Dk ulimboka na nicholaus mgaya wa tucta nani zaidi?

Ulinganishi mwingine wala hauna tija... Ulimboka sio kiongozi wa chama cha wafanyakazi, alikuwa anaratibu tu kazi fulani yenye muda maalum
 
Dk ulimboka na nicholaus mgaya ni watu ambao wamepata umaarufu mkubwa kwa kutetea haki za wafanyakazi. Napenda kujua yupi ni jembe kweli kweli kati ya hawa wawili?

Mgaya aliwahi kukna kutambua mgomo wa madaktari kisa eti haujafuata taratibu. naona kageuka juzi tu. Ni sawa na WEREMA=ODINGA wa Tanzania ambaye mara baada ya kuchaguliwa AG alisema katiba iliyopo inatosha lakini leo anafanya mambo kwa busara nashindwa kumwelewa
 
Dk ulimboka na nicholaus mgaya ni watu ambao wamepata umaarufu mkubwa kwa kutetea haki za wafanyakazi. Napenda kujua yupi ni jembe kweli kweli kati ya hawa wawili?

Dr Ulimboka ni zaidi mno hana bla bla mimi nimemfahamu wakati huu wa mgomo. Kasimamia jambo tena baada ya kufanya mapinduzi baada ya mtangulizi kuwa kama Mgaya akaingia kafanya vitu akatulia
 
Zamani alikuwaga baharia huyu kama @NYC

Nicholaus-Mgaya.jpg
 
Ulimboka alijitahidi, japo alikuwa haonekani kwenye media sana, mimi ningemsifu sana ulimboka kama angewaiita waandishi wa hbari huku akiwa na makabrasha yake yooote ya shule akionesha moja baada ya jingine. Sasa, nimesubiri watu wakimchafua bila yeye kuoga hivyo Ulimboka siyo zaidi ila Madaktari ndio zaidi. Huku Mgaya walimu wengi wana kipato cha chini na ukiwaambia msiende wengi hawatakusikiliza kwa sababu ya upeo wao. Hivyo, hao wawili ni bora Mgaya kwa sababu alikuwa anakaa kwenye media na kuongea lakini Ulimboka hakuwa kihivyo sana, kijana mwoga.
 
Not all battles are won the same way, media may be one front I bet Ulimboka's was different and best, he led an army of fighters to their desired end!
Indeed Mgaya is a good man in his front, else he wont be where he is today.

There is no ground for comparing the two! If kept off such areas.

I would suggest instead we ask ourselves what great can we learn from those that risk as Dr Ulimboka and his galant colleagues did.
 
Mgaya anaongea saaaaaaaaaaaaana....na hilo ndo tatizo lake.Haya mambo ya madai Tanzania nafikiri style yake inabidi hiwe kimya kimya...yaani mnakuwa watu wa vitendo zaidi kuliko kutoa matamko kadha wa kadha,kutafuta kuongea na waandishi wa habari.Kwa mantiki hiyo nafikiri Ulimboka anatisha mno...
 
Hapa bwana tuache utani Mgaya yupo juu zaidi ila tatizo TUCTA ni munganiko wa vyama vingi vya wafanyakazi ilikuwa vigumu sana kuviunganisha ktk mgomo kitu ambacho Ulimboka na ile style yake asingefanikiwa kama Mgaya kwa ile hatua aliofikia ukizingatia hata Madaktari kipindi kild waliisariti TUCTA kwa kuwa upande wa serikali.
 
Back
Top Bottom