Elections 2010 Dkt. Slaa kushinda?

Alwaz

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,126
10,836
Kutokana na kampeni za Jangwani na huko Mbeya mabomu yalivyokwenda,na jinsi viongozi wastaafu walivyomkandia Slaa katika dakika za mwisho ni wazi kuwa dkt.Slaa katika uchaguzi huu ataanguka tu.
Au mwasemaje wapiga kura wenzangu?.
 
Ami stop being myopic sasa unategemea mmiliki wa kiwila aongee mazuri ya Slaa.
 
Kutokana na kampeni za Jangwani na huko Mbeya mabomu yalivyokwenda,na jinsi viongozi wastaafu walivyomkandia Slaa katika dakika za mwisho ni wazi kuwa dkt.Slaa katika uchaguzi huu ataanguka tu.

How? Ataanguka au wamemjenga..........Mkapa atetea asishitakiwe kwa ufisadi na Mzee Rukhsa unataka afanye nini kama siyo kuitetea "project" yake?
 
Kutokana na kampeni za Jangwani na huko Mbeya mabomu yalivyokwenda,na jinsi viongozi wastaafu walivyomkandia Slaa katika dakika za mwisho ni wazi kuwa dkt.Slaa katika uchaguzi huu ataanguka tu.
Au mwasemaje wapiga kura wenzangu?.

:ban:
 
Ami stop being myopic sasa unategemea mmiliki wa kiwila aongee mazuri ya Slaa.
Hajipendi, yaani ajichimbie kaburi mwenyewe....
Mmachinga kageuka kuwa mkwere/mzaramo ghafla, ile mipasho si hapa. Hadija kopa katuharibia viongozi wetu lol!
 
Wote wako kwenye list of shame, waanze kutafuta mawakili wa kuwatetea mahakamani kuanzia mwezi ujao.
 
Kutokana na kampeni za Jangwani na huko Mbeya mabomu yalivyokwenda,na jinsi viongozi wastaafu walivyomkandia Slaa katika dakika za mwisho ni wazi kuwa dkt.Slaa katika uchaguzi huu ataanguka tu.
Au mwasemaje wapiga kura wenzangu?.

Mkuu Dk. wa Ukweli Slaa haihitaji Kuungwa mkono na Viongozi wastaafu (Ambao wengi ni wezi) ili aweze kuingia Ikulu. Dr. Slaa anahitaji kuungwa mkono na Watanzania maskini wenye kiu ya Mabadiliko
 
Mkuu Dk. wa Ukweli Slaa haihitaji Kuungwa mkono na Viongozi wastaafu (Ambao wengi ni wezi) ili aweze kuingia Ikulu. Dr. Slaa anahitaji kuungwa mkono na Watanzania maskini wenye kiu ya Mabadiliko
Watanzania maskini ni pamoja na wafugaji wa Kigogo huko Dodoma.Juzi alipokuwa kwao aliwaambia akiingia madarakani wale waliokuwa hawajawapeleka watoto wao shule,watamkoma!.
 
<b><font size="2"><font color="darkred">Kutokana na kampeni za Jangwani na huko Mbeya mabomu yalivyokwenda,na jinsi viongozi wastaafu walivyomkandia Slaa katika dakika za mwisho ni wazi kuwa dkt.Slaa katika uchaguzi huu ataanguka tu.</font></font></b><br />
<b><font size="2"><font color="#8b0000"> Au mwasemaje wapiga kura wenzangu? mkuu watu tulisha decide long ago....too late
 
Ivi umegundua JK huwa anaogopa ata kulitaja jina la Dr Slaa nadhani ata mwili humsisimka
 
Kutokana na kampeni za Jangwani na huko Mbeya mabomu yalivyokwenda ni wazi kuwa dkt.Slaa katika uchaguzi huu ataanguka tu.

Unawezaje kuconclude kirahisi rahisi namna hii?? - matatizo ya shule za kata
 
Tuachane na huyu Ami, lengo lake ni kutufanya tuache kuwapigia Simu Ndugu jamaa na Marafiki ili kuwakumbusha juu wa Umuhimu wa mabadiliko tunayoyataka

Pipoooooooooooooooooz
 
Unawezaje kuconclude kirahisi rahisi namna hii?? - matatizo ya shule za kata
Eee! bwana,dalili za mvua ni mawingu.
Kila dalili zinaonesha hivyo kuwa Slaa atapata kura nyingi kuliko Mrema alivyopata lakini hatofikia 3/4 ya zile za Kikwete..

Mkapa aliisubiri sana hii nafasi ili amtukane Slaa, na kwa kumtukana wameweza lakini sasa je kura atapewa nani?
 
Kama unaona ameshindwa kesho kampe kura yako uone kama kiwete hajalia
 
Endapo Mwinyi na Mkapa wangemuunga mkono slaa, basi ningejua wana vichaa... mwinyi alipanda mbegu ya ufisadi, na Mkapa akapalilia, kikwete anavuna, 2015 tunachoma mabua

their conducts are not unexpected
 
Tupe hoja mabomu na kukandiwa na watawala wenye kashfa za rushwa kuna muangushaje dr slaa?

Eti mkapa aliyemwagiza Daudi Ballali ampe R.A. pesa za EPA, zikaingia Kagoda kumfanyia kampeni Kikwete 2005, anawatafadhalisha WaTz wasahau. Waendelee na J.K.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa nini tunaonekana kudhani WaTz. hawawezi kukumbuka hoja zilizoibuliwa na Dk. Slaa kipindi chote tangu kampeni zianze?

Ng'o!! Hakuna kubadilisha msimamo. Kura ni kwa SLAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom