Dna

Mchaga

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,378
204
Juma (sio jina lake), alitambulisha mchumba kwa baba yake, kwa bahati mbaya baba yake alimkataa mchumba huyo kwa maelezo kuwa ni ndugu yake wa damu kutoka kwa mama mwingine ambaye baba yake alizaa naye. Baadae vipimo vya dna vilimpa uhakika.

Kwa kuwa juma alimpenda sana yule mchumba wake basi aliamua kwenda kuomba ushauri kwa mama yake, kwa mshangao mama yake alimpa baraka zote na kumruhusu amuoe huyo mchumba wake, kwani hata yeye baba yake halisi alikuwa ni house boy wao wa zamani ambaye kwa sasa yupo mbali, mara baada ya kupata taarifa hiyo juma akazirai kwa mshtuko kwa kujua kumbe aliyemlea si baba yake halisi!
 
Duh hii ni kali,inaonekana wazazi wa Juma walikuwa moto chini enzi zao.
 
Hili ni tatizo la kuchapa nje sana hivyo mtu anarudi nyumbani anashindwa kugawa dozi ya kutosha. Unategemea nini wakati damu mbichi iko hapo ndani.
 
Juma (sio jina lake), alitambulisha mchumba kwa baba yake, kwa bahati mbaya baba yake alimkataa mchumba huyo kwa maelezo kuwa ni ndugu yake wa damu kutoka kwa mama mwingine ambaye baba yake alizaa naye. Baadae vipimo vya dna vilimpa uhakika.

Kwa kuwa juma alimpenda sana yule mchumba wake basi aliamua kwenda kuomba ushauri kwa mama yake, kwa mshangao mama yake alimpa baraka zote na kumruhusu amuoe huyo mchumba wake, kwani hata yeye baba yake halisi alikuwa ni house boy wao wa zamani ambaye kwa sasa yupo mbali, mara baada ya kupata taarifa hiyo juma akazirai kwa mshtuko kwa kujua kumbe aliyemlea si baba yake halisi!

Hapa umenichanganya.
Why kapata positive DNA results while they don't share a father or mother with the girl who is said to be his sister?
 
hapa umenichanganya.
Why kapata positive dna results while they don't share a father or mother with the girl who is said to be his sister?
mkuu this is a joke usiwe serious sana, enjoy...:)
 
Hii Inatokeakama kawa. Watu wanaishi na watoto ambao si wao kama kawa, wakidhani ni wa kwao.
Mmesahau story ya manaJF mmoja anayetaka ushauri, ili wamchukue mtoto ambaye kakake alimzaa, lakini kalelewa na baba mwingine?
Hata hivyo, kuwaruhusu waoane si busara, maana wameshaishi kama ndugu miaka yote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom