Do we need Nuclear Energy in Africa?

Common man

Member
Mar 10, 2011
15
0
Nuclear energy seems to be a solution to power ration. Following the tsunami disaster and Two nuclear reactors explosion in Japan,do we still need nuclear in our country?:panda:
 
the issue is we human do not want to address the core issue of our problem! the fact is we are too many, we are overpopulated and we have exceeds earth carrying capacity! in that regards we normally need more food, more energy, more space to live etc as a result we are inverting things that are killing us in the end! i think nature is just trying to balance the population! a lot of our problem will be solved if we can adress the problem of overpopulation in the world! mbona tembo wakiongezeka kule selou tunawapunguza kwa process inaitwa culling, its just any suggestion of population control is unthinkable because of the so called civilization, religious issues etc let face the music! according to us research we would be living a balanced life in the world if our population would be 4 billion only now we are closing on to 7 billion!
 
Nchi zilizoendela kwa kutegemea msaada wa nguvu za Nyuklia ziko hatarini kurudi nyuma kimaendeleo na hata kuhatarisha Afya za raia wao baada ya kugundua kuwa Mitambo yao haiko salama kutokana na Tetemeko la ardhi la Japan ambalo limeitikisa mitambo yake ya nguvu za nyuklia!!!!

Hivi sasa viongozi wa nchi zinazojiita Tajiri sana duniani wako Ufaransa kwa mkutano maalum na mada kuu inahusu mitambo hiyo huku Mawaziri wa Nishati wa nchi za EU wakikutana Ubelgiji kuzungumzia Tetemeko hilo na hatari ya kuisambaratisha mitambo yao ya Nyuklia!!

Tayari Serikali ya Ujerumani imeamua kudurusu mitambo yake na kuhakiki uwezekano wa kuathiriwa na majanga kama ya Japan!!

Hali hii imesababisha Hisa ktk Ulaya, Asia na USA kuporomoka kwa kasi tangu mkasa huu utokee Japan na kuna hatari ya uchumi wa Dunia kutikisika tena na kusababisha maafa na umaskini zaidi ktk Dunia yetu hii!!
Sasa nchi Tajiri zikiwa zinajiandaa na mikakati ya kujinusuru na maafa na majanga ya Mitambo yao Nyuklia sijui sisi Walala hoi wa Dunia ya 3 tunajiandaaje???

Habari zaidi gonga hapa: http://www.bbc.co.uk/news/world-asia-pacific-12749444
 
Afrika tunahitaji utaalamu wa kutumia rasilimali zetu - upepo na jua - kwa ajili ya nishati. Tungelikuwa na utaalamu, tungenusuru misitu yetu, na hata hatungekuwa na haja ya kutumia "bio-fuel", kwani nayo hii inaaharibu mazingira.
 
Oooh maskini waafrica tupo dunia hii kama vile hatupo. Kwa nini tusitumie jua kujiletea umeme??
kweli kila siku tuna almost 8 hours sunshine halafu bado umeme tanzania ni asilimia 20??
mainjinia na elektrikas nchi hii hawapo?
 
Is Kenya ready to go nuclear?

main+pic.jpg


Kenya heavily relies on hydropower for her energy needs and is exploring nuclear power to meet growing demand. Photo/ FILE

By JUSTUS ONDARI


Twice in less than three months, the government has invited investors interested in setting up nuclear reactors through joint ventures to address the current power shortage.

But experts are questioning the country’s capacity, both technical and financial, to run nuclear energy.

The project’s financing, timing, capacity, security, source and transportation of raw material (uranium), waste disposal and international politics on nuclear business are some the factors that could hinder the country’s foray into nuclear energy.

“If we cannot safeguard our current simple installations from terrorists, how can we protect a nuclear reactor from terrorists who may attack it if not to hurt us, but also to lay their hands on uranium for their own ill intentions?” asked a retired security expert who is consulting for the government.

Yet the government seems determined. First was Prime Minister Raila Odinga, who on a tour of London, called on investors to set up nuclear facilities in Kenya.

His call has been echoed by Energy minister Kiraitu Murungi. Potential investors and experts in nuclear power generation have been invited to the National Energy Conference set for October 7-9 in Nairobi.

“We have invited a South African nuclear expert to advise us on nuclear power generation,” Energy Permanent Secretary Patrick Nyoike said.

The government is planning a small plant to generate about 1,000 megawatts initially, estimated to cost $1 billion (about Sh73 billion), Mr Murungi said.

It is a figure that the government seems to be sure it can raise from private investors willing to fund clean energy under public-private partnerships.

The shift to nuclear energy is understandable given that the country generates 1,100 MW of electricity — including emergency supplies from independent power producers — against a peak time demand of 1,050 MW.

There is great pressure for diversification of the sources from hydro and thermal power generation in the wake of changes in climate and spiralling world oil prices.

The move is central to the government’s ambition of doubling the number of Kenyans accessing electricity by connecting a million new electricity consumers in the next five years as part of the its move toward Vision 2030.

However, the Kenya Electricity Generating Company (KenGen) has questioned the viability of such a project given the country’s energy demand.

“As it is right now, we cannot afford to go into such a project because it will not be economically viable since a nuclear power unit can only generate 600 megawatts but the country needs at least 1,000 megawatts,” KenGen Managing Director Eddy Njoroge said.

“The cost is just too prohibitive for such a small project.”

This makes a case for two plants. But given the government’s rule that no single installation should supply more than 20 per cent of the national power system’s capacity to avoid total collapse in case of failure, putting up the two plants would force Kenya to export energy.

However, with other investments such as the Sh4 billion in geothermal power generation factored in the current national budget, the two plants may be a big burden to the exchequer.

Coming at a time when the Government is dealing with issues such as the high cost of oil and food, the Sh73 billion needed for a single plant could be too much for the average Kenyan.

But to the proponents, it is a small price Kenyans have to pay for a better tomorrow.

“The initial investment is huge, but nuclear power generation is a viable option that can assure us of a stable, sustainable and clean power supply in the long-term if we want to develop economically,” Dr Gichuru Gatari, a lecturer at the University of Nairobi’s Institute of Nuclear Science and Technology, says.


Daily Nation:*- Smart Company*|Is Kenya ready to go nuclear?
 
Nuclear safety worries spread to Europe

Disaster puts pressure on governments, with protests in Germany and concern over new plant plans in Italy and the UK

Angela-Merkel-007.jpg

Angela Merkel is among several European politicians under pressure over their energy policy after the Japan earthquake. Photograph: Michael Sohn/AP
Tens of thousands of people have taken part in an anti-nuclear demonstration in southern Germany. The demonstration had been planned for some time, but after the news of Japan's nuclear emergency, organisers were overwhelmed by crowds of around 50,000 people who turned up.
The demonstrators, who stretched in a 45km chain from Neckarwestheim power plant to the city of Stuttgart, were demanding that the German government move away from nuclear power.
Chancellor Angela Merkel, who has extended the lifespan of Germany's nuclear power plants, summoned senior cabinet ministers to an emergency meeting.
The Japanese radiation leak comes at a difficult time for Merkel, whose conservatives face three state elections in March where worries over nuclear safety could rally her opponents. The opposition Social Democrats and Greens have called for change and claim several German nuclear plants could not withstand a direct hit by an aircraft or an earthquake.
"We cannot master nature, nature rules us," said Renate Kuenast, the Greens' parliamentary leader.
The government's decision last year to keep Germany's 17 nuclear plants running for about 12 years beyond their original shutdown date has weighed on the popularity of Merkel's coalition.
In Italy a senior government politician said the earthquake would not change plans to move ahead with a new nuclear power scheme.
Italy is the only G8 industrialised nation that does not produce nuclear power, but prime minister Silvio Berlusconi wants to generate a quarter of the country's electricity from nuclear in the future.
Italy is also at high risk of suffering natural disasters, mainly due to earthquakes. "The position remains what it is, you can't keep changing it," Fabrizio Cicchitto, leader of Berlusconi's PDL party in the lower house told reporters. "It's not just recently that we have energy problems," he said.
In the UK the energy secretary Chris Huhne said the government was monitoring the nuclear situation in Japan. "It's too early to say what the cause was, let alone what the implications are. We are working extremely closely with the IAEA to establish what has happened. Safety is the number one priority for the nuclear industry."
Privately, many in government and the private energy sector in the UK are worried that the raising of the spectre of nuclear disaster will have implications for the coalition's huge building programme for ten new power stations to replace the UK's ageing reactors.
The accident in Japan comes days after the Navy admitted the reactors on British submarines are 'significantly below benchmarked good practice', and weeks before the 25th anniversary of the Chernobyl disaster, which will push fears over nuclear safety back to the forefront of the minds of the British public.
Jan Beranek, head of Greenpeace International Nuclear Campaign, asked for the construction project to be scrapped in the wake of the Japanese earthquake. "Governments should invest in renewable energy resources that are not only environmentally sound but also affordable and reliable," he said.
 
Risk are always there! If you can not take a part of risk in your life, then you will never win!!!
 
Risk are always there! If you can not take a part of risk in your life, then you will never win!!!

There are different levels/magnitudes of risk. The risk associated with power from nuclear reactors is one we don't need please. Not when we have alternatives.
 
Oooh maskini waafrica tupo dunia hii kama vile hatupo. Kwa nini tusitumie jua kujiletea umeme??
kweli kila siku tuna almost 8 hours sunshine halafu bado umeme tanzania ni asilimia 20??
mainjinia na elektrikas nchi hii hawapo?

wapo wamekwenda kupata kikombe
 
CAN YOU AFFORD ONE?!!!!! We can't afford Generators how would you even think about discussing this!!!!!!!!!!!!
 
Tatizo waafrica especially waTZ huwa tunapenda kujiingiza kwenye discussion za watu walioendelea na kutaka makubwa bila kujijua hali zetu kiukweli. Ni kama vile maskini anajikakamua kujilaza njaa ili anunue kitu chenye thamani kubwa ili aonekane naye tajiri!

Kabla hujafikiria nuclear ambayo ni ghali mno kwa nini tusifikirie abundance of natural powers other than uranium? Tuna maporomoko ya maji mangapi ambayo hatujayatumia kabisaa au hatujayatumia ipasavyo? Badala ya kufikiria kuiboresha mitambo yetu ya maji ili izalishe umeme ipasavyo tunafikiria kununua majenerator ya diesel!! Much water is wasted at our dams na mitambo tuliyonayo yenyewe yanatumia umeme mwingi kupita kiasi kwani imeshazeeka. Our dams haifanyiwi maintenance to achieve their true capacity or much more. Tufikirie maporomoko mengine kama stigler's Gorge where more than 2000MW can be generated.

Think of wind power at Singida, Dodoma, etc where more than 2000MW can be generated

Think of Kiwira where more than 1000MW can be generated

Think else where where much, much, much generations of electricity can be set up.

NOW we think of nuclear as the only solution!! Hayo ndio mawazo ya hata wabunge na viongozi wetu na ndio maana siku zote huona V8, mashangingi and other very expensive cars kuwa ndio only solution ya kuwapeleka vizuri majimboni!!

Hata Marekani wenyewe only 29% of the total electrical generations is nuclear energy, other sources remains wind, water, etc.

Investors wenyewe wanaanza kukimbia nuclear because of the higher risk. Maintenance of the plant is very risky, only a minor mistake ya mpumbavu mmoja tu can lead to total meltdown of the whole plant costing billions of dollars. Why risking then wakati we have various of altenatives
 
Oooh maskini waafrica tupo dunia hii kama vile hatupo. Kwa nini tusitumie jua kujiletea umeme??
kweli kila siku tuna almost 8 hours sunshine halafu bado umeme tanzania ni asilimia 20??
mainjinia na elektrikas nchi hii hawapo?

Don't blame injinias bwana, politics za bongo unazijua au? Do you know How many proporsals are on the table of politicians but wanazikalia kisa hazina maslahi yao?? Au unataka injinias wajichangishe fedha ku-implement their proporsals eeh?? au hujui kuwa Wanasiasa wa africa wamekuwa wao ndio madaktari, mainjinia, wanasheria, mahakimu, walimu, n.k.!!
 
Nuclear Energy hatuhitaji kabisaa especialy TZ, hebu fikilieni wakuu maboom yanatushinda kutunza iweje nuclear, inahitaji watu makini saana na watakao kuwa dedicated kwenye hiyo kazi ambao kwa tz hawapo kabisaaa! kama wanajeshi tunaowaamini wanashindwa na maboom nani mwingine wakufanya hivyo!?
 
Licha ya maafa ya Japan, bado Afrika yataka nyuklia



Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift: Moshi katika kinu cha nyuklia cha Fukushima Daiichi

Wakati barani Ulaya ukiendelea mjadala mzito baada ya janga la mionzi ya nyuklia ya Japan, baadhi ya mataifa ya Afrika yangali yanaona kuwa nishati ya nyuklia ndilo suluhisho la tatizo la umeme linalowakabili.





Linapokuja suala la nyuklia na nishati ya atomiki duniani, bado Afrika ni safi, ukiacha kile kinu cha Körbel, katika pwani ya magharibi ya Afrika ya Kusini.
Lakini kuna mataifa barani humo, ambayo yangelipenda kubadilisha sura hii. Nigeria, kwa mfano, inapanga kuwa ndani ya kipindi cha miaka 10 hadi 15 ijayo, inatumia nishati hiyo. Na kwa mujibu wa mkuu wa Kamisheni ya Nishati ya nchi hiyo, Sani Sambo, kilichotokea Japan hakijaibadilisha dhamira yao.
"Jambo hilo halina madhara yoyote kwetu. Bado tunabakia kuwa taifa ambalo lina matarajio ya kuwa na nishati ya nyuklia hapo baadaye." Anasema Sambo.
Suala la usalama wa vinu vya kiatomiki, kwa nchi kama hii ambayo asilimia 40 ndiyo inayopata huduma ya umeme, halijadiliwi kabisa. Sambo anaona kuwa, jambo kama hilo ni mjadala kwa nchi magharibi, ambazo zina njia nyengine za kupata nishati bila kutumia nyuklia, na sio kwa Nigeria.
0,,6472125_1,00.jpg
Bildunterschrift: Nyuklia Nchi nyengine za Afrika, kama vile Senegal, Namibia, Uganda na Kenya, nazo zimekuwa zikifikiria kuwa na nishati ya atomiki na kuomba uchunguzi wa Shirika la Nguvu za Atomiki la Kimataifa, IAEO. Kwa miaka mingi sasa, Shirika hili limekuwa likishinikiza ujenzi wa vinu vya nyuklia katika bara hilo.
Na hadi sasa haifahamiki kuwa kile kilichotokea Japan kimeweza kubadilisha mawazo ya shirika hili, maana wenyewe hawako tayari kuzungumzia hilo.
Hata hivyo, kwenye mtadao wake, mtu anakutana na picha ya video ya mkuu wa kitengo cha Afrika, Ali Boussaha, akipigia debe nishati ya atomiki kwa Afrika, kwamba ndiyo inayohitajika kwa sasa katika bara hilo.
Vile vile, mataifa mengine ya Ulaya yanawashajiisha maraisi wa Kiafrika kujiingiza kwenye mpango huu wa nishati ya nyuklia. Takribani miaka minne iliyopita, Rais wa Ufaransa, Nicolas Sarkuzy, alikubaliana na Kanali Muammar Gaddafi wa Libya kufanya kazi pamoja kwenye mradi wa ujenzi wa kinu cha nyuklia katika nchi hiyo ya Afrika ya Kaskazini.
Hata hivyo, baadaye Kanali Gaddafi aliachana na mpango huo, lakini hivi karibuni Rais Sarkuzy alikutana na Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini, kuzungumzia biashara ya nyuklia baina ya nchi zao.
Kwa watetezi wa mazingira duniani, Afrika ni sehemu mbaya zaidi kwa atomiki, maana haina uzoefu wa kutosha wala miundo mbinu madhubuti ya kuweza kumudu teknolojia hii. Wanasema kuwa, laiti yaliyotokea Japan yangeliipata Afrika yenye vinu vya nyuklia, matokeo yangelikuwa mabaya zaidi.
"Wanatakiwa waone hali halisi ilivyo. Ikiwa Japan, nchi yenye utaratibu mzuri na viwango vya juu vya usalama, haikuweza kulizuwia janga hili, bila ya shaka, kwa Afrika ingelikuwa hasara kubwa sana kama yangelitokea haya huko." Anasema Rianne Teule, mtaalamu wa nyuklia katika Shirika la Kimataifa la Utetezi wa Mazingira, Greenpeace, kanda ya Afrika.
Hata hivyo, bado kuna wataalamu wengine, kama vile mtafiti wa nyuklia wa Ethiopia, Gedion Getahun, ambao wanaona kuwa, pamoja na matukio ya Japan, bado uwezekano wa Afrika kuwa na nishati ya nyuklia ni kitu kinachowezekana.
Kwa sababu wakati nchi za viwanda, kama vile Ujerumani, zitakapofunga vinu vyake, makampuni ya nyuklia yatatafuta masoko mapya. Na itakayokuwa juu kwenye orodha yao itakuwa Afrika, ambayo hadi sasa ingali ardhi isiyo na mwenyewe katika suala la atomiki.
Mwandishi: Jan-Phillip Scholz/ZPR
Tafsiri: Mohammed Khelef
Mhariri: Othman Miraji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom