QUALITY
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 853
- 115
Kuna habari zimenifikia hivi punde kuwa wakati wa kikao cha kamati kuu ya CCM, taarifa za siri za Usalama wa taifa zilisema kuwa JK hata afanye nini hawezi kushinfa kwa sababu tafiti zote zimemtupa na wale waliokuwa wanatumiwa kuiba kura sasa wamegawanyika. Hivyo uwezekano wa kushinda ulikuwa hakuna! Zaidi wenzake walimshauri to withdraw kabla ya uchaguzi
JK alikasirika sana katika kikao hich akasema "DON'T DECLEAR FAILURE UNTIL YOU FAIL". Mpaka mkurugenzi wa Tume atoe matangazo kuwa nimeshindwa ndipo "naweza" kukubali ingawaje hata hapo itakuwa ngumu! Akaongoze, mbona hao wasiotajwa kama NCCR wanaendelea na kampeni, je mimi?
Sasa nilipopata habari hii, nikasema niilete hapa JF kuona kama

- kuna mwenye taarifa zaidi
- Kwanini anaendelea na kampeni wakati ameshauriwa aache maana anzidi kuongeza gharama kwenye chama na serikali wakati nyota ya ushindi kwake imeishafifia?