DK SLAA: Hakikisha umeitendea Jambo Nchi yako

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,424
Kabla muda wako wa kuishi
hapa duniani haujaisha
hakikisha umeitendea japo
jambo moja la kukumbukwa
nchi yako. Ni muda sasa wa
kuikomboa na kuijenga nchi yetu na kuleta matumaini
mapya ya baadae kwa vizazi
vijavyo. Tuseme tumechoshwa
na UBINAFSI, UJINGA,
UMASKINI, na MARADHI,
tuwekeze nguvu zetu kwa M4C kwa mabadiliko ya kweli.

SOURCE:Wall ya Dr. Willibrord Slaa
 
Back
Top Bottom