DMX achomoa kuja Bongo

mseseve

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
511
89
wanajf kumbe sugu na dmx ni washkaji alijua anakuja bongo kuchana mic na wagumu wenzake kina sugu kumbe anakuja kujichanganya na wabana pua..habar nyepes nyepesi kaamua kuchomoa.kwenye show leo hatokwepoo
 
wajamen me nipo kwa sugu watu nyomi waheshmiwa wa kumwaga pale kati namwona sugu na waziri fulan wa serikal ya jk
 
walioenda kule wamedanganywa na wanaondoka kwa hasira kuja huku viwanja vya ustawi
 
Basi wameishiwa na wataonekana hawana maana tena. Kala pina aliyesema anataka kupafom jukwaa moja na dmx sasa sijui atasemaje!

kama kwel yeye ni mwanahip hop kweli anatakiwa aondoke aje aungane na sugu huku makamuz yanaendelea
 
sugu ni jeshi la mtu mmoja wao wako m1 lakini mchecheto mpaka wanaanza kudanganya umma, na hapo bado mwenyewe dmx hajachua hatua kwa kutumia jina lake kibiashara na bado hapo leaders watu hawajachukua sheria mkononi...patam hapa.,ngoja tuone..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom