Elections 2010 Dkt. Slaa kushinda?

ukiona mtu mzima ametoka mapovu mbele za watu ujue ukweli umempata binafsi naona kama JK ndio amejiumiza kwani ni bora akina Mkapa wangelijibu vp hawajahusika na EPA, Kiwira kuliko kuporomosha mvua ya matusi pale Jangwani. Ami nadhani uko peke yako
 
watanzania maskini ni pamoja na wafugaji wa kigogo huko dodoma.juzi alipokuwa kwao aliwaambia akiingia madarakani wale waliokuwa hawajawapeleka watoto wao shule,watamkoma!.

ni kweli kwani yeye hana masihala na elimu , elimu bure kwanini usipeleke mtoto shule?
 
Kashindwa nini? kumuopoa Mama Salma?? mada nyingine bwana kama vile kaandika mwanangu wa chekechea
 
Hizo ni dalili za ushindi kwa Dr Slaa.

Mkapa ana hofu ya kuishtakiwa na kutaifishiwa mali zilizofichwa kwa ANBEN.Hana lolote kwa Slaa.

ushaona fisadi anamwacha fisadi mwenzake?

CCM inategemea kuchakachua na kuhonga tu.

Tunaangalia hoja bwana na sio maneno tu
 
Kutokana na kampeni za Jangwani na huko Mbeya mabomu yalivyokwenda,na jinsi viongozi wastaafu walivyomkandia Slaa katika dakika za mwisho ni wazi kuwa dkt.Slaa katika uchaguzi huu ataanguka tu.
Au mwasemaje wapiga kura wenzangu?.

wewe na wote hao Mmeshindwa katika jina lake aliyejuu
 
Kutokana na kampeni za Jangwani na huko Mbeya mabomu yalivyokwenda,na jinsi viongozi wastaafu walivyomkandia Slaa katika dakika za mwisho ni wazi kuwa dkt.Slaa katika uchaguzi huu ataanguka tu.
Au mwasemaje wapiga kura wenzangu?.

PichayaNyererenaSlaa1.jpg
 
Kutokana na kampeni za Jangwani na huko Mbeya mabomu yalivyokwenda,na jinsi viongozi wastaafu walivyomkandia Slaa katika dakika za mwisho ni wazi kuwa dkt.Slaa katika uchaguzi huu ataanguka tu.
Au mwasemaje wapiga kura wenzangu?.
Nonesense
 
Lile shirika la ushushushu la nchi fulani kubwa duniani lilikuwa na kikao muda mfupi uliopita na mkuu wa nchi anayemaliza muda wake kufanya majumuisho kabla ya kazoezi ketu ka 31 Oktoba 2010.

Jamani Mkuu amekasirika mno...ukizingatia amechoka mno kwa shughuli za leo.

Jamaa wamemwambia hata kwa mpango wa uchakachuaji waliouandaa bado kura za Dr. Slaa zitafikia 54.6% wakati JK atakuwa na 29. 2% na waliobaki kugawana. Bila kuchakachua jamaa wanadai Dr. Slaa atakuwa na 57.7%, Prof Lipumba 26.8% na JK 14.3%. Hivyo atakayeathiriwa na uchakachuaji kwa kiasi kikubwa ni Prof.

Hivi sasa amechanganyikiwa kabisa na Jamaa zake waliozoea kumliwaza wameshindwa cha kusema maana hawa mashushushu wanaaminika mno wanapotoa data kwa mkuu.

MSIFIKIRI NI USHABIKI JAMANI....NI KWELI, TUKUTANE HAPA BAADA YA MATOKEO!!!!
 
Kwani ana wasi wasi gani wakati Sin bin Clair amekwisha muandalia mahali pa kukaa kule Canada?
 
Ngoja tusubiri hiyo kesho, ila nina wasi wasi yasije kutokea ya Zimbabwe. asante mkuu
 
Lile shirika la ushushushu la nchi fulani kubwa duniani lilikuwa na kikao muda mfupi uliopita na mkuu wa nchi anayemaliza muda wake kufanya majumuisho kabla ya kazoezi ketu ka 31 Oktoba 2010.

Jamani Mkuu amekasirika mno...ukizingatia amechoka mno kwa shughuli za leo.

Jamaa wamemwambia hata kwa mpango wa uchakachuaji waliouandaa bado kura za Dr. Slaa zitafikia 54.6% wakati JK atakuwa na 29. 2% na waliobaki kugawana. Bila kuchakachua jamaa wanadai Dr. Slaa atakuwa na 57.7%, Prof Lipumba 26.8% na JK 14.3%. Hivyo atakayeathiriwa na uchakachuaji kwa kiasi kikubwa ni Prof.

Hivi sasa amechanganyikiwa kabisa na Jamaa zake waliozoea kumliwaza wameshindwa cha kusema maana hawa mashushushu wanaaminika mno wanapotoa data kwa mkuu.

MSIFIKIRI NI USHABIKI JAMANI....NI KWELI, TUKUTANE HAPA BAADA YA MATOKEO!!!!

Nyie wazushi mwisho wenu ni kesho. Asante mungu kampeni zinaisha maana nimechoka kweli na watu ambao wanakuja JF na kuja kuzua bila hata kuona aibu.
 
Nyie wazushi mwisho wenu ni kesho. Asante mungu kampeni zinaisha maana nimechoka kweli na watu ambao wanakuja JF na kuja kuzua bila hata kuona aibu.

Mkuu naomba usikimbie hapa baada ya matokeo. Tutahitaji wapinzani wa kumpa changamoto Dr. Slaa.

Mimi mwenyewe najiandaa kuanza kutoa changamoto kwa serikali ya Dr. Slaa ili nchi yetu in'gae zaidi.

Kama una ndugu yako Secret Service.....tafuta mbinu za kuwasiliana naye 'indirectly' utapata kafununu japo kidogo. Japo hatokupa siri moja kwa moja...tafuta namna ya kumzunguka kama unaweza.

Lakini kwa nyinyi mnaounga CCM mkono mara nyingi vichwa vyenu vizito sana kuelewa.
 
Wameshindwa kurudisha pesa walizoiba na kuzipeleka nje ya nchi. Umemsikia Mkapa anakwambia alikua nje wakamuuliza Rais wako mbona hatumuoni....ooh nashughulikia mambo ya kimataifa...hakuna lolote...alienda kujaribu kufanya taratibu za kurudisha pesa na ametengeneza
nyaraka za kuonyesha kuwa amerudisha kabla ya 31 Oktoba 2010.

Mkapa ameua ndege wawili kwa jiwe moja...kwanza ana nyaraka za kuonyesha pesa alizoiba karudisha..pili amekuja kupiga kampeni mwisho mwisho za kitooooto. eti 'ovyo ovyo' jamaa mwongo sana hapo anajua Dk Slaa akishinda , nyaraka anazo kwa hiyo segerea anaruka, na anawaza upande wa pili kuwa wakiamua kupiga uzimbabwe wakafanikiwa asionekane kuwa alimtosa JK.

Wanasiasa noma!!!!
 
Nyie wazushi mwisho wenu ni kesho. Asante mungu kampeni zinaisha maana nimechoka kweli na watu ambao wanakuja JF na kuja kuzua bila hata kuona aibu.

There is only one option for you short of which you will be out...and that is KUCHAKACHUA
 
Back
Top Bottom