Dk. Ulimboka aombewa ulinzi "The Amnesty International", Ubalozi wa TZ Afrika Kusini wahaha

"............kumzika akiwa hai............"Hii sehemu imenishtua sana.Kweli Mungu ana makusudi Dr.Uli aendelee kuwa hai.Ukweli utajulikana tu.Tuendelee kumuombea.Ingawa Kuimarika kwake kiafya ni habari mbaya kwa Magamba, lakini ndo hivyo Mungu ameamua kutenda miujiza kama mnaweza kuomba "muongozo" kwa hili mnakaribishwa.
 
Mungu hamtupi mja wake,hataacha mguu wake usepetuke na hatalala akulindaye atakuponya tu.
 
Mada hizi humkuti hata mmja kati ya hawa wana jf ritz,zomba,alykombo,na wanaccm wote hujificha sana,tutaizika ccm mara 100ft ya kaburi la kawaida mpaka wafe maskini
 
mim napata mashaka nae asijetuletea ubwenyenye ,ukumbora na kutupiga changa la macho kama dr mwakyembe aliahidi kuwataja wote walio mtilia sumu pindi tu atakapo pona na kututaka wananchi tuendelee kumuombea ili aweze kupona lakini alipo pona tu na kurejea nchini alitugeuka na kutusaliti kabisa.
 
Ulimboka Sio mwanasiasa hivyo natumaini ataendeleza instincts za wanasayansi kwa kusema ukweli wa tukio zima na kuwataja ama kuwatambua wahusika. Kuna aliekimbia baada ya kutambuliwa pale alipoenda kumhoji MNH. Ushauri wangu ni kuchukua kila anchoongea kwa kuwekewa microrecording device ili yasije tokea ya Zombe na kesi ya mauaji, si mnakumbua?

Next time pia nashauri mazungumzo yoyote na Usalama au mtu yeyote ya mtu wa serikali yafanyike Casino ambapo kila kona kuna camera....Jifunzeni kupitia hata movie za kujasusi jamani hii NJI ya Majasusi tayari.

Get well soon son!!!!!!!.......
 
mim napata mashaka nae asijetuletea ubwenyenye ,ukumbora na kutupiga changa la macho kama dr mwakyembe aliahidi kuwataja wote walio mtilia sumu pindi tu atakapo pona na kututaka wananchi tuendelee kumuombea ili aweze kupona lakini alipo pona tu na kurejea nchini alitugeuka na kutusaliti kabisa.

Huwezi kumfananisha Dr. Ulimboka na mnafiki mchumia tumbo Mwakyembe. Dr. Ulimboka ameshamtaja muuaji na jambazi mmojawapo ambaye ni ACP Msangi, Je Mwakyembe ameshamtaja nani?... Okay, cha msingi ni tumwombee, apoe haraka, ili tuendelee na mapambano ya UKOMBOZI, pia hawa watu sampuli ya majambazi wakina ACP Msangi, Kova na Mwema wasifikili 2015 ni mbali sana, lazima watawajibika kwa matendo yao ya kijambazi....
 
Stella Manyanya alisema aliwaona walivaa magwanda kama ya CHADEMA hapa mkuu wa mkoa lazima aumbuke kirahisi

Huyu mama alipata sifa sana kupitia akina Mwakyembe wakati wa Richmond,sa ivi kajichafua na kujivua nguo. atatukuta akiumwa
 
Eeeeeeh! Mwenyezi Mungu wa wapigania haki na watenda haki msaidie mpendwa wetu Dr. Ulimboka apone haraka
 
Nakuunga mkono, ila kuua sio vizuri, tuungane tuwatoe madaraka tu

Kama una maana kuua sio fair basi kumbuka kua hamna mbinu fair ya kuwatoa CCM madarakani, maana wao wanatumia mbinu mbaya mbaya tu ambazo si nzuri hata kidogo.
 
Ningekuwa karibu ningejitolea kumlinda mimi mwenyewe na labda hiyo ingenipa fursa ya kuua walau CCM mmoja. Licha ya hivyo, lazima tu nitaua mCCM kabla sijafa. I hate them with a passion.

Nyani unausongo.lol
 
mim napata mashaka nae asijetuletea ubwenyenye ,ukumbora na kutupiga changa la macho kama dr mwakyembe aliahidi kuwataja wote walio mtilia sumu pindi tu atakapo pona na kututaka wananchi tuendelee kumuombea ili aweze kupona lakini alipo pona tu na kurejea nchini alitugeuka na kutusaliti kabisa.

Mwakyembe kama humjui ni mpenda sifa, kutukuzwa na mnafiki namba moja... ndio maana huwa akipewa ulaji fulani hutulia!!!
 
Get well soon Dr. Tunakuombea upone uje kuwahudumia wananchi. Madaktari hawataki kuwahudumia wagonjwa mpaka wewe upone. Pia tunakuombea urudi salama uje umuumbue Katibu wa MAT anayesema madaktari hawajagoma kwasababu ya maslahi yao bali maslahi ya wagonjwa ilihali ulipokuwa ukipelekwa Hosipitali ya rufaa nnje ya nchi nilisikia ukitamka wazi kuwa madaktari wasiache damu yako imwagike bure waendelee kupigania maslahi madaktari yaboreshwe.

Ndugu Ulimboka tunakuombea uje tuanze harakati za kuboresha zahanati na shule za kata.


Get well soon Dr.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom