jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
- Thread starter
- #21
Mkuu nashukuru kwa kunielewa japo kw kingerza changu kibovu.Mkuu,
Ishu za rushwa hazijaletwa na huyo lowassa tu bali rushwa ilikuwepo tangia zamani hata kabla hajawa waziri Mkuu.
Kukaa meza moja siyo ishu sana ila unafiki wao ulijionesha tu pale walipo mkaribisha mtu ambae walimtukana matusi ya hapa na pale kuhusu ufisadi uliyofanyika.
Hii ndiyo inanifundisha kuwa siasa wakati mwingine ni upuuzi mtupu.pia wanasiasa ni watu ambao ni wanafiki wakubwa.
Haijalishi upo CCM au CDM wote ni wale tu sema wanakuja kwa kuvaa ngozi tofauti.
Mwingine anavaa ngozi ya kondoo na mwingine ngozi ya simba.
Ninatambua sana kuwa Rushwa hakuanza leo na wala haikuanza na lowassa
Natambua Rushwa haikuanza na Ccm wala chadema.
Natambua pia kuwa Rushwa ipo ndani yaCCM,CHADEMA CUF ET AL.
Hoja yangu yamsingi ni hii...kwamba Chadema ambacho ni chama kikuu cha upinzani na ambacho kimejijenga kupitia kelele dhidi ya rushwa na ufisadi iweje kikabadilika na kukumbatia mtuhumiwa mkuu wa ufisadi?
Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chadema ni nini kilichombadilisha ghafla kutoka kuwa mpinga fisadi na kuwamtetezi wa fisadi mkuuu?
Hiki ndicho knachonitatiza na kuwatatiza watanzania wengi walioaminishwa kuwa kuna fisadi na ufisadi.
Hiko ndicho kinamchofanya Jingal
Mkuu,

Mkuu nashukuru kwa kunielewa japo kw kingerza changu kibovu.
Ninatambua sana kuwa Rushwa hakuanza leo na wala haikuanza na lowassa
Natambua Rushwa haikuanza na Ccm wala chadema.
Natambua pia kuwa Rushwa ipo ndani yaCCM,CHADEMA CUF ET AL.
Hoja yangu yamsingi ni hii...kwamba Chadema ambacho ni chama kikuu cha upinzani na ambacho kimejijenga kupitia kelele dhidi ya rushwa na ufisadi iweje kikabadilika na kukumbatia mtuhumiwa mkuu wa ufisadi?
Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chadema ni nini kilichombadilisha ghafla kutoka kuwa mpinga fisadi na kuwamtetezi wa fisadi mkuuu?
Hiki ndicho knachonitatiza na kuwatatiza watanzania wengi walioaminishwa kuwa kuna fisadi na ufisadi.
Hiko ndicho kinamchofanya Jingalao ashangae leo hii kwa nini tuendelee kumuamini Mbowe!