Samwel
JF-Expert Member
- Mar 25, 2007
- 224
- 8
.Kasyabone,
Labda ni mapenzi, ila unashangaza unavyosema mbunge apimwe kwa miaka 10. Sijui hiyo ni katiba ya nchi gani?
Kipindi cha bunge ni miaka mitano na mbunge hupimwa kwa hiyo miaka mitano.
Pia kama kuna wagombea wengi basi ni nzuri kwa demokrasia. Kwa taarifa yako mwaka 2005 kulikuwa na wagombea kama 10 ila mpambano mkali ulikuwa kati ya Mwakyembe na Mwakipesile.
Kasyabone, naona Kyela yako ni ya kusimuliwa na wengine, pole sana. Mtu aliyekaa miezi mitatu Kyela asingeandika hayo uliyoyaandika.
Bambumbili,
1.Umesahau kuwa Huyu Bwana ndiye aliyeaandika udaku kuwa ametoka airport kumsindikiza mwakalinga na kupotosha kila kitu.
2.Na huyu Bwana ndiye alileta waraka hapa alioandika yeye na mke wake akidai ni waraka wa mkuu wa mkoa wa mbeya wa kumuuza Mwakalinga.
3.Alivyomjinga,anashindwa kuandika yaliyotokea Ipinda.Ambapo Mensa(Mwenyekiti kata ya Ipinda) Imejitoa na kumshabikia Mwakyembe na kusababisha vurugu mpaka mahakamani.
Huyu Kashabone ni mtu hatari na mzushi na ni mtu wa kumuogopa kama ukoma.