Do you still have trust in CJ?

Sina imani na mahakama na mfumo wa uendeshwaji wake. Inawezekana analaimishwa na wanaompa mshahara kwa ajili ya kuitunza familia yake. Tuwalaumu hao kwanza kabla ya yeye. mfano ni matamshi ya waziri wa utawala bora kuhusiana na mgombea binafsi.
 
CJ hana tatizo. Tatizo ni mfumo uliopo wa Rais ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa chama tawala kuwa juu ya vyombo vyote vya dola. Atakalotaka yeye na chama chake ndilo litakalokuwa. CJ na viongozi wengine wote watapewa maagizo tu kwamba hili na lile litendeke. Naamini wapo wanaosema bora liende hivyo hivyo waweze kustaafu kwa amani na familia zao kuliko kujiletea matatizo ya kwenda kinyume na maagizo wanayopewa hata kama wanayaona hayafai.
 
cj hana tatizo. Tatizo ni mfumo uliopo wa rais ambaye pia ndiye mwenyekiti wa chama tawala kuwa juu ya vyombo vyote vya dola. Atakalotaka yeye na chama chake ndilo litakalokuwa. Cj na viongozi wengine wote watapewa maagizo tu kwamba hili na lile litendeke. Naamini wapo wanaosema bora liende hivyo hivyo waweze kustaafu kwa amani na familia zao kuliko kujiletea matatizo ya kwenda kinyume na maagizo wanayopewa hata kama wanayaona hayafai.

cj, cj.......
 
Back
Top Bottom