Do you feel LOVED?

I don have anything to add here. My dear Ashadii umemaliza kila kitu wala sijui niseme nini hapo.
At least watu walio kwenye mahusiano au ambao wanatarajia kuingia kwenye mawasiliano wangekuwa na haya sidhani kama kungekuwa na huku kukimbia kimbia mara leo yuko kwa huyu kesho yuko kwa yule.
Thank you Ashadii for this
 
Mapenzi ki ukweli kuna watu wana bahati mbaya nayo sana,ukikutana na unayempenda yy anaweza asikupende kihivyo then ukakutana na anayekupenda ww ukawa humpendi kihivyo,MM nilikuwa mmoja wa hiyo hali nishakutana na mabinti kadhaa nikajikuta napenda kupita maelezo na nahudumia hakuna mfano mwisho wa siku nakuta nasalitiwa au nakuja kugundua huyu nilienae hana mapenzi ya kweli kwangu,Mungu si athumani ktk mazingira ambayo sikuyategemea nikakutana na binti mmoja tukafall in love nikapata penzi ambalo sijawahi kupata ikabidi niwekeze tu maana niliogopa kupoteza penzi hilo tamu nikatangaza ndoa nashkuru tunaishi kwa upendo na uaminifu mkubwa na mungu ametujaalia mtoto mmoja sasa maisha yanasonga,mambo ya boy friend na girl friend yanaumiza kichwa sana full pressure.USHAURI KWA WASIOOA/OLEWA KAA NA HUYO ULIENAE ZUNGUMZENI MFUNGE NDOA,MAISHA YA NDOA MATAMU SANA KIUKWELI NA KILA MMOJA AWE HURU KWA MWENZIE.

Tatizo mda… this post say it all…. Hivo mie narudisha msemo ule kua kuumizwa katika mapenzi ni muhimu saana kila mmoja akapitia walau mara moja… Hii hufanya mtu akimkuta ambae kweli anafaa – anamthamini the way S/he deserves…

Thank you for Sharing…. I hope wengine watapita na kusoma hii post hasa ambao hawajaoa na kuolewa….
 
Thanks for useful post AD as usual! Itawasaidia sana wadada ambao wako kwenye searching for serious relationship.

Nimependa zaidi hapo kwenye kumwambia mtu I love you yeye anajibu thanks; inahu. Mimi ndo zangu nikimpigia hubby simu namwambia I love you kupima yuko na nani sikubali hata kidogo jibu la thank you na akinijibu hivyo ntarudia tena aisee.

NK...kuna watu ni soo unampigia simu unasema ilove u na yeye anasema i love u too baby kumbe yuko juu ya kifua cha mwanamke mwingine,yaani sio guaranteee kabisa kwamba hayupo na mwanamke mwingine
 
I don have anything to add here. My dear Ashadii umemaliza kila kitu wala sijui niseme nini hapo.
At least watu walio kwenye mahusiano au ambao wanatarajia kuingia kwenye mawasiliano wangekuwa na haya sidhani kama kungekuwa na huku kukimbia kimbia mara leo yuko kwa huyu kesho yuko kwa yule.
Thank you Ashadii for this

C'mon Rocky... I don't believe you....lol... You can do better than this....

Ila nimependa the above opinion umetoa.... Kweli haipendezi, sijui ni kwanini mtu arande hata anapata a perfect fit! And thanks for the acknowledgement...
 
Really??! Is that so? Elezea tafadhali... thanx!
Steve mwanamke akifika, huwa hapendi vurugu tena, kama una mpenzi wako we unaweza jua mwanaume anataka kuendelea mwanamke anagoma kabisa sijui inatokana na nini, na ndio maana kama alivosema klorokwin wanaume wengi wanakuwa na mpango wa kando ili wamalize kiu zao tulizoshindwa kuzimaliza na anakuwa normal kabisa
 
Mapenzi ki ukweli kuna watu wana bahati mbaya nayo sana,ukikutana na unayempenda yy anaweza asikupende kihivyo then ukakutana na anayekupenda ww ukawa humpendi kihivyo,MM nilikuwa mmoja wa hiyo hali nishakutana na mabinti kadhaa nikajikuta napenda kupita maelezo na nahudumia hakuna mfano mwisho wa siku nakuta nasalitiwa au nakuja kugundua huyu nilienae hana mapenzi ya kweli kwangu,Mungu si athumani ktk mazingira ambayo sikuyategemea nikakutana na binti mmoja tukafall in love nikapata penzi ambalo sijawahi kupata ikabidi niwekeze tu maana niliogopa kupoteza penzi hilo tamu nikatangaza ndoa nashkuru tunaishi kwa upendo na uaminifu mkubwa na mungu ametujaalia mtoto mmoja sasa maisha yanasonga,mambo ya boy friend na girl friend yanaumiza kichwa sana full pressure.USHAURI KWA WASIOOA/OLEWA KAA NA HUYO ULIENAE ZUNGUMZENI MFUNGE NDOA,MAISHA YA NDOA MATAMU SANA KIUKWELI NA KILA MMOJA AWE HURU KWA MWENZIE.

Mkuu, Hii kitu ndiyo inayofanya watu wabakie masela. Inatokea sana sana tu... sometime wala siyo kwamba mtu anakuwa hakupendi, basi tu, kule kutoweza kustahimili majaribu ya kibinadamu. Na wengine just being out of curiosity. Tumeyasikia ya akina Tiger Woods, Ashley Cole, akina J-Lo, akina David Bekham, etc, etc... Ni kwamba pengine mtu anaweza akawa anakupenda kabisa kabisa, but kutokana na ujana or just curiosity, mtu anaamua kutembea na mwingine. Nakumbuka ile thread ya demu hapa JF aliyetaja anataka kutembea na mzungu, just to explore the world of mahaba. Si kwamba hakumpenda jamaa yake but an inbuilt curiosity drove her to dig further into her gratifications.

In addition to that, kuna wengine hao ambao hawawezi kusema NO. True, am not kidding, wapo! I'll give you a story (sorry but i won't go deep to reveal ID)... kuna demu mmoja tukiwa secondary, basi huyo alikuwa kila mwanamme anayemtongoza anashindwa kujizuia... unless huyo jamaa awe extremely weird! She couldn't simply say NO for an answer. Of course, she could have been or stayed with one man and loved him to bits. But, we men sometimes cause all the suffering. We subject and elevate the promiscuity in girls like her. She could have been treated better by a man staying with her, and i believe she couldn't have objected to that. But the first, the second, third, fourth and so forth... all dump her from the reputation she has acquired, but also the fact that she was too easy for them to sleep with her, therefore men become alerted by the fact that, she could easily go with another man while still in relationship with them. And the cycle repeats itself.

On the other hand, an example of the girl above; is that, some are born sluts. i.e. Can't get enuff. The word here is nymphomania. Hawa wanaweza kuwa na mapenzi ya dhati kwa wapenzi wao, but no matter what you do, the'll want to, and indeed, they do need to sleep around with other men to get the satisfaction they need, just to keep topped up. Sex addiction is kinda funny, good and appreciated to some, but one man ain't gonna be enough for her. It's biological, and with a liberal mind cap on my head, I would say, it's no fault of theirs. Let them be! Chakujiuliza; ndiye mpenzi wako sasa, What do you do...!!

Hivyo basi, tukumbuke kwamba binadamu wanatofautiana. Na tunapo equate in sex kama last determinant ya mtu kukupenda, somehow, somewhat kuna kuchemsha kupata majibu fasaha ya hiyo love equation. Kwani, inaweza kutokea kabisa kwamba mmoja wenu akawa na abnormality ya sex kama nilivyoitolea mfano hapo juu kwa akina dada. But kwa wanaume nao, jambo hilo hilo laweza kuwa na ukweli. Kuna wanaume wasioweza kujizuia na pale wanapokuwa tempted, lakini pia kuna wanaume ambao wako sexually slow-paced au sex drive yao inahitilafu kutokana na sababu mbalimbali.

Mkuu TatizoMuda, kama jina lako linavyoashiria, tatizo hapa ni muda!!! Maana unaweza ukaharakisha kujitumbukiza kwenye mapenzi jumla jumla na kujikuta unalikwaa lisilokupendeza. You would be left with long lasting scars. Kama hapo juu ulivyotolea mfano, yule uliyempenda yeyey hakukupenda, na yule aliyekupenda nawe hukumpenda. But kwa kujali muda, sometimes mutuality hujitokeza. Yakwamba, hata kama hampendani kihivyo, baada ya muda mrefu kupita, watu mnaamua kuoana, kwani hiyo jaribu-jaribisha mnakuwa mmeshai-work out namna ya kudeal nayo. Na kama nilivyosema, mtu unanunua mgodi mzimamzima baada ya tu-almasi tumoja tumoja kupatikana. Wao wanasema feasibility study! Tatizo ni Muda!!

Siku njema. :)
 
Yap! AShadii umenisomaee 2semeje? Kwahawa wanaoshindwa kurecover baada ya kutendwa?
Hebu2wa weke ktk fungula wale uliowaelezea ktk fungula wivu tena wivuwenyewe niule unaomtenga ktk ulimwengu wa mapnz. Yani hua haaminitena kama kuna kupendwa. Nakuendelea na uoga wakupenda nahta after some years kupta anaweza kupata mwenza lakini kiukweli hatodum nae kupitia haka kawivu kake.soo ningependa kusema ki2 ki1 mapenz kwakweli nijukwaa huru.na itategemea na mhusika anatarajiogani. Napia ubunifu,kujifunza vtu vipya,na kujenga mazoea,yaani kutoka kwali ulio iznea hadi halinyinge,kuji up grade saana sio issue kwampnz wako. Swala ni kupenda na sikutafuta ustar.
 
Yote umenena, lakini mtihani mkubwa kwa wanandoa au wapenzi ni Mawasiliano.............
Huu ni mtihani mkubwa sana ambao unasababisha ndoa nyingi au wapenzi kuachana........... Labda nikuombe AshaDii ujipange siku moja utuwekee uzi hapa jamvini kuhusiana na swala hili la mawasiliano kwa wapenzi au wanandoa........ Nawasilisha
 
This post Dii speaks voulumes… Nimeipenda saaana na yaonesha umeelezea vizuri wadada ambao hua dhaifu na sababu zao soo accurately that haiwezi pingwa… naomba niongezee kidogo....

Mkuu, Hii kitu ndiyo inayofanya watu wabakie masela. Inatokea sana sana tu... sometime wala siyo kwamba mtu anakuwa hakupendi, basi tu, kule kutoweza kustahimili majaribu ya kibinadamu. Na wengine just being out of curiosity. Tumeyasikia ya akina Tiger Woods, Ashley Cole, akina J-Lo, akina David Bekham, etc, etc... Ni kwamba pengine mtu anaweza akawa anakupenda kabisa kabisa, but kutokana na ujana or just curiosity, mtu anaamua kutembea na mwingine. Nakumbuka ile thread ya demu hapa JF aliyetaja anataka kutembea na mzungu, just to explore the world of mahaba. Si kwamba hakumpenda jamaa yake but an inbuilt curiosity drove her to dig further into her gratifications.

The above inanirudisha pale pale kua Your loved one cheating on you does not necessarily mean that s/he does not love you… (thou mara nyingi wanawake tuna cheat sababu tumependa huyo wan je) One just has to be careful decision ya kuchukua… Umetolea mfano mzuri wa Becham… I believe Victoria angekua a weak woman ile ndoa sasa ingekua Historia… But they have survived a lot because of her Strength as a Woman – I admire her charisma towards marriage…

In addition to that, kuna wengine hao ambao hawawezi kusema NO. True, am not kidding, wapo! I'll give you a story (sorry but i won't go deep to reveal ID)... kuna demu mmoja tukiwa secondary, basi huyo alikuwa kila mwanamme anayemtongoza anashindwa kujizuia... unless huyo jamaa awe extremely weird! She couldn't simply say NO for an answer. Of course, she could have been or stayed with one man and loved him to bits. But, we men sometimes cause all the suffering. We subject and elevate the promiscuity in girls like her. She could have been treated better by a man staying with her, and i believe she couldn't have objected to that. But the first, the second, third, fourth and so forth... all dump her from the reputation she has acquired, but also the fact that she was too easy for them to sleep with her, therefore men become alerted by the fact that, she could easily go with another man while still in relationship with them. And the cycle repeats itself.

On the other hand, an example of the girl above; is that, some are born sluts. i.e. Can't get enuff. The word here is nymphomania. Hawa wanaweza kuwa na mapenzi ya dhati kwa wapenzi waoi, but no matter what you do, the'll want to, and indeed, they do need to sleep around with other men to get the satisfaction they need. Sex addict is kinda good and appreciated, but one man ain't enough for them. It's biological, and with a liberal mind cap on my head, I would say, it's no fault of theirs. Let them be! Chakujiuliza; ndiye mpenzi wako?! What do you do...

It takes an Undestanding Man with a clear head free of emotions… to understand and agree to the above… Bravo Steve Dii

Hivyo basi, tukumbuke kwamba binadamu wanatofautiana. Na tunapo equate in sex kama last determinant ya mtu kukupenda, somehow, somewhat kuna kuchemsha kupata majibu fasaha ya hiyo love equation. Kwani, inaweza kutokea kabisa kwamba mmoja wenu akawa na abnormality ya sex kama nilivyoitolea mfano hapo juu kwa akina dada. But kwa wanaume nao, jambo hilo hilo laweza kuwa na ukweli. Kuna wanaume wasioweza kujizuia na pale wanapokuwa tempted, lakini pia kuna wanaume ambao wako sexually slow-paced au sex drive yao inahitilafu kutokana na sababu mbalimbali.

Mkuu TatizoMuda, kama jina lako linavyoashiria, tatizo hapa ni muda!!! Maana unaweza ukaharakisha kujitumbukiza kwenye mapenzi jumla jumla na kujikuta unalikwaa lisilokupendeza. You would be left with long lasting scars. Kama hapo juu ulivyotolea mfano, yule uliyempenda yeyey hakukupenda, na yule aliyekupenda nawe hukumpenda. But kwa kujali muda, sometimes mutuality hujitokeza. Yakwamba, hata kama hampendani kihivyo, baada ya muda mrefu kupita, watu mnaamua kuoana, kwani hiyo jaribu-jaribisha mnakuwa mmeshai-work out namna ya kudeal nayo. Na kama nilivyosema, mtu unanunua mgodi mzimamzima baada ya tu-almasi tumoja tumoja kupatikana. Wao wanasema feasibility study! Tatizo ni Muda!!
Siku njema. :)

Most ya ulooelezea above... hii ndio huponza weengi… mtu waweza pata a perfect fit, but because of constant kuumizwa na wewe unaaanza mchezo huo huo… at the end unamuumiza mtu ambae angeweza kufaa kuliko woote ulowahi kua nao… Sad…. Saa ingine sababu keshakua stereotyped na society kua yuko hivo... basi we tend kushikilia hivo badala ya learning and knowing the person vile inavotakiwa.... Ni sawa na Wanaume.... kuna wanaume players hasa! yaaani yeye na skirt kwenda mbele, but yaweza fika a time akapata mwanamke akaridhika nae na wala asitamani mwanamke mwingine - sasa unpopata such type of a guy woote watakwambia hafai, but you never know; waweza kuta he is the one for you....

Ila tu Dii nimesoma you are so persmistic bana… And can't understand why with all this knowledge in your brain.... Having scars sometimes it is good,it makes you appreciate what is great huko mbeleni kama Tatizomda alivo confess hapo page ya nyuma….
 
Gosh!! This is deep… and intense… Thank you Steve Dii...

What you have said brings so much sense… But hata hivo Dii nimeshuhudia saana mapenzi ya Uongo siku hizi mpaka inasikitisha hata kwa observer peke yake… I am thinking if you love… Why not give your whole (hata kama hujui kua ndio the right person ama atakae kuja kukuoa/olewa nae…) Should I be scared just because there is a chance of being hurt?? I think Not!

....
...

AshaDii, the word is reservation. The last paragraph in my last post explains this, so I believe! Usemi wa kuyavulia nguo maji na kuyaoga unautata.... vipi kama unakutana na kaa na akakung'ata kidole, na vipi kama unakutana na leeches, kukuganda mwilini koto... si itakuwa kero na itakubidi utoke mkuku majini huku ukipiga uyowe.... :)

They say, look before you leap... and I'll add wear some protection ili ukianguka usiumie sana. And this is the reservation I'm talking about, or gaps as per erly explanation.
 
Yap! AShadii umenisomaee 2semeje? Kwahawa wanaoshindwa kurecover baada ya kutendwa?
Hebu2wa weke ktk fungula wale uliowaelezea ktk fungula wivu tena wivuwenyewe niule unaomtenga ktk ulimwengu wa mapnz. Yani hua haaminitena kama kuna kupendwa. Nakuendelea na uoga wakupenda nahta after some years kupta anaweza kupata mwenza lakini kiukweli hatodum nae kupitia haka kawivu kake.soo ningependa kusema ki2 ki1 mapenz kwakweli nijukwaa huru.na itategemea na mhusika anatarajiogani. Napia ubunifu,kujifunza vtu vipya,na kujenga mazoea,yaani kutoka kwali ulio iznea hadi halinyinge,kuji up grade saana sio issue kwampnz wako. Swala ni kupenda na sikutafuta ustar.

Asuu I am sorry kua hapa nakataliana nawewe... Mtu aloshindwa kurecover huwezi muweka kundi la wivu... Hawa watu wapo makundi matatu (according to my assumption...)
  1. Yupo so dissapointed sababu alijiona yeye ndo yeye na kwamba hamna mtu anaweza thubutu muacha (huyu ego yake ni so strong) anajiona yupo so unique - hata katika mambo mengi ya maisha... as if everything should stop at their request; Huyu akiumizwa... God! Anakua na chuki mbaya saana kwa aliye sababisha na woote wale ambao wamebaki..... Hii group anatia saana huruma...
  2. Ndio wale ambao wamejaliwa kupenda mpaka haifai... yaani huyu yuko soo very patient na anaamini iko siku akikili ya alomuumiza itakaa sawa na kurealise kua yeye (anaeumia) ndio mpenzi wa kweli na the best thing... hii type huyo ex machoni kwakwe ni perfect hata useme nini.. once in a while atalala na mwingine AU hata asilale na yeyote kabisa... Roho yakeee inamuuma kila siku ya Mungu but bado anaamini iko siku atatulizwa (ex ataporudi)... Sad...
  3. Mwingine ana tu ghubu baya kwa yule ambae alimkosea... yaani yeye kila saa ni kumuombea dua mbaya Ex... kila anapopata nafasi ni kumuongelea vibaya... hafai.. mshenzi... mpuuzi... atapata taabu huko... kwa mtindo huu recovery is nothing but a dream for they have not let go.... Yaani akili yake bado ipo katika yale mahusiano na ex - bahati mbaya ex anakua hana hata habari....
 
dah!mapenzi kitu cha ajabu sana ngoja ninywe vilager tuwili niyaenzi vizuri

Mie sinywi Chauro... ila umenipa kiu ya Amarula (sio mbaya once in a while au sio...lol...) tafadhali lete huku... iwe chilled....

Yote umenena, lakini mtihani mkubwa kwa wanandoa au wapenzi ni Mawasiliano.............
Huu ni mtihani mkubwa sana ambao unasababisha ndoa nyingi au wapenzi kuachana........... Labda nikuombe AshaDii ujipange siku moja utuwekee uzi hapa jamvini kuhusiana na swala hili la mawasiliano kwa wapenzi au wanandoa........ Nawasilisha

Mawasiliano... hujenga na ubomoa, uloongea ni kweli - infact yahitaji kweli kuiongelea kwa urefu saana...
Kwa hisani yako Mkuu... Message delivered.... Pamoja saana...
 
At the moment, ndio kabisa i do fee loved, mie katika mahusiano yangu naachaga wakati mwingine vitu vijiendeshe maana ni kweli kabisa ashadii hayo uliyoyaeleza yapo na haiwezekani mwanaume mmoja kuwa nayo yoote, tunachukuliana tu na maisha yanasonga mbele, mie nafurahia sana hizo special romantic moments anavozipanga kwa kweli hunipa bichwa sana na kusahau yooote yaliyowahi kutokea na kuniumiza sana

Hiyo man's perspective ya klorokwini ni kweli kabisa, mwanamke hawezi kuwa na mahusiano then aka perform the same kwa mumewe tumeumbwa hivo, ila wenzetu wanajitahidi kuwa sawasawa, unaweza ambiwa mumeo ana kimada ukakataa kabisa, but ni ukweli kabisa,japo ni ngumu kumeza ndivo ilivo,ila pia kuna wanawake wachache nao wamejaliwa kuweza kuhimili mikiki ya aina hiyo

Mawasiliano nayo ni issue ingine ambayo usipoitumia vema unaweza ishia pabaya, watu siku hizi wanashindwa hata kuwasiliana wakati wanafanya mapenzi, yaani kibubu bubu, mwanamke hajaridhika hasemi,mwanaume hata haulizi kama mwenzake karidhika, au anapenda afanyiwe nini, nafikiri hii nayo hubomoa sana pale mmoja anapopata mwanya wa kuchomoka na kukuta mtu anaejali sana aridhike
Ahsante sana best kwa thread tamu
 
AshaDii, the word is reservation. The last paragraph in my last post explains this, so I believe! Usemi wa kuyavulia nguo maji na kuyaoga unautata.... vipi kama unakutana na kaa na akakung'ata kidole, na vipi kama unakutana na leeches, kukuganda mwilini koto... si itakuwa kero na itakubidi utoke mkuku majini huku ukipiga uyowe.... :)

They say, look before you leap... and I'll add wear some protection ili ukianguka usiumie sana. And this is the reservation I'm talking about, or gaps as per erly explanation.

ha ha ha... Dii I love this.... you have STRONG analogies and Metaphors.... Understanding corrected... lol... I just pray that Love Knocks you Down!! Thus the below na nime chose kwa Neyo makusudically kabisa....lol

Thus the dedication in Courtesy of Keri, Kanye and Neyo

I never thought I'd, hear myself say, ooh, ya'll gon' head
I think I'm gonna kick it wit my girl today, kick it wit my girl today
I used to be commander and chief
Of my pimp ship flyin' high, flyin' high)
Til I met this pretty little missile that shot me out the sky
(Oh shot me out the sky)
 
....
....

Ila tu Dii nimesoma you are so persmistic bana… And can't understand why with all this knowledge in your brain.... Having scars sometimes it is good,it makes you appreciate what is great huko mbeleni kama Tatizomda alivo confess hapo page ya nyuma….

Ha ha ha ha... I like the way ulivyonisoma. Again, indirectly that is what I appear to be. I guess too many logics and liberalism in my head. And to tell you the truth, am conscious and well aware of that pessimism, sababu kawaida nakutana nayo ikitajwa kutokana na reasoning zangu, haswa ninapokuwa na discuss relationship matters. Although the same reasoning when applied to life outside relationship, becomes logical, and usually carries a positive attribute to it. Kwenye entrepreneurship hii wanaiita 'risk averse' na ni muhimu iwe balanced, else you fail to be a true entrepreneur. But am a person of clear conscious, naelewa ni wakati gani nitumie pessimism na wakati gani nisiitumie. You must remember I have mentioned earlier, I can be random in my thoughts, but also like spontaneity. If you think these two characteristics marry with pessimism, I think you have to think again AshaDii. I am talking about myself here, something I hardly do...(again for being too self conscious)...lakini huo ndiyo ukweli wenyewe... Mwonekano huo kwenye maelezo juu wote ni kwa dhamira tarajio (defined aim), si accident!!
 
At the moment, ndio kabisa i do fee loved, mie katika mahusiano yangu naachaga wakati mwingine vitu vijiendeshe maana ni kweli kabisa ashadii hayo uliyoyaeleza yapo na haiwezekani mwanaume mmoja kuwa nayo yoote, tunachukuliana tu na maisha yanasonga mbele, mie nafurahia sana hizo special romantic moments anavozipanga kwa kweli hunipa bichwa sana na kusahau yooote yaliyowahi kutokea na kuniumiza sana

Hiyo man's perspective ya klorokwini ni kweli kabisa, mwanamke hawezi kuwa na mahusiano then aka perform the same kwa mumewe tumeumbwa hivo, ila wenzetu wanajitahidi kuwa sawasawa, unaweza ambiwa mumeo ana kimada ukakataa kabisa, but ni ukweli kabisa,japo ni ngumu kumeza ndivo ilivo,ila pia kuna wanawake wachache nao wamejaliwa kuweza kuhimili mikiki ya aina hiyo

Mawasiliano nayo ni issue ingine ambayo usipoitumia vema unaweza ishia pabaya, watu siku hizi wanashindwa hata kuwasiliana wakati wanafanya mapenzi, yaani kibubu bubu, mwanamke hajaridhika hasemi,mwanaume hata haulizi kama mwenzake karidhika, au anapenda afanyiwe nini, nafikiri hii nayo hubomoa sana pale mmoja anapopata mwanya wa kuchomoka na kukuta mtu anaejali sana aridhike
Ahsante sana best kwa thread tamu

Gaga what I admire about you and you marriage (thou via jamvini) ni kwamba you are real na huna pretense… Hauna unafiki na kutumia jamvi ipasavo for mostly nobody Knows you, thus in other words ilitakiwa that nobody should give a damn… However that is not possible for hii ndio inafanya wenye interest tuafuatilie what you have to say about your marriage (esp mimi)….

Hivo hii post umetuma… najua kua itakua ni kweli for ukiwa na problems you say it… kukiwa na a rut you say it… nd kama kuna furaha you say it pia – You make yourself be the kind of person to believe… NDOA… ni kazi saana na sio siku zoote kua itakua "safe haven" lazima kuna ups and downs kama ulivoongea… But knowing kua ndoa is worth it NO MATTER WHAT!! Kwa wahusika watambuzi (hasa Mke) ndo hufanya ndoa yako iwe intact hata tetemeko liwe kubwa namna gani…..

Naona umeona jinsi Lawyer Klorokwin alivomwaga points kibao pamoja na hio ya muhimu ya SEX… Ametoa insight I am proud of… Na pia naona pia nawe umekumbushia umuhimu wa Speacial Romantic Moments... (in fact nikiona neno SRM inanifanya nikumbuke zingine kibao nikiwa na Mpenzi wangu; na kumshukuru Mungu, kunipa bahati ya ku exprience such PLEASURE!!)

Gaga Dear… asante for acknowledging…. Nimefurahi kwa kweli na inanipa moyo wa kuzidi toa yale nilonayo….
 
Ni kweli lakini huoni kuwa kama lengo ni kumuumiza huyo alo kifuani mwake kuwa lengo limetimia. Hivi unadhani hao vimada hawana wivu ati? Wanao sana ila ndio hivyo bahati mbaya wameishia kuwa the other woman.

NK...kuna watu ni soo unampigia simu unasema ilove u na yeye anasema i love u too baby kumbe yuko juu ya kifua cha mwanamke mwingine,yaani sio guaranteee kabisa kwamba hayupo na mwanamke mwingine
 
Gaga what I admire about you and you marriage (thou via jamvini) ni kwamba you are real na huna pretense… Hauna unafiki na kutumia jamvi ipasavo for mostly nobody Knows you, thus in other words ilitakiwa that nobody should give a damn… However that is not possible for hii ndio inafanya wenye interest tuafuatilie what you have to say about your marriage (esp mimi)….

Hivo hii post umetuma… najua kua itakua ni kweli for ukiwa na problems you say it… kukiwa na a rut you say it… nd kama kuna furaha you say it pia – You make yourself be the kind of person to believe… NDOA… ni kazi saana na sio siku zoote kua itakua “safe haven” lazima kuna ups and downs kama ulivoongea… But knowing kua ndoa is worth it NO MATTER WHAT!! Kwa wahusika watambuzi (hasa Mke) ndo hufanya ndoa yako iwe intact hata tetemeko liwe kubwa namna gani…..

Naona umeona jinsi Lawyer Klorokwin alivomwaga points kibao pamoja na hio ya muhimu ya SEX… Ametoa insight I am proud of… Na pia naona pia nawe umekumbushia umuhimu wa Speacial Romantic Moments... (in fact nikiona neno SRM inanifanya nikumbuke zingine kibao nikiwa na Mpenzi wangu; na kumshukuru Mungu, kunipa bahati ya ku exprience such PLEASURE!!)

Gaga Dear… asante for acknowledging…. Nimefurahi kwa kweli na inanipa moyo wa kuzidi toa yale nilonayo….
Ahsante Ashadii nashukuru pia na nafurahia uwepo wako jamvini, yaani unamwaga manyuki na kutupa mawe ipasavyo, points zako zinasaidia wengi sana, yaani nimesoma thread karribu mara tano ili niweze kupost comment ya nionavo mimi.wakati huu ni wa neema kwenye maisha yangu nautumia ipasavyo na nikipata mapoint kama haya naongezea kwa juu then nasikilizia

Steve dii, maji ukishayavulia nguo lazima uyaoge na ninaamini hata ukikutana na mamba unapigana nae tu ili mradi uvukie upande wa pili, say umeona almas iko upande wa pili wa mto nafikiri utavuka as kwenye mfano wako wa entreprenr nathani kuna kuchukua risk no matter what
 
Similar Discussions

29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom