bars, gay hospitals, gay schools, waruhusiwe kuoana, wawe nakitchen party, kuwe na mbunge anayewakilisha ma-gay Tanzania, ifike siku tuseme kuwa ni zamu ya gay kuwa rais, au kuwe na special rights ambazo kwa sasa hawazipati?
Kama ni ubaguzi upo katika sehemu mbalimbali, kuna ubaguzi wa kijinsia, wa kidini, kielimu, kiuchumi etc, so kama wewe unaona wanabaguliwa, they are not alone.

You have mentioned mutants, deviants and psycho. What do you mean by deviant? Lest us define it as a person who goes against norms and practices which are accepted by general public. Where does this definition put them? Psycho...something to do with mental unfitness. What are salient features which make a psycho psycho. Mkuu ukiangalia hayo maneno unayotumia, kutokana na tafsiri zake, naweza kusema wanafiti kote. Na hii sio restricted kwa gays tu, depends on how you want to spin it.

Watanzania katika mila na desturi zetu, kuna mabazo zimejengeka kutokana na utamaduni wa kikabila, kune zile zinazotokana na dini na kuna zile zinazotokana na mazoea ya kila siku na mambo ya kurithi. Tutazifuata mila na desturi zetu regardless of what serikali or what laws says. Kama sisi wenyewe tukiona hazifai tutaziacha.

Suala hili bado ni debatable ni vigumu kupata tafsiri za maneno mengo yanayowahusu watu hao. Ni vizuri tuliache kama lilivyo sasa kuliko kuanza kulichokonoa. Kwa sasa masenge na masagaji yana haki kama matanzania mengine, hakluna haki ambayo straight mtanzania anapata ambayo gay mtanzania ananyimwa kisheria, labda kuoana.

Kama kweli itathibitika kuwa mtu ni in-born gay, na hakuna posibility ya kuwa straight hata kama anapenda, kama kuna kitu anapenda asizuiwe kisheria. Lakini kama mtu ni straight kwa kuzaliwa, halafu anafanya u gay kwa kujifunza, anakuwa anaenda kinyume na matarajio ya jamii. Na anavuruga balance na anahatarisha njia ya kupopulate na nchi na kuifanya iwe more sociable. In a way ni sexists, wanakuwa wanahatarisha haki za straights. Kama gay man yuko na straight man, ina maana straight woman mmoja ata-suffer. So tukianza kuingia kwenye mambo ya sheria, siasa, dini basi watakutana na vigingi vingi sana.

Ukiangalia hapa Tanzania utaona kuwa idadi kubwa ya magay wanatoka katika jamii fulani na maeneo fulani na makundi fulani, inabidi ujiulize kwa nini wengi wanatoka pwani zaidi, mbona bara ni mmoja mmoja sana? is it because wabara ni washamba au? Mtoa mada jina lake linaonesha kuwa anauelewa fulani kuhusu kitu hiki labda anaweza kutufadanilia zaidi.
 
My opinion ni kwamba they should have the same right as everybody else (kuoa, kuzaa, kutobaguliwa na mengine)
Nasikitika sana ninapoona mtu competent kabisa anachukuliwa kirahisi just because he/she is an homosexual.
Ningependa serikali iwatambue na iweke sheria za kuziwia unyanyasaji wao
Pia ningependa sana kama leaders (religious, political) wangeacha kuwa-treat like mutants, devianats, psycho etc.
Upande mngine hii ni vita yao wenyewe, hakuna mtu atawapigania kama hawapigani wenyewe. stand up for your rights :peace:

Well said.... Mwali
 
Back
Top Bottom