Dk slaa na Chadema watoke shimoni, vyenginevyo tutaamini yanasemwa na waislam

Masheikh na maimam ni watu wenye fikra duni! Ni wapuuzi


Mimi naona kaka wewe ndo una fikra duni kwani hukutakiwa kumtukana mtu ila ujadili mambo kwa hoja. Mtu mwenye fikra kama zako kama amesoma basi hajaelimika

Kaka tenga muda wako sikiliza wayasemayo hao uliowatukana kisha ujadili kwa hoja hapo utaonesha usomi wako na busara zako mkuu, otherwise jiondoe kwenye list ya walioelimika.
 
Mie naomba mwenye hoja juu ya mada iliyowakilishwa ndio ajibu na sio kutukana na kuandika maneno yanayoonesha kukwepa kuongea ukweli, ni kweli Dr anaweza kuwa mdini kwani hata title yake ni Padri.
 
Mi nadhani kampeni zimesha isha cku nyingi,na muislamu kuwa rais si kitu cha kuogopa wala rais mkristo vilevile. Ila nashangaa sana watu wengine au dini zingine kuwa na hofu juu ya dini ya kiongozi wa nchi. Kama hawana uovu wanaotaka kuupitishia ktk dini kwa nini umuohofie wa dini nyingine? Kama una jambo jema kwa ajili ya taifa lako na wana wa taifa lako wote, lije kwa kupitia dini yako ili ipate credit, hyo kwangu mie poa tu.

Na kama unalo lolote kwa manufaa ya jamii nzima fahamisha jamii yote ili ikuunge mkono, ikurekebishe na kuku kosoa hali kadhalika, maana asiye kubali kushauriwa ama kushauriana ni muovu.(period) na kwa hiyo napenda kusema kama wewe ni msukuma(kwa mfano tu) ukiandika gazeti kwa lugha ya kisukuma ina maana ni kwa wasukuma tu. Hii pia ni katika masuala ya kidini na nionavyo mimi viongozi wote wa kidini wanaotaka kuleta udini dini katika nchi hii wataishia kuumbuka tu. Na mwisho wao hauko mbali maana makaburi wanayo yachimba yatawazika wao wenyewe c muda mrefu.
 
IKUMBUKWE KUWA KTK UCHAGUZI WA 2000 NA 2005 WIMBO ULIKUWA CUF NI CHAMA CHA KIISLAM: ASKOFU/ SIJUI PADRI AKATANGAZA KIKWETE NI CHAGUO LA MUNGU; WAKRISTO WALIWAJIBU VP VIOGOZI WAO, AU NI UFINYU WA MAWAZO NA UPUUZI WA MAASKOFU/MAPADRE. Pu... Masanilo chuki zako hazijengi wala hazibomoi uislam. stp
 
Ukweli utabaki pale palie kwamba waislamu ndo vinara wa udini wakiongozwa na kikwete. Kama wao si wadini kwanini waendeshe mihadhara ya kukashifu dini zingine???

Kila palipo na mwuislam pembeni yake kuna udini na jambia!!!!
 
Binafsi huwa nasikiliza sana redio za dini mbalimbali hasa linapokuja swala la kitaifa. kwa bahati mbaya husikia sana chadema ikitajwa kwenye redio za kiislam, makongamano ya kiislam na kutajwa kama chama hatari kwa waislam, waislam wanaona angalau ssm inauheni kuliko chadema. waislam hurejea maneno hayo kila wanapopata nafasi kuwahutubia wafuasi wao, mwisho wanatahadharishwa vijana wa kiislam kujiunga na chama hicho.
Lakini labda chadama kwa kuwa viongzozi sio waislam wanakuwa hawasikilzi redio hizo au makongamano hayo. lakini kama wanayapuuza basi athari kubwa inaweza kukimba chama hicho kwani mbegu inayopandwa na kupapaliwa katika nyoyo za watanzania. siamini kama chadema hahitaji kura za waislam. na kama hahizitaji basi chadema sio chama cha siasa. na kama inaona haitakuwa na athari basi chadema imedidimia kimawazo.
Ukimya wa dk slaa na chadema kukanusha maneno yanayosemwa kwenye majukwaa ya waislam linaweza kuwafanya watz waliotoa kura 2010 wajitizame upya.
I hate topics za udini.
 
'Hao Masheikh na Wafuasi wao ni WAJINGA' na siku zote DAWA ya mjinga we mkalie KIMYA, Jiulize! Eti Mtu mmoja tu Dr. slaa anawaumiza vichwa kiasi wamesahau hata majukumu yao ya KIROHO? Hao siwatofautishi na Mbwa mroho ambaye ukimurushia mifupa utamaliza shughuli zako zote, ikibidi hata kumbeba yeye pia. Sio Dr slaa tu, hata Wakristo wamejikaria kimya ! Wamewaacha wahangaike huku wenzao wakikimbizana na DUNIA. Dr slaa ukimjibu mjinga wewe pia utaonekana mjinga, KANYAGA TWENDE BABA, Wewe mbele yetu sie nyuma yako.
 
Back
Top Bottom