Dk. Ulimboka: Niko fit!

Watanzania bwana , tunafurahia kuona wengine wakipambana katika ujinga. Hivi suala la mgomo ni la kufurahia kweli, ili watu wa hali ya chini waendelee kudhurika au?

Hata bila mgomo watu wa hali ya chini wanaendelea kudhurika labda wewe ambaye unatibiwa nje ya nchi? hivi ni hosptal gani yenye dawa za kutibu hao watu wa chini, Watu wanakufa kwa kukosa dawa wanalala chini bila ya kitanda! Hayo ndo maisha ya watu wa chini ambao DR. ULIMBOKA ametezwa kwa ajili yao na Mungu alivyo mkubwa ameponyesha.

Mungu siko zote yuko nyuma ya wanaoonewa.

Mungu akubariki Dr. Ulimboka.
 
mungu ananguvu!modes wametoa uzi wangu poa bana lakini lazima niseme kuhusu hando na mbwewe zake kuhusu kutekwa kwa dr.urimboka,alijishaua sana siku ile na maneno yake ya ajabu sijui ndo alikuwa anataka ukuu wa wilaya mie hata sitaki kujua,ila kwa kweli alinibore sana,sasa urimboka ni mzima wa afya na leo magazeti yote waliyokuwa nayo studio yalieleza kurejea kwa urimboka akiwa mzima mwenye afya tele.sijasikiz zile kejeli za unafiki wake kuongelea hili la urimboka.

kweli aibu yako hando,.
 
Huyo nae atakuwa kama" Komredi Mwakyembe" alijifanya oooh nikirudi nitataja walionifanyia unyama huu, aliporudi ikawa kimya. Huyu naye alisema anawafahamu wliomfanyia hiyo kitu mbaya, sasa mbona amefyata kama ni kweli? Awataje basi tujue maana madaktari mmekuwa kama chama cha siasa sasa! Tumechoka na hizi stori za Zinduna, Awataje sio kutaka kujizolea umaarufu usio na maana. Narudia tena kusema kama Ulimboka amerudi mzima wa afya then anasubiri nini kuwataja hao watu tuweze kufuatilia haki yake? JUSTICE DELAY IS JUSTICE DENIAL!
 
Akili yako haina tofauti na ile Mkurugenzi wa TAWLA. Anaacha kufanyakazi zinazoendana na kazi yake anajipendekeza kutafuta Mume, hivi hajui kuwa Ulimboka ana mke? Aje kwangu mimi Bachelor. Watoto wa kike wanaripotiwa kuozwa na wazazi wao na kuacha shule, Wanawake wanazalishwa na wanaume kuwakimbia, watoto wa kike wanabakwa. Hayo ndiyo yanahusu shughuli zake, badala yake anakimbili kuvaa mabango ya kumpokea Ulimboka ambaye ni janga kwa wagonjwa wa hali ya chini.

teh teh teh...punguza jazba! Ukitaka kuishi maisha marefu na ya amani just learn to calm down and observe things diligently. Ulimboka sidhani kama ni tatizo kubwa kama hivi. Ila mambo kama haya ya hasira na jazba ndio yanamfanya awe hero! Anaonekana amesimama ukweli ulipo...na wapiga kura wengi wanaamini hivyo kwamba kijana anasema ukweli.
 
Kwa nini uwe nyuma yake , na usitangulie mbele yake? teh teh teh , acheni kumdanganya Ulimpoka asije akaingia Mkenge tena, kitendo alichokuwa akiwafanyia wagonjwa Mungu hakipendi, bali kinapendwa na wanaharakati, wanasiasa uchwara na watu wanaopenda kuona vurugu zikitokea nchini.
Uzuri ni kwamba kitendo cha Kumtesa umekipenda wewe na mungu unayemuamini. Malipizi ni kazi ya Mungu ninayemjua mie, nadhani hahusiani na mungu wako. Hongereni kwa kufanikisha nusu. Akiingia mkenge tena mtamnyonga this time?
 
Jaminie kazi ni wito na kama kuna watu wanageuza profession zao kama vile siasa flan huyu jamaa anaonekana kwa kuna kitu anataka xaxa cha ziada ni nini kimemfanya arud akiwa jasiri hivi na akijua wazi anawindwa na watu wake ambao sio wazuri kwa upande wake au ndo keshajigundua kua wameshammaliza sasa ameamua kurud hili ata akiwa ionekane kuwa wale watu walishindwa kabla na xaxa amekufa kwa mipano ya Munguu?
 
Kwa nini uwe nyuma yake , na usitangulie mbele yake? teh teh teh , acheni kumdanganya Ulimpoka asije akaingia Mkenge tena, kitendo alichokuwa akiwafanyia wagonjwa Mungu hakipendi, bali kinapendwa na wanaharakati, wanasiasa uchwara na watu wanaopenda kuona vurugu zikitokea nchini.

So, Mungu anapenda kitendo cha kumtesa mtu, kumpiga na kumtupa porini ? sijui lakini, najaribu tu kubalance logic toka kwenye phrase za Mamaisara.
 
Jaminie kazi ni wito na kama kuna watu wanageuza profession zao kama vile siasa flan huyu jamaa anaonekana kwa kuna kitu anataka xaxa cha ziada ni nini kimemfanya arud akiwa jasiri hivi na akijua wazi anawindwa na watu wake ambao sio wazuri kwa upande wake au ndo keshajigundua kua wameshammaliza sasa ameamua kurud hili ata akiwa ionekane kuwa wale watu walishindwa kabla na xaxa amekufa kwa mipano ya Munguu?

Actually mwisho wa binadamu yeyote ni kifo tu. kama hujafa kwa ugonjwa utakufa kwa ajali, kuuwawa na wtu wenye hila, all in all, tuseme tu kuwa ile ni issue ya doctors na serikali, mvutano wa pande hizo mbili ni lazima uwe na wawakilishi, hakuna ubaya wa yeye (Ulimboka) kuwakilisha doctors. Na kupambana na yeye hakuna maana sana. Pia ukumbuke anayevutana na serikali siyo madaktari peke yao. Nadhani umeona wazee wakivutana na serikali, walimu, vijana ( katika maswala mengi ikiwemo ukosefu wa ajira), wananchi kwa ujumla wao kutokana na ugumu wa maisha. Kurudi kwake ni sawa tu. so, wakimpiga bado hawamalizi matatizo. Na hata ukitoroka leo Tanzania ukaenda kuishi Africa kusini, bado iko siku moja utakufa tu. KUTOROKA MATATIZO NI KUONGEZA MATATIZO! Sometimes ni vyema kuacha ushabiki na kuangalia ukweli tu. Kufa kwa mpango wa Mungu na kufa kwa hila za watu, vyote ni vifo tu. hakuna tofauti. The most important thing should be " What are we fighting for ?", is it for the benefit of our nation ? ukipata jibu, then mtu anaamua kusimama na kusema "enough is enough, nitasimama na nitakuwa tayari kwa lolote" You can kill all the people, but the truth wil be there to stay.
 
Dk Ulimboka jua, yote ni mipango ya Mungu, nakutakia kila la kheri katika maisha yako. Mungu akulinde, na ufunikwe kwa damu ya YESU
 
Mungu hakika wewe ni mkuu. Unastahili sifa, enzi, kuu na heshima. Mkono wako ni hodari nani awezaye kupingana nawe??
 
Hakuna Mungu anayemwamuru mtu kugoma, acha kukufuru wewe, Shetani huyo alimtuma, ila Mungu kamponya ili arudi apime kama alichokuwa akiwafanyia wanyonge kinastahili kweli.

Wacha ufirauni Mamaisara ! Kwani Dr Ulimboka ndiye amefanya wagonjwa walale chini , ndiye anapashwa kununu vifaa hospitalini kwa nini msiseme ukweli kuwa Serikali yetu ni dhaifu haina uadilifu , imejaa majambazi wanaoibia Taifa.

Dr Uli. ni sauti ilinayolia jangwani inatuamsha tujue yatupasayo kufanya, kugoma kwake ni kama amabavyo unaweza kumwamuru askari aende vitani bila siraha umwambie atumie mishale mbele ya risasi. Akigoma ni mtu jasiri lakini akikubali atakuwa mpumbavu

Ndivyo mnataka madaktari wetu waonekane wajinga kwa kukubali kufanya kazi bila vitendea kazi , hata mganga wa kienyeji hafanyi hivyo lazima akachimbe dawa zakutibia

Lakini humu kuna watu wengi vibaraka wa watalawa wako tayari kulamba miguu ya wanaowatumikia

Madaktari ni watu walioenda shule wanajua wanachoongea. Nenda KCMC uone aibu ya nchi sasa . huduma zimekwama kabisa , na bado serikali sikivu imevuta shuka
 
Mamaisara ndo walewale wachache wanaofaidi nchi hii, na hawataki mabadiliko kwasababu wao wanafaidi , huduma za afya hapa nchini ni za hali ya chini sana na watu wa hali ya chin ndo wanapata shida na hawajui haki zao,watu kama dr uli ndo wanatetea wanyonge hao,watu kama mamaisara wao ndo wanatibiwa nje kwa kodi zetu
 
Watanzania bwana , tunafurahia kuona wengine wakipambana katika ujinga. Hivi suala la mgomo ni la kufurahia kweli, ili watu wa hali ya chini waendelee kudhurika au?
Kuna mama alijinyonga kule Geita baada ya mtoto wake kufariki kwa kukosa tiba sahihi, je unataka hali hiyo iendelee?
 
Mamaisara ndo walewale wachache wanaofaidi nchi hii, na hawataki mabadiliko kwasababu wao wanafaidi , huduma za afya hapa nchini ni za hali ya chini sana na watu wa hali ya chin ndo wanapata shida na hawajui haki zao,watu kama dr uli ndo wanatetea wanyonge hao,watu kama mamaisara wao ndo wanatibiwa nje kwa kodi zetu

Wala Mamaisara sio kwamba anatibiwa nje ya nchi , hawa ni vibaraka uchwara hawana lolote.
Unajua system inavyofanya kazi ? Inachukua watu wajingajinga na kuwapa vinafasi , na watu hao wanaokotwa kwa wale watu waliofail, wasipopewa vinafasi hivyo wanakuwa hoe hae. Kwahiyo makuwadi hawa huwaambii kitu .

Watatetea huozo wa kila namna kwa sababu upeo wao wa kufikiri ni mdogo sana na wanajua wakitemwa hawana cha zaidi .Kwa hiyo watafanya kila mbinu kutetea system iliyowaweka na hawa watu ni wabaya sana wanaweza kuua
 
kaka usemayo ya kweli bt mbona yu kimya till nw inamaana we need to wait yeye kufunguka au ndo kama ya Mwakyembe nitawataja afu ndo vile jii mpaka leo na kesho na keshokutwa maana me naona kama wako kisiasa flan, there is where am afraiding off 2
 
Kwa nini uwe nyuma yake , na usitangulie mbele yake? teh teh teh , acheni kumdanganya Ulimpoka asije akaingia Mkenge tena, kitendo alichokuwa akiwafanyia wagonjwa Mungu hakipendi, bali kinapendwa na wanaharakati, wanasiasa uchwara na watu wanaopenda kuona vurugu zikitokea nchini.

Hapa hupaswi kumlaumu Ulimboka na madaktari wenzake ilaumu serikali yako ya Bwana Dhaifu bingwa wa kuhudhuria misiba na kutembeza bakuli kwa makuwadi wa ushoga!
 
Back
Top Bottom