Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,550
- 19,415
Huyu Kamala hata watu wa huko kwao wamemkataa kwa sababu hawezi kitu; anawezaje kuongelea Tanzania iwapo hata jimbo lake hawezi kuliongelea. Jamaa ana digrii za kununua na ndiyo maana hata alikuwa hawezi kuongelea masalahi ya Tanzania mbele ya wenzake wa Uganda na Kenya awapo huko kwenye Afrika ya Mashariki. Sijui kama Mzumbe bado watampokea baada ya kujua nkuwa alinunu digrii.