Dk Slaa awatimua viongozi 33 Sengerema

Ahsante Mungu wa israel kwani hiyo ndo" operesheni wajibikaji" na bado tukichukua nchi kwa wale wote watendaji legelege ndo mtahesabu nyota tu, kwani uwajibikaji ni lazima uanzie kwenye chama na baada ya hapo baada ya chama kushika nchi basi ndio mwendo mdundo.
Big up Rasis wangu slaa.
Mungu wa israel akulinde. Amen

jamani Tanzania hatuna Mungu mpaka tukaazime israel.MI CNA SHIDA NA MUNGU WA ISRAEL NA SHIDA NA MUNGU WA TANZANIA.
 
Kwa macho yangu nimeisoma hii habari kwenye gazeti la UHURU la leo, mweka uz sema source- gazeti la uhuru plz.

Hivii mkuu haupati kinyaa ukisoma huo uozo wa hilo gazeti? Huwa si thubutu hata kuperuzi vichwa vya gazeti hilo.. kweli una muda mchafu..
 
baada ya chadema kushindwa kuvuna wanachama wa ccm wilayani sengerema,katibu mkuu wa chadema dk wilbroad slaa amewatimua viongozi 33 na kuvunja kamati ya utendaji ya chama hicho wilayani sengerema.

viongozi hao walitimuliwa usiku wa manane kwenye kikao cha ndani na hawakutakiwa kugombea tena uongozi ndani ya chadema katika uchaguzi wa kuziba nafasi zao na badala yake aliyejiunga na chama hicho ni aliyekuwa diwani wa kata ya ibisabageni hamisi tabasamu

viongozi hao wamefukuzwa kwa kushindwa kuwashawishi wananchi wengi wakiwemo wanaccm kujitokeza katika mkutano wa dk slaa uliofanyika jumamosi iliyopita mjini humo.

miongoni mwa waliotimuliwa yumo said shabani ambaye ni mwenyekiti wa jimbo la sengerema,rafiki rufunga ambaye ni katibu na manyama mayeye ambaye ni katibu mwenezi.

katibu wa chadema mkoa wa mwanza wilson mushumbushi aliyedaiwa kuhudhuria kikao hicho alipotakiwa kuzungumzi sakata hilo alidai liko juu ya uwezo wake na kuthibitisha kutimuliwa kwa viongozi hao wa wilaya

Mbona husemi kuwa source ni gazeti la uhuru?
 
Nyo nyo nyo!!!!! kakojoe ulale kikojozi wee.. hujui unachokiongea hata chembe! kiongozi mbaya humuoni babako kashikilia nyumba ndogo na nchi inanuka rushwa na hujuma?????
 
Jamani: Huko CHADEMA demokrasia ni adimu sana! These decisions will backfire in future, let's wait and see!
Chama sio kama serikali; ndio maana Mkapa alikuwa Rais Mzuri sana lakini alikuwa mwenyekiti wa chama mbaya! Na JK ni rais mbaya lakini mwenyekiti wa chama mzuri!

Najua kuwa ulipokuwa unaandika haya maneno hata masaburi yako mwenyewe yalikuwa yanakucheka!
 
Hakuna kulea uovu hata kidogo,ni mwendo mdundo na atakaye shindwa kuendana na hiyo supersonic speed apishe ili wengine wakalie usukani.Umagambagamba hatuuhitaji.Ukivaa combart ni kwamba hautakiwa tena kuwa legelege ni kukaza kweli.

Kitufe cha hili neno LIKE ndio siioni Kamanda!
Ila nimeipenda hii!
Huu msako haitamwacha mtu legelege!
 
hata mimi hili gazeti nimeliona leo lakini kinacho nifanya nilidharau gazeti la Uhuru ni ile taarifa ya habari ya ITV jana.
Nakushauri chagua magazeti ya kutoa fedha zako.

Kwa ninis bado mnasoma gazeti la uhuru, mi nilishaacha siku nyingi maana ni la propaganda tuuuu!!! Ukweli kiduchu kama unamhusu gamba tu
 
Hii habari imeandikwa na "gazeti" moja tu leo nalo sio jingine bali gazeti la UHURU. Changanya na zako!
Hata hivyo ni habari nzuri kwa kuwa inaipromote CHADEMA kwamba wana viongozi wanaoweza kufanya maamuzi magumu
 
kumbe ni taarifa ya magamba lo!
Kuziamini taarifa za gazeti la Uhuru ni sawa na kukubali ushauri wa mgonjwa wa akili anayekushauri kuongeza kijiko cha kinyesi cha binadamukatika mboga ili kukoleza utamu!
Mimi sikumbuki hata mara ya mwisho niliposoma gazeti la marehemu hilo. Hivi bado linachapishwa? Mbona wala silioni kwenye Newspaper stalls?
 
Jamani: Huko CHADEMA demokrasia ni adimu sana! These decisions will backfire in future, let's wait and see!
Chama sio kama serikali; ndio maana Mkapa alikuwa Rais Mzuri sana lakini alikuwa mwenyekiti wa chama mbaya! Na JK ni rais mbaya lakini mwenyekiti wa chama mzuri!

Acha uongo huo... Mkapa alisimamia vizuri chama na serikali, lakini JK kashindwa kote kwenye chama na serikali. Hii inaonesha kuwa kiongozi mzuri wa chama ana uwezekano mkubwa wa kuwa kiongozi mzuri wa serikali. Hebu tafakari, Mh. Mbowe na Dk. Slaa walikikuta chama katika hali gani na sasa hivi kiko katika hali gani.... Ni wazi kuwa wakipewa nchi, itakua ni nchi yenye uwajibikaji kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu. Hebu vuta picha... Rais: Dk Slaa, Waziri mkuu: Mbowe
 
baada ya chadema kushindwa kuvuna wanachama wa ccm wilayani sengerema,katibu mkuu wa chadema dk wilbroad slaa amewatimua viongozi 33 na kuvunja kamati ya utendaji ya chama hicho wilayani sengerema.

viongozi hao walitimuliwa usiku wa manane kwenye kikao cha ndani na hawakutakiwa kugombea tena uongozi ndani ya chadema katika uchaguzi wa kuziba nafasi zao na badala yake aliyejiunga na chama hicho ni aliyekuwa diwani wa kata ya ibisabageni hamisi tabasamu

viongozi hao wamefukuzwa kwa kushindwa kuwashawishi wananchi wengi wakiwemo wanaccm kujitokeza katika mkutano wa dk slaa uliofanyika jumamosi iliyopita mjini humo.

miongoni mwa waliotimuliwa yumo said shabani ambaye ni mwenyekiti wa jimbo la sengerema,rafiki rufunga ambaye ni katibu na manyama mayeye ambaye ni katibu mwenezi.

katibu wa chadema mkoa wa mwanza wilson mushumbushi aliyedaiwa kuhudhuria kikao hicho alipotakiwa kuzungumzi sakata hilo alidai liko juu ya uwezo wake na kuthibitisha kutimuliwa kwa viongozi hao wa wilaya.

CHANZO: Gazeti la Uhuru

ULIANGALIA PICHA ZA KWENYE TAARIFA YA HABR ITV? Tatizo la habari yako ni source
 
Hivi kwa siku nakala ngapi za gazeti la uhuru zinauzwa? kwa maana kila nilkiuliza wauza magazeti una gazeti la uhuru wanasema hawajachukua! mwenye data kidogo anisaidie jamani
 
Back
Top Bottom