Dk Slaa amshukia mama Anna Mkapa

usingizi uliokuwa huko ninaimani watatoa tongotongo maana ni sehemu zilizo sahaulika kwenye maendeleo watu wanaishi ili siku ya kufa ifike hawawazi hata kusomesha, kimaendeleo wanawaza kuzaliana tu
 
hapo ndipo napoona kwamba CDM ipo makini na wanataka kuogoza hii nchi mwaka 2015
 
Wakuu huyu mama si ndie mwenye bayport finance ambapo mwalimu akikopa m3 anatakiwa arudishe 9m,wanatuibia kila kona.
 
hongera chadema kwa kuwaamusha watanzania.!
Naomba makamanda wa CDM ndani ya M4C wakifika Mkoa wa Lindi, tafadhali wafike kwenye tarafa zote ili wamalize kazi mkoa huu, hakuna tofauti kabisa na huko Tandahimba; Fikeni Lindi mjini, Ng'apa, Milola, Nangaru, Mipingo na nyingine zote mkoani hapa. Watu wanawasubiri kwa hamu mno, JITAHIDINI na MUNGU MWEZA WA YOTE AKAWATANGULIE!!!
 
Back
Top Bottom