Do You Save?.... How Much?

category ipi sasa?
Mi ni 5, but napokea laki elfu ishirini na tano.

Huwa inabadilika kutegemea na majukumu yaliyopo lakini huwa ni kati ya namba mbili na tatu. Nimeacha kabisa tabia ya kutumia bila kuweka akiba.

Na manunuzi ya papo kwa hapo nimeacha na ninajivunia sana uwezo wangu wa kujidhibiti mwenyewe.
 
Safi hiyo. Kama pato ni la maana akiba ni akiba tu.
Sasa imagine 10 percent ya pato langu lile?

Kama huna expenditures nyingi inawezekana Mwali....

The rule of thumb is your expenditures should never exceed your income.
 
Is no save = deficit?

No save itakua deficit utakapo retire
Si unajua life expectation inaongeaeka
But muda wa kufanya kazi ni ule ule?
So you need to save for when u will no longer be able to work
 
Pamoja na kufanya kazi sina hata akiba. leo nimepewa msaada wa kilo nne ili binti yangu aende shule. what a lifeg lol.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom