Elections 2010 Dk. Slaa: Mtaalamu wa lugha saba anayepania mabadiliko ya kweli

Wambugani

JF-Expert Member
Dec 8, 2007
1,757
276
Godfrey Dilunga

.
Swali: Una ujuzi wa lugha ngapi?

Dk. Slaa: Nimesoma na najua lugha ambazo ilibidi lazima uzijue ili ufanye mitihani. Kwa hiyo najua vizuri Lugha ya Kiitaliano, Kijerumani, Kihispania, Kireno, Kifaransa ingawa kuzungumza inakuwa ngumu kutokana na mazoea ya ulimi kule nilikozaliwa, pia najua lugha ya Kilatini, Kiingereza na Kiswahili.

SOURCE: Raia Mwema - Agosti 25, 2010
 
Watu husema "Knowledge is power"

Nafikiri ni sifa nzuri kuwa na ujuzi mbalimbali hasa katika lugha.
 
Godfrey Dilunga

.
Swali: Una ujuzi wa lugha ngapi?

Dk. Slaa: Nimesoma na najua lugha ambazo ilibidi lazima uzijue ili ufanye mitihani. Kwa hiyo najua vizuri Lugha ya Kiitaliano, Kijerumani, Kihispania, Kireno, Kifaransa ingawa kuzungumza inakuwa ngumu kutokana na mazoea ya ulimi kule nilikozaliwa, pia najua lugha ya Kilatini, Kiingereza na Kiswahili.

SOURCE: Raia Mwema - Agosti 25, 2010

Mkuu umesahau lugha ya kwao Kimbulu
 
Lakini je Slaa kama alivunja ahadi za Upadre kwa MUNGU je atatunza ahadi atakazoweka kwa wananchi bila kubadilika? KA KIJISAWLI TU. Je credibility na integrity tuipimeje? nipeni shule magwiji wa siasa.
 
Mbona mnakuwa wepesi kusahau. Dr. Slaa kipimo chake ni kuwa bungeni kwa miaka 15 na kuibua ufisidi uliokithiri.
 
Lakini je Slaa kama alivunja ahadi za Upadre kwa MUNGU je atatunza ahadi atakazoweka kwa wananchi bila kubadilika? KA KIJISAWLI TU. Je credibility na integrity tuipimeje? nipeni shule magwiji wa siasa.

Unajua ni muda gani amekaa bungeni? Unajua ni skendo ngapi ameibua wakati yuko bungeni? Jazia na ya kwako humo humo nafikiri hiyo credibility na integrity ya Dk Slaa utakuwa umeipata
 
Lakini je Slaa kama alivunja ahadi za Upadre kwa MUNGU je atatunza ahadi atakazoweka kwa wananchi bila kubadilika? KA KIJISAWLI TU. Je credibility na integrity tuipimeje? nipeni shule magwiji wa siasa.

Huyu mwali watanzania wameamua kumchumbia baada ya kumuona akiwa pale maskani akiwafanyia kazi nzuri. Bila hivyo wala wasingekuwa wanajua kama na yeye yupo, wangepeleka posa sehemu nyingine
 
Godfrey Dilunga

.
Swali: Una ujuzi wa lugha ngapi?

Dk. Slaa: Nimesoma na najua lugha ambazo ilibidi lazima uzijue ili ufanye mitihani. Kwa hiyo najua vizuri Lugha ya Kiitaliano, Kijerumani, Kihispania, Kireno, Kifaransa ingawa kuzungumza inakuwa ngumu kutokana na mazoea ya ulimi kule nilikozaliwa, pia najua lugha ya Kilatini, Kiingereza na Kiswahili.

SOURCE: Raia Mwema - Agosti 25, 2010

Kwa hiyo akijua lugha nyingi ndio anafaa kuwa RAIS..??!!
 
Njiwa peleka salaam, hatutaki raisi goi goi na mgonjwa!
kwa hiyo unataka kuniambia kipimo cha ujuaji mambo ni mtu kuongea lugha nyingi... ! kwa nini asigombee ukalimani ...:becky: kura yangu anayo, lakini sio URAIS!
 
Huyu njiwa balaaa! ama ni Mabayuwayu na si tetere?
 
lakini je slaa kama alivunja ahadi za upadre kwa mungu je atatunza ahadi atakazoweka kwa wananchi bila kubadilika? Ka kijisawli tu. Je credibility na integrity tuipimeje? Nipeni shule magwiji wa siasa.

hiza ndo dalili za mawazo mgando
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom