Do You Remember: The legendary Jim Kelly?

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
The legendary Jim Kelly from the classic movie

"Enter the Dragon"


7014d1260228653-a-jk.jpg



7015d1260228653-a-jk1.jpg



7016d1260228653-a-jk2.jpg



7017d1260228653-a-jk_posta.jpg



 

Attachments

  • jk.jpg
    jk.jpg
    65.7 KB · Views: 373
  • jk1.jpg
    jk1.jpg
    28.1 KB · Views: 365
  • jk2.jpg
    jk2.jpg
    34.4 KB · Views: 362
  • jk_posta.jpg
    jk_posta.jpg
    42.9 KB · Views: 365
Namkumbuka huyu kwenye One Down,Two to Go na kina Fred Williamson, Jim Brown na Richard Roundtree..kipindi sanaa!!
 
Jamani natafuta movie ya man from Africa. Naomba mtu yeyote mwenye habari kuhusu upatikanaji wake aniarifu.
 
Enzi hizo za Empire, Empress, Avalon, Chox, Odeon, Cameo, Drive-in na mwishoni Star right cinema.

Hapo picha ikiwa nzuri aidha huwe na ubavu wa kugombania tiketi au ukubali kulanguliwa.


Vile vile Unaweza fika dirishani ukasikia tikiti zimeisha au wajanja washaramba pesa yako ya tiketi.
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=EghMTyUPVdI&feature=related[/ame]

Behind The Scenes "Enter The Dragon" (1973) with Bruce Lee, John Saxon, Kien Shih, Ahna Capri, Jim Kelly, Robert Wall, B*lo Yeung from Robert Clouse
 
Nina swali la kizushi:

Hivi aliyecheza film ya "Man from Africa" alikuwa nani?

Mwanzo nilidhani anaitwa Michael Walker na kua ndiye aliyeimba zile nyimbo za "long time", "Coloumbia", "Feeling hot hot hot - now in Madascar 2", "Tiny Winy" "Crazy mama" bila kuisahau big hit "Long time sijakula chips" .....nk . Kinachonishangaza ni kuwa aliyeimba hizi nyimbo nimekuja kufahamu anaitwa Alphonsus Cassell (Arrow) . Hivi huyu jamaa ndiye alikuwa akijiita Michael Walker au ni mtu mwingine.

Turudi kwa Jim Kelly.
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=Qileulvwi-A[/ame]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom