Dk Stephen Ulimboka Jembe na Nguzo ya MADAKTARI Nchini

Yeye ni shujaa sana tu watz wachache sana wenye courage kama yake na ni mara ya 2 anaongoza mgomo mkubwa hivi!!
 
Hana mpango.kama hawezi kujitokeza kisa anatafutwa basi asitishe mgomo.sasa watakutana vipi wakati hawajitokezi hadharani.mikakati yao wataiendeshaje.ama kweli kunguru mwuoga hukimbiza bawa lake.yeye nilitegemea atakuwa mstari wa mbel
e kwa lolote.madak
 
The gravity of the healthcare sector go-slow in Tanzania is NOW heightened than ever with Prime Minister Pinda's specific orders for security personnel to go for Dr Ulimboka, party to a new generation of thorns-in-the-flesh of the government, who hase since sounded alarm of his LIFE BEING IN DANGER.

All eyes are now on the government for this witchhunt which could very easily degenerate into an ultimate showdown the Tunisia style if no maximum care is taken to this very minute.

Once again, we as members of the public are concerned that the government in now hunting-to-kill dissenting voice. A damni evidence is yet to be studied on how this failing government is desparately planning untold consequences against many other dissenting voices out there.

Everyone take note of a silent running battle in the new fronts of make-up road-accidents, 'killing by robbers', and a continuation of a nother streak of poisoning yet to come.
 
Kujitokeza hadharani maana yake nini? Si lazima iwe physically. Inatosha kama anaweza kuwasiliana na watu wake kama kiongozi. Kujificha kimwili si alama ya uoga au udhaifu, bali ni moja ya njia za mapambano. Kwa sababu kama akijitokeza na akakamatwa anaweza asiweze tena kama kamanda mkuu kuwasiliana na watu wake kwa vile watamnyima uhuru wa kufanya hivo. Kumbe ni sahihi kuwasiliana akiwa mafichoni.
 
Hana mpango.kama hawezi kujitokeza kisa anatafutwa basi asitishe mgomo.sasa watakutana vipi wakati hawajitokezi hadharani.mikakati yao wataiendeshaje.ama kweli kunguru mwuoga hukimbiza bawa lake.yeye nilitegemea atakuwa mstari wa mbel
e kwa lolote.madak

kwani kutojitokeza kunazuia wao kutojitokeza? Wao wanajua wapi wakutane.
 
Jambo anajua kabisa ni lazima wanausalama watakuwa wanamtafuta bega kwa bega ili wamonye juu ya msimamo wake.
 
Hakuna haja ya kujadiri kama ni shujaa au sio, cha umuhimu ni kumpongeza na sisi wananchi kuwa nyuma yake, Dr Ulimboka anapigana na nguvu kubwa sana, dunia nzima imejua madaktari Tz wamegoma kushinikiza maslahi yao na yawagonj'wa ilo halina ubishi wadau.
 
Back
Top Bottom