Dk Slaa ang’ara urais; NI IWAPO UCHAGUZI MKUU UNGEFANYIKA SASA ANGESHINDA.

pamoja na kwamba uchakachuaji utakuwepo bado tunaweza kupata % kwa kuangalia jinsi siasa ya kila chama inavo eleza
kwa kukisia labda niseme,
CCM 26%
CUF 18%
TLP 5%
NCCR 9%
CHADEMA 42%
Kama kuna makosa labda kidogo sana au kama kuna mwenye mawazo tofauti labda sijui.
 
pamoja na kwamba uchakachuaji utakuwepo bado tunaweza kupata % kwa kuangalia jinsi siasa ya kila chama inavo eleza
kwa kukisia labda niseme,
CCM 26%
CUF 18%
TLP 5%
NCCR 9%
CHADEMA 42%
Kama kuna makosa labda kidogo sana au kama kuna mwenye mawazo tofauti labda sijui.

Kwangu mie CCM 52% Hao wengine watagawana hizo zilizobaki......!
 
CCM haiwezi kupata hiyo % kwani mpaka sasa wapo ktika malumbano ya nani awe????? kwani kila wanaye mkusudia lazima awe na kashfa ya UFISADI kwahiyo is not possible for CCM to get the amout you mentioned
 
Watanzania tujifunze kusoma na kuelewa, mtafiti hawezi kuandika ambacho hakikujitokeza wakati utafiti au hawezi kuwajibia wananchi. sasa kama wananchi hawakumpendekeza ulitaka ripoti ndo imweke tu EL ili iweje?? Soma sehemu ya ripoti hapo chini kuhusu utafiti ulivyoendeshwa.

......."Katika kupata maoni juu ya mtu ambaye wangependa awe rais waliuliza: “Mbali na Rais Jakaya Kiwete, ni mtu gani ungeweza kumchagua kuwa Rais iwapo atakuwa miongoni mwa wagombea?”".......

Cha kushangaza ni kwa nini EL hayumo. Au alipata sifuri? Lakini kama kutokuwemo kwake hakuulezwi vizuri basi hii yote ni changa la macho.

Hata hivyo nakubali Dr Slaa ndiye Rais ajaye -- iwapo CCM ina nia ya kuendelea kuwapo kwa amani nchini.
 
Back
Top Bottom