MD25
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 3,074
- 1,018
Ulimboka ni hitler wa tanzania Eng.Stlella
Ile kozi ya mipasho itakuwa mlifaulu vizuri sana... Lakini imewafanya muwe na akili fupi fupi kama kiongozi wenu...
Ulimboka ni hitler wa tanzania Eng.Stlella
mim napata mashaka nae asijetuletea ubwenyenye ,ukumbora na kutupiga changa la macho kama dr mwakyembe aliahidi kuwataja wote walio mtilia sumu pindi tu atakapo pona na kututaka wananchi tuendelee kumuombea ili aweze kupona lakini alipo pona tu na kurejea nchini alitugeuka na kutusaliti kabisa.
Unaweza kuta huyo fundi mchundo alikuwa anavuja wakati anaongea huo *****....Hakuna umaskini mbaya, kama umaskini wa mawazo/fikra - J. K. Nyerere....
Stella Manyanya alisema aliwaona walivaa magwanda kama ya CHADEMA hapa mkuu wa mkoa lazima aumbuke kirahisi
Huyu mama alipata sifa sana kupitia akina Mwakyembe wakati wa Richmond,sa ivi kajichafua na kujivua nguo. atatukuta akiumwa
Alikuwa na shida ya "kutambua watu vizuri"?Alimtambuaje Ahmed Msangi?Ama ilikuwa uzushi?Ama pengine uandishi na manjonjo?Pia ameanza kuzungumza, anawatambua watu vizuri .
Tukae Mkao wa kula ndio hapo Fundi Stella Manyanya atakapothibishiwa watesaji ni wao wenyewe
Ningekuwa karibu ningejitolea kumlinda mimi mwenyewe na labda hiyo ingenipa fursa ya kuua walau CCM mmoja. Licha ya hivyo, lazima tu nitaua mCCM kabla sijafa. I hate them with a passion.
kuna tetesi wliomkimbiza Ulimboka nje ni wahusika wakuu wa tukio zima hivyo wame mtorosha kujaribu kuficha ukweli.MWENYEKITI wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania Dk. Steven Ulimboka ameombewa ulinzi kwenye Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International.Vyanzo vya habari vya kuaminika kutoka ndani ya jopo la wataalam na jumuia hiyo kwa nyakati tofauti vimeliambia Tanzania Daima Jumatano kwamba wamelazimika kuomba ulinzi wa kimataifa ili kukabiliana na watu wabaya wanaotaka kumdhuru.Vyanzo hivyo vilisema watu waliomdhuru wanataka kummaliza kabisa ili kuficha ukweli kwani kabla ya kuondoka Dk. Ulimboka alieleza ukweli wa tukio hilo hivyo wabaya wake hao wanatumia baadhi ya watumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini kuhakikisha wanampata.
Hii ya kuomba ulinzi ni latest; Amnesty International ni wabishi lakini katika hili wameombwa naamini watakubali kumlinda maombi yamepelekwa jana.Kabla ya kupelekwa Afrika Kusini Dk. Ulimboka alieleza ukweli wa tukio zima kuanzia walivyomkamata na mateso waliyompa hadi walipotaka kumzika akiwa hai.Wameshajulikana sasa wanatumia ubalozi wetu kutaka kupenya kwenda kumwona hospitalini ndiyo maana haisemwi yuko hospitali gani ukweli ni kwamba usalama wa Dk. Ulimboka uko hatarini, kilisema chanzo hicho cha kuaminika.Bila kujua kwamba hizo ni habari chanzo hicho kiliendelea kueleza kwamba akiwa njiani kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dk. Ulimboka aliwataka viongozi na madaktari wengine ndani ya jumuia kupigania haki zao.Kwa mujibu wa chanzo hicho mwenyekiti huyo wa jumuia aliwasihi waliobaki wasikubali damu yake imwagike bure, wahakikishe maslahi ya madaktari yanaboreshwa.
Msikubali damu yangu imwagike bure; endeleeni kupigania haki zenu , chanzo hicho kilimnukuu Dk. Ulimboka.Hata hivyo ilielezwa kwamba jumuia hiyo ilishirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binaadam (LHRC) kuomba ulinzi huo kutoka Amnesty International.
Chanzo: Tanzania Daima
WAKATI HUO HUO
Taarifa tulizozipata kutoka Afrika Kusini zinasema kwamba, hali ya Dk Ulimboka imezidi kuimarika tofauti na alivyokwenda, figo zimeanza kufanya kazi ingawa kwa polepole na amefanyiwa vipimo vingine, alisema Dk Kabangila na kuongeza:
Pia ameanza kuzungumza, anawatambua watu vizuri na zaidi amewaomba Watanzania wamuombee apone haraka.
Awali, chanzo kimoja cha habari kilidokeza kwamba hali ya Dk Ulimboka imeimarika kutokana na kupatiwa huduma za matibabu kwa haraka kwa kufanyiwa pamoja na vipimo vingine, kile cha usafishaji damu na figo (Dalysis), mara kwa mara. Kabla ya kuondoka nchini, Dk Ulimboka alifanyiwa usafishaji huo mara mbili.
Madaktari walisema kuwa, kipimo hicho kililenga kupunguza kiwango cha sumu iliyoonekana kwenye damu, ambayo haikutambulika mara moja kama ilitengenezwa ndani ya mwili au vinginevyo kwa kuwa hakuna kipimo cha kubaini tatizo hilo nchini.
Chanzo: Mwananchi
kuna tetesi wliomkimbiza Ulimboka nje ni wahusika wakuu wa tukio zima hivyo wame mtorosha kujaribu kuficha ukweli.
kuna watu wanajifanya kutaka kumsaidia lakini wana mweka mbali ili kupotosha ukweli
wana jaribu kumwekea maneno ya kusema
inasemekana matatizo yake kutokana na kipigo alichopata mabingwa wetu wanaweza kabisa kumtibu ila ilibidi atoroshwe kuficha ukweli usijulikane.bila ya yeye kufahamu mbaya wake hasa ni nani
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania Dk. Steven Ulimboka ameombewa ulinzi kwenye Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International.Vyanzo vya habari vya kuaminika kutoka ndani ya jopo la wataalam na jumuia hiyo kwa nyakati tofauti vimeliambia Tanzania Daima Jumatano kwamba wamelazimika kuomba ulinzi wa kimataifa ili kukabiliana na watu wabaya wanaotaka kumdhuru.Vyanzo hivyo vilisema watu waliomdhuru wanataka kummaliza kabisa ili kuficha ukweli kwani kabla ya kuondoka Dk. Ulimboka alieleza ukweli wa tukio hilo hivyo wabaya wake hao wanatumia baadhi ya watumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini kuhakikisha wanampata.