DMX achomoa kuja Bongo

huyo mchumba kalapina,jaymo na mansulii wamekalia kisiki tu

katavi..tatizo hawa watu elimu hawana kwa hyo hawawezi kujitambua na kujua haki zao kuwa wananyonywa na kila siku wanalia njaa.. jaymo nko nae mtaa mmoja kajaa kandambili tuu hana nyuma wala mbele anaishi kwenye nyumba ya baba yake. hana ujanja
 
Wapumbavu nchi hii hawaishi,mpaka sasahivi ukiwauliza mbunge na ruge nani mmbaya watakwambia maneno kibao na majungu yakutosha,matangazo yote yale hapakua na mwanamuziki yeyote anakuja ilikua ni kuwahadaa tu wtu ili shoo ya mbunge isifane.alakini aibu yao kwani mbunge alikimbiza ile laana.wasanii wa bongo waache njaa za kipumbavu na wasitegemee mtu kufikiri badala yao,watumie akili zao za kuzaliwa,unapomtegemea mtu mwingine kufikiri badala yako utapotea kwani wengine huwa wanatumia masaburi kufikiri.piga ua ruge na machoko wenzie poale clouds wanatumia masaburi ,anaebisha anamatatizo kama anabisha atueleze jana DMX alitumbuiza wapi.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom