Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,883
- 6,883
- Thread starter
- #21
Rais Kikwete sioni umuhimu wa kuwakumbatia hao wezi. tunajua umetoka nao mbali lakini huu ni muda wakuwaacha watumikie kazi ya mikono yao ikiwa ni pamoja na kuwafilisi. Usimuone haya Lowassa wala Chenge, wala Rostam. weka maslahi ya taifa mbele achana naohata kama walikuunga mkono kwani hawana nia njema na nchi yetu. fukuzia mbali hiki ndo kilio cha wengi akiwemp padre slaa na mimi.
Come on man, Kikwete ndiye kinara wa kuiba na pesa hizo ndizo zilizomweka madarakani, baada ya kuona amepata alichotaka hao waliomsaidia kumfikisha alipo anawasaliti.
Jiulize Riziwan Kikwete utajiri huo ameupata wapi wakati amehitimu chuo karibuni na hajaanza kazi? Hii nchi ya mfumo wa Kifalme?