yutong
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 1,601
- 338
Jee anaweza kuwa kama Maalim Seif Shariif- alieratibu Mfumo wa Vyama vingi hadi kufikia hapa Tulipo? Kwani wakati watz wanataka mfumo wa Vyama vingi. asilimia 80 ni Zanzibar ambapo harakati za MAALIM seif zilianza hadi kufikia hapa
2)Anaweza kustahamili vishindo kama MANDELA wakati wa Utawala wa Makaburu?
3)Desmon Tutu?
4)Raila Odinga na Utawala mbaya wa Daniel Arap moi?
Lipi hasa ukiondoa Mkutano wa Mwembe Yanga ulimfanya DK Slaa kuwa mpambanaji madhubuti wakati majeshi pinzani watakapotumia Silaha Nztio kama za Makaburu Afrika ya Kusini na ya Maalim Seif huko Zanzibar ?
Kwani magamba nani kakomaa kisiasa zaidi ya kukomaa kifisadi?