Dk ulimboka na nicholaus mgaya wa tucta nani zaidi?

mhalisi

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
1,181
320
Dk ulimboka na nicholaus mgaya ni watu ambao wamepata umaarufu mkubwa kwa kutetea haki za wafanyakazi. Napenda kujua yupi ni jembe kweli kweli kati ya hawa wawili?
 
...ULIMBOKA hauwezi kumlinganisha na huyo "mbayuwai"(Mgaya) wa TUCT bhana!...
 
hawa jamaa wako tofauti kabisa u can't compare them
Dr ulimboka ni mwanataaluma anayetetea taaluma
Mwaya ni mwanasiasa kigeukigeu hata KTK kipindi cha migogoro wa ma dr na serikali ulimuona alivyokua akibadilisha kali kila kukicha
 
Mgaya alichokuwa anatetea wakati ule ni ili achaguliwe kuwa katibu mkuu wa tucta lakini huyu ni mutu ya porojo kwa huku Kisumu
 
Dk ulimboka na nicholaus mgaya ni watu ambao wamepata umaarufu mkubwa kwa kutetea haki za wafanyakazi. Napenda kujua yupi ni jembe kweli kweli kati ya hawa wawili?
jamani saa ingine acheni kuleta utani hapa jamvini, ulimboka yuko juu mno ni kama unataka kumfananisha jk na lyatonga Mrema
 
Mgaya ni ligi dalaja la nne ulimboka ni ligi daraja la kwanza. usifananishe kifo na usingizi hata siku moja.
 
Mgaya ni ni mpiganaji wa tumbo lake tapeli, jizi na hutumia migomo kujioatia ulaji na kuwaacha wafanyakazi hewani huku yeye akijipatia za kutumbua, na halifai,
ulimboka juuuuuuuu!!!
 
jembe letu ni Ulimboka man of action ukiachilia propaganda za Pinda ila hatimaye alimshika mkono kumpa heshima yake kama mtu anayesimamia haki mpaka kieleweke.
 
Kuwalinganisha hawa watu ni sawa na kumlinganisha mbilikimo na mcheza basket
 
Dr ulimboka mwanzo mwisho ni moto wa nyonge anamsimamo haogopi na bado mwanataluma huwezi hata kumlinganisha na mtu mwingine kama mgaya
 
Back
Top Bottom