Elections 2010 Dk slaa kuhutubia wananchi wa mkoa wa iringa kupitia redio country fm leo saa 3 usiku

sera ya CHADEMA NI YA UCHUMI HURIA, MFUMO WA CHADEMA NI ULE WA MCHANGANYIKO YAANI NJIA KUU YA UCHUMI ITAMILIKIWA NA SELIKALI PAMOJA NA WATU BINAFSI LAKINI HAUTAKUWA HOLELA.
 
bado anaendelea mkuu saa hizi anaelezea kuhusu mabadiliko ya katiba ila ndio anamalizia ili akapumzike kesho tiyari kuishambulia NJOMBE
 
DPP atapitishwa kwanza na bunge badala ya kuteuliwa moja kwa moja na rais. mbunge atakuwa mbunge na waziri atakuwa waziri
 
anasema nchi leo itatawaliwa na rais atakayeongoza hata kwa kura moja kutokana na sheria zilizowekwa na CCM kwa hila
 
anamaliza kwa kuwaomba wanachi wa IRINGA kuwachagua wabunge wake yaani mchungaji msigwa pamoja na madiwani wake.
 
msigwa anawaomba wanachi kesho saa tatu kamili asubuhi watu wahudhurie mkutano pale viwanja vya mwembetogwa.
 
slaa amechukua takribani masaa mawili na nusu yaani alianza saa tatu kamili hadi saa tano na nusu kuhutubia wananchi wa iriinga
 
sina la ziada kesho kama vipi, nimejitahidi kadri nilivyoweza kama kuna sehemu nimekosea naomba msamaha.tchao
 
Asante sana kwa ripoti nzuri nadhani watu wengi wamempata na huu ndio uzuri wa kuwa na redio jamii huru kila sehemu. Usiku mwema wa kwetu.
 
Naomba niweke haya maelezo juu ya mahojiano ya Dr. Slaa na Redio Country FM kama yalivyoandikwa na Mzee wa Matukio Daima

October 28, 2010

'LIVE'MAHOJIANO YA DK SLAA HIVI SASA REDIO COUNTYR FM(88.5)


Mwandishi wa Chanel ten Iringa Daud Mwangosi (kushoto) akimhoji mgombea urais wa Chadema Dk Slaa
Mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa (kushoto) akimsikiliza kwa makini mgombea urais wa Chadema Dk Slaa ambaye yupo Studio za Redio Country Fm sasa
mgombea Urais kwa Chadema Dk Willibrod Slaa (kushoto) akijibu maswali ya mtangazaji wa kituo cha Redio Country Fm Bw Ahmed Meena ( Kulia)
Mgombea urais wa Chadema Dk Willibrod Slaa akihojiwa katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu katika kituo cha Redio Country fm waweza,Dk Slaa amesema akiingia Ikulu cha kwanza kuuza ndege ya Rais na kununua Helkopta kwa ajili ya matumizi ya Ikulu,

Hata hivyo Dk Slaa amesema kuwa kamwe hata acha kuendelea kupambana na mafisadi kwa kuogopa kifo na kuwa kifo kipo kamwe hataacha kusema ukweli kwa kuogopa kifo na kuwa atakuwa tayari kuuwawa wakati wowote ila kamwe hatazibwa mdomo.
UCHAKACHUAJI WA MAJINA YA WAPIGA KURA
*Kuhusu wapiga kura ambao walijiandikisha katika daftari wa kudumu la wapiga kura ila majina yao hayomo kwenye orodha ,Dk Slaa ametoa muda wa siku mbili zilizobaki kwa tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) kuyarejesha ama kuomba radhi watanzania kwa wizi huo vinginevyo malalamiko yatafikishwa umoja wa mataifa .

Awataka watanzania ambao walijiandikisha ila majina yao hawayaoni waonane na wagombea udiwani na wale wa ubunge wa majimbo yao ili waweze kutuma taarifa kwake kwa ajili ya kuchukua hatua zaidi.
KILIMO KWANZA/KIFO CHA DK BALALI
> Abeza kauli mbinu mbali mbali zinazotolewa na serikali iliyopo madarakani dhidi ya kilimo kwanza kuwa ni kauli zisizo tekelezeka .

Pia aulizwa kuhusu kifo cha aliyekuwa gavana wa Benk kuu ya Tanzania Dk Daud Balali kama kweli alikufa ama lah .

Akijibu swali hilo lililoulizwa kwa njia ya simu Dk Slaa amesema kuwa hata yeye bado yupo njia panda juu ya kifo cha mtuhumiwa huyu wa fedha za EPA kwani alipata kuona picha yake katika gazeti .

MICHEZO

Dk Asema kuwa chuo cha Sanaa cha bagamoyo kitakuwa ni chuo kikuu cha michezo iwapo ataingia Ikulu

Asema kuwa michezo ni ubalozi kwa Taifa letu na ni sehemu ya kukuza utalii pamoja na uchumi kwa Taifa .

Dk Slaa amesema kuwa lazima chuo hicho kiwe chuo chenye hadhi nzuri kitakachovutia wengi katika kuja kujifunza Tanzania.

UKIMWI

Mimi tofauti na Rais Jakaya Kikwete ambaye anasema kuwa UKIMWI unapatikana kwa uzembe ,ila mimi kwanza nitumiea nafasi hii kuwaomba radhi watanzania kwa unyanyapaa huo wa Rais wetu Kikwete badala ya kuwapa pole wagonjwa wa UKIMWI kwa kuwaita wana kihele hele.

"Mimi ni mmoja kati ya wanaharakati wa masuala la UKIMWI hivyo nipo radhi kuendelea kuwafariji wagonjwa wa UKIMWI na pia ipo sheria ya kuwahudumia watu wenye UKIMWI pamoja na kutengeneza mbinu ya kusaidia wenye UKIMWI"

Asema kuwa fedha nyingi za UKIMWI zimekuwa zikiliwa na wajanja na kuwa watu wenye UKIMWI wamekuwa hawafikiwi kabisa na fedha hizo za UKIMWI.

Dk Slaa amesema kuwa serikali yake itaendelea kuwaenzi watu wenye UKIMWI kwa kuanzisha Hospitali maalum ya kuwasaidia watu hao wenye VVU na kuwa hajapendezwa na serikali kuwaita wenye UKIMWI kuwa wana kihelehela.

Malaria

Asema serikali ya CCM inafanya usanii kuhusu vyandarua kwa wananchi wake japo fedha hizo zimetolewa na nchi za nje japo kwa upande wake katika jimbo la Karatu japo hakuwa Rais ila bado ameweza kutoa neti kwa kila kitanda katika kaya tofauti na CCM inavyotoa Neti mbili kwa kaya bila kujali idadi ya watu waliopo .

Adai kuwa Mradi uliofadhiliwa na Japan ulipata kutoa fedha kwa ajili ya kuua mbu ila serikali ya CCM imekula fedha hizo na sasa kuendelea kuwadanganya wananchi kwa neti ili kuendelea kuichagua CCM.

Asema kuwa serikali yake itaendelea kupambana na ugonjwa wa Malari bila kufanya usanii na kuwa kila kitanda kitapewa neti kama ilivyo katika jimbo la Karatu.

UKUBWA WA BARAZA LA MAWAZIRI

Asema kuwa baraza kubwa la mawaziri Tanzania linachangia matumizi mabaya ya fedha za umma na kuwa katiba itakayoundwa ya serikali ya Chadema itazingatia mambo nyeti na kuwa kamwe baraza la mawaziri halitakuwa kubwa kama la baraza la JK ambalo lipo kwa ajili ya kujitengenezea ulaji kwa kwa marafiki wa jirani.

Asema bado katiba yetu haitamki wazi juu ya mgawanyo wa bunge,mahakama na n.k na kuwa ndio sababu ya kuwepo kwa matamko tofauti tofauti kwa kila kiongozi .

Dk Slaa asema kuwa katiba ya sasa bado haifai kabisa kwani hata suala la kumchagua Monica Mbega kuwa mkuu wa mkoa ni suala la kuwakomoa wananchi wa jimbo la Iringa mjini.

"Nasema kuwa Iringa mmepata bahati mbaya kweli kwani muda wa kuwatumikia vema wananchi haupo"

Dk Slaa asema kuwa kuna hofu kuwa Tanzania itakuja kuongozwa na Rais ambaye atashinda kwa kura moja kutokana na njama za CCM za kuivuruga katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.

FEDHA ZA KIFISADI.

Fedha hizo zinapoingia katika mfumo wa matumizi ya fedha za serikali uchumi wa nchi unaendelea kushuka na kuwa hofu zaidi taifa litaendelea kuwa chini kiuchumi.

Asema kuwa iwapo fedha hizo za ufisadi zitashindwa kuthibitiwa kuna uwezekano wa Taifa kuendelea kuyumba .

KWANINI Mchungaji Msigwa anafaa kuwa mbunge

Asema kuwa wananchi wa jimbo la Iringa mjini wasifanye kosa katika kuchagua Chadema kwa tafsiri ya mafiga matatu na kuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo Msigwa anasifa za kutosha kuwa mgombea ambaye atafanya maajabu makubwa .

Dk Slaa anasema kuwa kila anapopita katika Tanzania wananchi wengi wana endelea kutoa imani kwa Chadema .

MSIGWA.
Kesho asubuhi kutakuwa na mkutano wa kampeni katika uwanja wa mwembetogwa na kuwaomba wananchi kutoa kura zao Chadema kwa Dk Slaa.

Mgombea udiwani kata ya Makorongoni David Kombo

Asema kuwa kamwe akipata udiwani katika jimbo hilo kamwe hatawaanusha na atafanya kazi kwa nguvu zote.

Mke wa Dk Slaa

Awataka wananchi kutoaogopa kumchagua Dk Slaa na kuwa wananchi watoe nafasi zaidi
 
naomba niweke haya maelezo juu ya mahojiano ya dr. Slaa na redio country fm kama yalivyoandikwa na mzee wa matukio daima

october 28, 2010

'live'mahojiano ya dk slaa hivi sasa redio countyr fm(88.5)


mwandishi wa chanel ten iringa daud mwangosi (kushoto) akimhoji mgombea urais wa chadema dk slaa
mgombea ubunge jimbo la iringa mjini mchungaji peter msigwa (kushoto) akimsikiliza kwa makini mgombea urais wa chadema dk slaa ambaye yupo studio za redio country fm sasa
mgombea urais kwa chadema dk willibrod slaa (kushoto) akijibu maswali ya mtangazaji wa kituo cha redio country fm bw ahmed meena ( kulia)
mgombea urais wa chadema dk willibrod slaa akihojiwa katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu katika kituo cha redio country fm waweza,dk slaa amesema akiingia ikulu cha kwanza kuuza ndege ya rais na kununua helkopta kwa ajili ya matumizi ya ikulu,

hata hivyo dk slaa amesema kuwa kamwe hata acha kuendelea kupambana na mafisadi kwa kuogopa kifo na kuwa kifo kipo kamwe hataacha kusema ukweli kwa kuogopa kifo na kuwa atakuwa tayari kuuwawa wakati wowote ila kamwe hatazibwa mdomo.
uchakachuaji wa majina ya wapiga kura
*kuhusu wapiga kura ambao walijiandikisha katika daftari wa kudumu la wapiga kura ila majina yao hayomo kwenye orodha ,dk slaa ametoa muda wa siku mbili zilizobaki kwa tume ya taifa ya uchaguzi (nec) kuyarejesha ama kuomba radhi watanzania kwa wizi huo vinginevyo malalamiko yatafikishwa umoja wa mataifa .

Awataka watanzania ambao walijiandikisha ila majina yao hawayaoni waonane na wagombea udiwani na wale wa ubunge wa majimbo yao ili waweze kutuma taarifa kwake kwa ajili ya kuchukua hatua zaidi.
kilimo kwanza/kifo cha dk balali
> abeza kauli mbinu mbali mbali zinazotolewa na serikali iliyopo madarakani dhidi ya kilimo kwanza kuwa ni kauli zisizo tekelezeka .

Pia aulizwa kuhusu kifo cha aliyekuwa gavana wa benk kuu ya tanzania dk daud balali kama kweli alikufa ama lah .

Akijibu swali hilo lililoulizwa kwa njia ya simu dk slaa amesema kuwa hata yeye bado yupo njia panda juu ya kifo cha mtuhumiwa huyu wa fedha za epa kwani alipata kuona picha yake katika gazeti .

michezo

dk asema kuwa chuo cha sanaa cha bagamoyo kitakuwa ni chuo kikuu cha michezo iwapo ataingia ikulu

asema kuwa michezo ni ubalozi kwa taifa letu na ni sehemu ya kukuza utalii pamoja na uchumi kwa taifa .

Dk slaa amesema kuwa lazima chuo hicho kiwe chuo chenye hadhi nzuri kitakachovutia wengi katika kuja kujifunza tanzania.

ukimwi

mimi tofauti na rais jakaya kikwete ambaye anasema kuwa ukimwi unapatikana kwa uzembe ,ila mimi kwanza nitumiea nafasi hii kuwaomba radhi watanzania kwa unyanyapaa huo wa rais wetu kikwete badala ya kuwapa pole wagonjwa wa ukimwi kwa kuwaita wana kihele hele.

"mimi ni mmoja kati ya wanaharakati wa masuala la ukimwi hivyo nipo radhi kuendelea kuwafariji wagonjwa wa ukimwi na pia ipo sheria ya kuwahudumia watu wenye ukimwi pamoja na kutengeneza mbinu ya kusaidia wenye ukimwi"

asema kuwa fedha nyingi za ukimwi zimekuwa zikiliwa na wajanja na kuwa watu wenye ukimwi wamekuwa hawafikiwi kabisa na fedha hizo za ukimwi.

Dk slaa amesema kuwa serikali yake itaendelea kuwaenzi watu wenye ukimwi kwa kuanzisha hospitali maalum ya kuwasaidia watu hao wenye vvu na kuwa hajapendezwa na serikali kuwaita wenye ukimwi kuwa wana kihelehela.

malaria

asema serikali ya ccm inafanya usanii kuhusu vyandarua kwa wananchi wake japo fedha hizo zimetolewa na nchi za nje japo kwa upande wake katika jimbo la karatu japo hakuwa rais ila bado ameweza kutoa neti kwa kila kitanda katika kaya tofauti na ccm inavyotoa neti mbili kwa kaya bila kujali idadi ya watu waliopo .

Adai kuwa mradi uliofadhiliwa na japan ulipata kutoa fedha kwa ajili ya kuua mbu ila serikali ya ccm imekula fedha hizo na sasa kuendelea kuwadanganya wananchi kwa neti ili kuendelea kuichagua ccm.

Asema kuwa serikali yake itaendelea kupambana na ugonjwa wa malari bila kufanya usanii na kuwa kila kitanda kitapewa neti kama ilivyo katika jimbo la karatu.

ukubwa wa baraza la mawaziri

asema kuwa baraza kubwa la mawaziri tanzania linachangia matumizi mabaya ya fedha za umma na kuwa katiba itakayoundwa ya serikali ya chadema itazingatia mambo nyeti na kuwa kamwe baraza la mawaziri halitakuwa kubwa kama la baraza la jk ambalo lipo kwa ajili ya kujitengenezea ulaji kwa kwa marafiki wa jirani.

Asema bado katiba yetu haitamki wazi juu ya mgawanyo wa bunge,mahakama na n.k na kuwa ndio sababu ya kuwepo kwa matamko tofauti tofauti kwa kila kiongozi .

Dk slaa asema kuwa katiba ya sasa bado haifai kabisa kwani hata suala la kumchagua monica mbega kuwa mkuu wa mkoa ni suala la kuwakomoa wananchi wa jimbo la iringa mjini.

"nasema kuwa iringa mmepata bahati mbaya kweli kwani muda wa kuwatumikia vema wananchi haupo"

dk slaa asema kuwa kuna hofu kuwa tanzania itakuja kuongozwa na rais ambaye atashinda kwa kura moja kutokana na njama za ccm za kuivuruga katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania.

Fedha za kifisadi.

Fedha hizo zinapoingia katika mfumo wa matumizi ya fedha za serikali uchumi wa nchi unaendelea kushuka na kuwa hofu zaidi taifa litaendelea kuwa chini kiuchumi.

Asema kuwa iwapo fedha hizo za ufisadi zitashindwa kuthibitiwa kuna uwezekano wa taifa kuendelea kuyumba .

Kwanini mchungaji msigwa anafaa kuwa mbunge

asema kuwa wananchi wa jimbo la iringa mjini wasifanye kosa katika kuchagua chadema kwa tafsiri ya mafiga matatu na kuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo msigwa anasifa za kutosha kuwa mgombea ambaye atafanya maajabu makubwa .

Dk slaa anasema kuwa kila anapopita katika tanzania wananchi wengi wana endelea kutoa imani kwa chadema .

Msigwa.
Kesho asubuhi kutakuwa na mkutano wa kampeni katika uwanja wa mwembetogwa na kuwaomba wananchi kutoa kura zao chadema kwa dk slaa.

Mgombea udiwani kata ya makorongoni david kombo

asema kuwa kamwe akipata udiwani katika jimbo hilo kamwe hatawaanusha na atafanya kazi kwa nguvu zote.

Mke wa dk slaa

awataka wananchi kutoaogopa kumchagua dk slaa na kuwa wananchi watoe nafasi zaidi
safi sana mlangira umefikisha kile nilichotaka kukifikisha.
 
duuu nimeipenda make nimepata habari kabla hata ya magazet ya asubuh thanx bwana g9t
 
Mbona Mh. Slaa mara anasema WTZ maisha yao magumu, mara anasema anataka kuwahutubia kupitia kwenye Radio. Sasa kama WTZ maisha yao magumu, hivi watapata wapi hela za kununua Radio kumsikiliza Mh. Slaa?
 
Mbona Mh. Slaa mara anasema WTZ maisha yao magumu, mara anasema anataka kuwahutubia kupitia kwenye Radio. Sasa kama WTZ maisha yao magumu, hivi watapata wapi hela za kununua Radio kumsikiliza Mh. Slaa?
Ndugu yangu una lako jambo. Ninaomba niishie hapo.
 
Mbona Mh. Slaa mara anasema WTZ maisha yao magumu, mara anasema anataka kuwahutubia kupitia kwenye Radio. Sasa kama WTZ maisha yao magumu, hivi watapata wapi hela za kununua Radio kumsikiliza Mh. Slaa?

na kuna wenye mtindio wa ubongo kama wewe ni viongozi,ila ww more likely njaa inakusumbua unaogopa Anguko la CCM ,Shame on you idiota
 
Wana JF. Slaa ameonyesha ubunifu (wakoloni wanaita innovation )wa aina yake ili watu wa Iringa na maeneo ya jirani wapate ujumbe. Huyo ndiyo kiongozi tunayemhitaji. Jumapili hata kama upo na drip jitahidi kumbembeleza Dr wako akupe ruhusa ulete mabadiliko.
 
Chamajani unaweza sasa ukafanya kitu cha kiutu uzima na kutuomba msamaha kwa uongo huu uliousema jana?

Anataka kutangaza msimamo wake wa kurudi CCM nini! Maana kazi aliyotumwa ya kuiua cuf keshaimaliza sawia
Be a gentleman and apologize as loudly as you did mislead us yesterday....Bwana.........
 
Back
Top Bottom