Dkt. Lucas Webiro [CHADEMA] kuunguruma kijiji cha Ruabu Bunda tar.6-09-2013

keteka

Senior Member
May 12, 2013
149
52
Taarifa hizi zimetolewa na Katibu wa Kanda ya Ziwa Mashariki Chadema tumuombee kamanda wetu wa ukweli kufanikisha Kazi ya CHADEMA NI mSINGI ambayo endelea nchi nzima.

Bunda jitokezeni kumaliza kazi tulipewa na Mungu kuondoa Ufalme wa ibilisi unaokula maisha yetu kila siku bila huruma kwenye nchi tulipewa na Mungu tumiliki na kutawala sasa tunatawaliwa na kila kitu hata pesa tunataka kuziabudu haikubaliki hata kidogo.
 
Bunda kama ilivyo Mkoa wa Mara hatudanganyiki na Chadema. Mifujo yenu iishie huko huko mlikozoea. Msijidanganye eti mna chenu Bunda. Tumewastukia na tunawamulika kwa macho yote msituletee vurugu zenu kwani Sisi tunataka maendeleo na si vurugu zenu.
 
Ha ha ha unacho wewe Gambas:A S kiss:
 
Taarifa hizi zimetolewa na Katibu wa Kanda ya Ziwa Mashariki Chadema tumuombee kamanda wetu wa ukweli kufanikisha Kazi ya CHADEMA NI mSINGI ambayo endelea nchi nzima.
Bunda jitokezeni kumaliza kazi tulipewa na Mungu kuondoa Ufalme wa ibilisi unaokula maisha yetu kila siku bila huruma kwenye nchi tulipewa na Mungu tumiliki na kutawala sasa tunatawaliwa na kila kitu hata pesa tunataka kuziabudu haikubaliki hata kidogo
.

==>> Dr. mganga njaaaa...au Dr. wa kienyeji....whatever ur academic background....ur a total failure....no Dr.. is stupidly advertising himself like u do.... u use different ID... ili hali ni ww.... Dr. wa internet...
 
Back
Top Bottom