Elections 2010 Dk Slaa on Clouds FM

anazungumzia viwanda vilivyofungwa baada ya ubinafsishaji. Wao watafanya tathmini ya mashirika ya umma yaliyobinafsishwa na wao watatazama upya hiyo mikataba na kuchukua hatua pale mikataba ilipoenda sivyo
 
babra suck,kuna maswala mengi sana ya msingi ambayo yana manufaa katika taifa hili tajiri linaloliwa na wachache,sasa mambo ya ndoa yanahusu nini,use ur common sense,stupid,kutaka sifa tu sasa tumekudharau big time huo ni ushambenga huna lolote unafiki tu.
 
Wanamuulizia kuhusu burudani na michezo, yeye anasema alishakimbia mita 800 na 500, na alishaweka rekodi miaka ya 70 kanda ya magharibi
 
Heee kumbe nimwanaliadha bwana duuuuuu kakimbia kibaha hapo!
 
I hate this as well

Watangazaji Dalasa la saba wanamuoji DR???:peep::peep:
lakini wasomi wa vyuo vikuu na ma professa ndio walioiua nchi hii......!
think of CHENGE,BEN,EDDO,BASIL...unadhani kuna means yoyote ya kuwathamini kwa kisomo chao?
 
Hando anauliza swala lamichezo.

Anazungumzia uwanja wa michezo wa kibaha na kukumbushia kuwa hata yeye ni mwanariadha mzuri enzi hizo. watathamini michezo sbb michezo ni mabalozi zaidi ya wale wa kiserikali, michezo ni afya, na anakumbushia jisi Bayi alivyoifanya nchi kujulikana

Watazalisha makocha na si kuleta wa kigeni, watageuza chuo cha sanaa bagamoyo kuwa universty ya michezo
 
babra suck,kuna maswala mengi sana ya msingi ambayo yana manufaa katika taifa hili tajiri linaloliwa na wachache,sasa mambo ya ndoa yanahusu nini,use ur common sense,stupid,kutaka sifa tu sasa tumekudharau big time huo ni ushambenga huna lolote unafiki tu.
Izi ndo ishu zake za kila cku anazotangaza...
 
CDM inamalengo na katika ilani yao wanataka wataalamu wa kila mchezo, watageuza chuo cha sanaa Bmoyo kuwa chuo cha michezo. Hataleta kocha mmoja kama JK, nchi inatakiwa kuwekeza katika michezo. Magazeti yameandika timu imerudi aibu tupu. sasa hii ni aibu kwao au kwa nchi?
 
Cku 1 mtu ambaye hajawai kuuliza swali bungeni kama alivo R.A wa Ccm aliamusha mkono watu wakashanglia ,mwenyekti alipomruusu aulize akasema :mwenyekti,naomba wabunge waliokaa pemben wafungue madrisha kuna joto! Ayo ndo mambo ya Babra. Alaf mbona thread ii ya ndoa iliisha mwezi wa 9? Babra uwe na utamaduni wa kujisomea! Au unataka tumwombe dr.aifanye JF shule ya lazima? Maana naona tarehe zinaenda mbele akina babra kalenda zao zinaitafuta Januari 2010. Dr.anaibari bagamoyo chuo cha sanaa kuwa university ya wasanii,nadhan yule msitaafu aende kule mana kunamfaa.
 
wametarget michezo ya commonwealth 2012 na worldcup 2014 kuhakikisha tz tunashiriki
 
Jamani wakati mwingine tuchukulie kuwa jambo limetokea tu kama ambavyo yanatokea. Msikitafutie kila kitu sababu jamani, sikilizeni hando amalize then ndo mseme sasa kuwa interview ilikuwaje.

Angalau kwa clouds 'Power Breakfast' huwa wanajitahidi nyinyi msidhani clouds woooote ni akina Kibonde wapo wawili watatu ambao wanaharibu kama akina Kibonde. Lakini naona Power Breakfast kama wapo smart. Na vile vile ni kumsaidia Slaa kuwafikia watu wengi zaidi.

Sorry Babla nilijua swali uliuliza wewe. Nafuta usemi wangu hapo juu. Pole bwana
 
commercial breaks!!
huyu dada kauliza swali la sera ya chadema kuhusu amani, wakirudi ataanza na hilo.
 
Back
Top Bottom