Dkt Slaa/Chadema mbona kimya?

Mlalahoi

JF-Expert Member
Aug 31, 2006
2,182
883
Kwanza inabidi niweke wazi kuwa nimeweka jina la Dkt Slaa kwenye kichwa cha habari kwa vile ni mwana-JF mwenzetu na anatembelea hapa mara kwa mara.Otherwise,dukuduku langu linaihusu Chadema kwa ujumla.

Niliwahi kuanzisha thread flani hapa (https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/54564-wapinzani-wamemu-indorse-jk.html) kudadisi iwapo vyama vya upinzani vimeamua kUtosimamisha mgombea urais katika uchaguzi mkuu ujao.However,katika post hiyo,concern yangu ilikuwa kwa vyama vyote vya upinzani,lakini sasa naona nielekeze wasiwasi wangu kwa Chadema-chama ambacho naamini kikijipanga vizuri kinaweza kabisa kutuletea mabadiliko tunayosubiri kwa hamu.

Tumebakiwa na siku 3 kabla ya kuingia April,ambapo tutakuwa na takriban miezi 6 kabla ya uchaguzi (neglecting utabiri wa Sheikh Yahya kuwa hakuna uchaguzi mwaka huu).Let's be very honest,hivi katika muda mfupi kiasi hiki,Chadema itaweza kweli kumnadi mgombea wake kiasi cha kujihakikishia ushindi badala ya ushiriki tu?Nafahamu kuwa chama hiki kina utaratibu wa kumpata mgombea urais lakini nisichofahamu ni kuwa mchakato huo utaanza lini.Lakini kikubwa zaidi ni ufinyu wa muda uliosalia kwa maandalizi ya ushiriki mzima wa Chadema katika uchaguzi huo katika nafasi ya urais.

Mods mnaweza kuihamishia post hii mahala pengine kama haistahili kuwa hapa.
 
CHADEMA wamekwsiha sema watasimamisha mgombea wa urais kwenye uchaguzi wa Oktoba 2010...taratibu za mchakato wa jinsi mgombea huyo anavopatikana ni utaratibu wa CHADEMA kama chama..sasa sijui unataka hapa JF uelimishwe nini?otherwise unge M PM Dr.Slaa moja kwa moja
 
Si nimeeleza kuwa nimeweka hapa kwa vile Dkt Slaa ni mwana-JF.Na pia nimeeleza kuwa nafahamu kuwa taratibu za mchakato ni utaratibu wa CHADEMA but I'm just concerned with the time left before the General Election.I know I could have chosen to pm Dkt Slaa but chose otherwise because I strongly believe that he or Chadema has to say would be beneficial to all other JF members (sharing similar curiosity).
 
Mi nashangaa why they beat around the bushes!
chadema wekeni wazi mgombea hapo kwasasa naona ni Slaa,tusubiri maamuzi ya vikao vyenu,kumbuka wapinzani wa chadema wanadai hakuna demokrasia humo ndani ya chadema....Na licha ya kwamba Mbowe anafaa,bado tusitake kurudi kwenye malumbano ya kupotezeana muda...Binafsi naamini Dr Slaa naye pia anaqualify pia anaweza kuwawakilisha chadema mwaka hu kwenye nafasi ya kugombea urais...Bottom line uamuzi ni wenu wana chadema,mkimsimamisha Slaa mimi sina chama lakini tutamsapoti maana sitegemei mabadiliko yoyote toka kwa ccm.
 
Chadema watuletee maendeleo tunayo yasubiri chini ya uongozi wa Mbowe na Slaa?? tumekwisha!!!
 
Ubinafsi ndio tatito la CHADEMA,

Sasa hivi kila moja anajiweka sawa kwa ajili ya Ubunge... nani ana muda wa kufikiria chama au hata kuweka mgombea wa ura-hisi?

Kwa maoni yangu, wapeleke nguvu kwa wabunge kama wanavyofanya sasa na waachane na kiti cha ura-his.
 
Mkuu your two paragraphs are contradictory
 
Really mkuu,kwanini hamsomi kabla hamjapost ama kusoma posting za wenzenu?Teh teh teh...Mkuu umesema ni ubinfasi wanapogombea ubunge badala ya "Ura-his" na hapo hapo uka suggest kuwa ndicho wanatakiwa kufanya,yani kugombea ubunge,sasa hiyo si contradiction ni kitu gani?
 
Sure

Ubinafsi ndio tatito la CHADEMA
Nadhani Ubinafsi si Jambo Zuri,
Sasa hapa chini unajaribu kuunganisha Sifa ya Ubinafsi na Sababu zinazowafanya wakulu hao kujiimarisha zaidi kwenye Ubunge na mbaya Zaidi unaonekana kama Unawalaumu kwa kuutelekeza Ugombea Urais

Sasa hivi kila moja anajiweka sawa kwa ajili ya Ubunge... nani ana muda wa kufikiria chama au hata kuweka mgombea wa ura-hisi?
Hapa tena unawapongoza kwa kile unachokiita Ubinafsi na kuwaasa wafanye kile ambacho kwenye para ya Juu umekiponda

Kwa maoni yangu, wapeleke nguvu kwa wabunge kama wanavyofanya sasa na waachane na kiti cha ura-his.
 
Chadema wakimsimamisha Slaa ndio itakuwa wanelekea kukiua chama, yaani hapa hakuna siri kwamba hakuna chama cha upinzani kinachoweza kuchukua nchi kwa sasa, kwa hiyo Slaa akigombea ni wazi atashindwa na akishindwa ina maana hatakuwa mbunge tena, hivyo tutapoteza silahaa ya maana sana na mtetezi wa kweli wa wananchi.

ushauri wangu kama Chadema wakitaka kuweka mgombea basi ni bora wamweke ZITTO, kwani hata akikosa uraisi na ubunge atakuwa ameukosa na wapinzani watakuwa HAWAJAloose kitu,
 
Chadema wakimsimamisha Slaa ndio itakuwa wanelekea kukiua chama, yaani hapa hakuna siri kwamba kuna chama cha upinzani kinachoweza kuchukua nchi kwa sasa, kwa hiyo Slaa akigombea ni wazi atashindwa na akishindwa ina maana hatakuwa sio mbunge tena, hivyo tutapoteza silahaa ya maana sana

ushauri wangu kama Chadema wakitaka kuweka mgombea basi ni bora wamweke ZITTO, kwani hata akikosa uraisi na ubunge atakuwa ameukosa na wapinzani hawatakuwa HAWAJAloose kitu,

Zitto hajafikisha Umri bado wa kugombea Urais
 
Chadema wakimsimamisha Slaa ndio itakuwa wanelekea kukiua chama, yaani hapa hakuna siri kwamba hakuna chama cha upinzani kinachoweza kuchukua nchi kwa sasa, kwa hiyo Slaa akigombea ni wazi atashindwa na akishindwa ina maana hatakuwa mbunge tena, hivyo tutapoteza silahaa ya maana sana na mtetezi wa kweli wa wananchi.

ushauri wangu kama Chadema wakitaka kuweka mgombea basi ni bora wamweke ZITTO, kwani hata akikosa uraisi na ubunge atakuwa ameukosa na wapinzani watakuwa HAWAJAloose kitu,

Unanifurahisha sana unavyokifanya chama kama mradi wa kujiletea ulaji tu na kuondoa maana halisi ya chama cha siasa kuwa ni pamoja na kushika madaraka ya nchi.

Wewe unadhani ni wakati gani mwafaka wa kugombea urais na unahakika gani kuwa wakati huo ndio watashinda? Je, ni nani atakayekijenga chama hadi wakati huo waje kuchukua tu madaraka kama hawatakijenga leo? Unataka kutushawishi kuwa wanaokwenda vitani hawajui kuwa umauti uko nje-nje, lakini sababu ya uzalendo hawana budi kushiriki?

Kusimamisha mgombea wa urais ni njia moja murua kabisa ya kukijenga chama kitaifa tofauti na kumjenga mtu mmoja mmoja
 
Back
Top Bottom