Do You Remember?

The singing na drumming... walikua soo organised... tofauti na zile nyimbo za kijijini ambazo huimbwa na watu wa mjini kwa mzaha as if they have neva heard the song... Hawa walikua wanaimba na kucheza hasa... infact ilivutia watu wengi saana pale, almost wengi walipendezewa... nafikiri na ile tu kua i was katika sherehe na dancing is part of it....
I see...hope you had a great time...good music soothes!
 
mhh long time.., wala siwezi kumbuka, nadhani sasa hivi takuwa rusty na nimesahau all the dancing moves..., ukizingatia mi ni mtu wa ma-slow kujiachia ni vigumu ati.., takuwa nakwenda tofauti na rhythm..,

Gotta learn some dancing moves..., chochote kile lakini nadhani tajaribu Tango..... (I have heard its the easiest dance..)

"The Tango is the easiest dance. If you make a mistake and get tangled up, you justTango on." (Al Pacino in "The Scent of a Woman.")
 
Ilikua in august, nilijiachia on "let's get loud" ya J-lo, then nikaunganisha na "candy man'' ya Xtina aguilera, nikamalizia na "cherry pie" ya Warrant... Chumbani, mimi na shemeji yenu tu.
 
Habari wana JF….

Lini mara ya mwisho ulicheza mziki kwa kujiachia na
kufurahia kabisa huo Musiki ulikua unacheza?? Haijalishi
ulikua wapi... Ilikua Chumbani kwako?? Sherehe?? Club??
Mtaani?? ama Kijijini?? Na if you don't mind ni wimbo gani
huo ulikukuna mpaka ukakunyanya kucheza... Naomba tafadhali
saana Ushee na Sie... KIKUBWA... Do you Remember???


P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)

Kevin Lyttle concert in Miramar, danced from the start to finish. It was fun and I had great time!!
 
I remember, was in November last year when celebrating Kikwete's landslide over Magwanda. I lost myself and boozed to an extent of mistaking my housemaid for my wife. The charming song during that night wa Kisanola.
 
Jmartin na fally ipupa nilicheza savannah lounge last wk mpaka chini
kuna wimbo huu mpya pia wa kinigeria, shawo shawo, shawaleeee..........
sijui ninininiiii


Shantel ina maana you do that mara kwa mara... Good for you dearest... Sasa unaonaje uki upload huo wimbo wa Shawo, i am so out of touch mambo yanipita for i don't bliv i know the song....
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
aisee hiki kuduku najifunzia chumbani. Bado unataka kuja?
Nakuja tujifunze wote, nipate cha kuchangia kwenye hili sredi la AD... Natakiwa kuja na nini?... Tshirt na jeans au pensi nyanya?.. Gonga snake au raba mtoni?..
 
Sherehe za Mahafali na kusimikwa rasmi kuwa chuo kikuu Mzumbe Morogoro mwaka 2002. Twanga Pepeta live! Nilikuwa pale na nilishiriki vema kulicheza twanga lingali twanga hasa enzi hizo. Nakumbuka sijawahi kusawajika mtima tena kiasi kile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom