Hahahaaaa mi naipenda sana coz huwa nishaimiss kazi ila huwa naichukia sana Jumamosi Asubuhi sababu ya jumuiya asbh ila huwa najilazimisha....huwa nafurahi sana mvua ikinyesha ili kupata kisingizio....:flypig:
Or is it just a fallacy that everyone hates Monday mornings?
Yes it's back to work and school but is it really any different to any other weekday morning? Discuss please.
:llama::llama::llama::llama::llama:
Hahahahaaaaa pole sana aisee lolKuna kamrija kalikuwa kananiongezea hela ya mboga sasa siku hiyo bosi kaamka vibaya kaziba kamrija kale..
Hahahaaaaaa Kaunga kuna wakati nilikuwa natoroka sana na jioni namtafuta katibu wa jumuiya namuuliza kama kuna jipya plus michango yote nampa teh na wakanipenda sana ila nimegundua najimaliza mwenyewe lolErickb52 umemichekesha sana, maana mimi nimeshashindwa hiyo jumuiya (jumamosi), na siendi ila michango yao yote natoa na binadamu tulivyodhaifu nina hesabika mwanajumuia mzuri tu!
Hahahaaaaaa Kaunga kuna wakati nilikuwa natoroka sana na jioni namtafuta katibu wa jumuiya namuuliza kama kuna jipya plus michango yote nampa teh na wakanipenda sana ila nimegundua najimaliza mwenyewe lol
Anza kwenda aisee kuna raha yake sana