Do we have nationalist in Tanzania? how many?

Mzalendo Mkuu

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
735
191
A nationalist is a person who advocates that the interests of the nation or country are primary and deserving preference over other individual interests.

A nationalist is concerned mainly with promoting the concept of the nation in its various forms that may include any or all among the economic, cultural, religious, ethnic and territorial aspects of the country. Kwa hali unayoina Tanzania, Nationalist tupo wangapi? (Kama kweli tupo). Bila Uzalendo mnadhani tutafika tuendako?
 
Wapo wachache sana!Siku tukibahatika kuongozwa na kiongozi ambae ni mtaifa ndo Tanzania itakua na mwelekeo mzuri!Zaidi ya hapo mafisadi wataendelea kuiuza tu maana wenyewe hawajali as long as acc zao zinajaa vijisenti!Hata Foreign Policy yetu sidhani kama ipo kwenye kuangalia maslahi ya nchi kwanza!
 
Back
Top Bottom