Elections 2010 Dk slaa kuhutubia wananchi wa mkoa wa iringa kupitia redio country fm leo saa 3 usiku

PayGod

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
1,259
57
DK SLAA KUHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA IRINGA KUPITIA REDIO COUNTRY FM LEO SAA 3 USIKU





Baada ya kushindwa kuwahutubia wananchi wa manispaa ya Iringa leo jioni ,mgombea urais kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo (chadema) Dk Willibrod Slaa leo saa 3 usiku huu atawahutubia moja kwa moja wananchi wa mkoa wa Iringa kupitia kituo cha Redio Country Fm (88.5 ) wananachi watapata nafasi ya kumsikiliza na kuuliza maswali yao kaa mkao wa kula
 
silaa kasema kuwa amepata nyaraka zinazoonyesha kuwa mfuko wa sument kuuzalisha ni tsh 4000 na sio elfu saba kama huyo anayejiita mtaalamu wa cement alivyosema.pia anasema kuwa kuna wastaafu wengi sio wa EAT tu ambaao hawajalipwa kwa hiyo yote atayashughulikia akipata nchi
 
ARUSHA LEO

74335_455311043755_602993755_5287274_2468175_n.jpg
 
Anataka kutangaza msimamo wake wa kurudi CCM nini! Maana kazi aliyotumwa ya kuiua cuf keshaimaliza sawia
 
silaha anasema kuwa atashirikiana na waganga wa kienjeji ambao sio washirikina kwa kuwa ndio wanaotoa huduma za matibabu vijijini, pia atawajengea uwezo na kushirikiana naye kufanya tafiti za dawa ili nchi iweze kunufaika
 
wale ambao majina yao hayajapatikana kwenye daftari la wapiga kura waandikishe majina na kuyapeleka kwa viongozi ila wachukue hatua.tume lazima ieleze kwanini watu hawamo kwenye daftari?
 
kwenye kilimo CHADEMA wanasema wataandaa fungu maalumu litakalotumika kuwalipa wakulima pindi bei itakaposhuka. slaa anasema ni aibu kwa tazania yenye rutuba na mabonde mazuri kununua mchele japani ambayo haina sifa hizo
 
kwenye michezo anasema atageuza chuo cha bagamoyo kuwa chuo kikuu cha michezo aina yote ili Tanzania iweze kupata wataalamu huko na sio kuwaleta wataalamu kutoka nje.
 
kuhusu malaria anasema tiba yake siyo net peke yake, anasema mtazamo wa CHADEMA ni kwaba malaria haipasi kuwepo.
 
Back
Top Bottom