Dk Slaa amshukia JK

Ama kweli ma brother jakubumba akili yako ya kufikri ni ndogo zaid ya mbegu ya mchicha,i think u a under 15yrz ni bora kukuchangie hela ununue midoli na mchele ili mcheze vzuri na watoto wenzako
Ni kama baadhi ya ile mikinda ya Gaddafi, siyo tatizo lake huyo Jakubumba, dunia aliyokulia ni tofauti na ya kwako, na hilo litawacost sana ndugu, jamaa na marafiki wa mafisadi kwasababu wako very out of touch, na kwasababu ndiyo hao wanaandaliwa kutuongoza kwa awamu zijazo, basi usishangazwe jinsi akili ya kikinda yenye tope!

Kwa hiyo tegemea wapambane na sisi hadi tone la mwisho la damu!

Wanajuwa utajiri walio nao uliotokana na uongozi wa umma kuwa ni haki yao na watoto hao, ndugu na wapambe, wameisha aminiishwa kuwa ni wivu wa kike unawasumbua watanzania!

Hao ambao wanaona kuwa viongozi wa umma wanapotoa hiyo misaada baada ya kuhujumu uchumi lazima watakuwa wana uhusiano wa moja kwa moja na mafisadi.

Wanatumia majina feki humu ndani, lakini kwa taaria yako wamo humu even if you cant see them doesnt mean they arent there.
 
Ndugu zangu naomba.Katiba sasa hivi ni muhimu sana sana.Hao mafisadi tutawahukumu baada ya katiba tu.Msiwe na wasi.Kwa ni ushahidi wote upo.wakae mkao wa kunyelewa .Walizoea.KATIBA ,KATIBA,KATIBA,KATIBA.TUFE MWAKA HUU KWA KATIBA NDUGU ZANGU.ASANTE SANA MTETEZI WETU SLAA.WEWE RAIS WA TANZANIA HUNA FIKRA KABISA.NAOMBA NIKUELEZE KUHUSU UCHUMI.SIO NCHI ZOTE ZIMETETELEKA KWA UCHUMI.WEWE HALI IKIWA NZURI WEWE NI MATONYA,IWE MBAYA NDIO PRFESSIONAL MATONYA. NIMESIKIA KUNA CHUO KIKUU CHA UMATONYA KINAANZISHWA HAPO DAR.NA MKUU WAKE NI RAIS WA NCHI,HAHAHAHAAAAAAAAAAAAA.POLE MAMA TANZANIA.KWELI MTU MPE AKILI SIO MALI.NAOMBA RAIS KIKWETE NENDA KAONGOZE ETHIOPIA,KWA MUDA WA MWAKA MMOJA TU ,ALAFU UJE HAPA TANZANIA.NDIPO UTAJUA TANZANIA NI TAJIRI.SHAME ON YOU
 
FF naona unatafuta umarufu wa kijinga. Jk leo mishahara shida, huduma Mbovu, Kilakitu hakieleweki. Labuda unataka "akujue" ili akupe Ubarozi
 
hayo ni mawazo yangu toa yako, ktk siasa za tanzania usitegemee mwanasiasa alete maendeleo, wote ni wachumia matumbo tu, nimetoa mfano tu kwa dr slaa kuhusu mshahara wake, ila kwa sababu humu watu ni washabiki wa chadema hawakubali kuambiwa ukweli. Chadema wanaongoza majimbo mangapi na wamefanya nini pale? Usikurupuke kunishambulia hata mie haya ni mawazo yangu, toa yako tambaa mbele!
Haya mawazo yako ni duni sana kiasi kwamba ama yanawapandisha watu mizuka au yanawachefua, ni bora uwe unasoma tu comment za watu wenye nazo halafu ukipenda unabofya kile ki like. Hapa watu wanaongelea habari tofauti kabisa na mawazo yako. Maendeleo hayaletwi na wanasiasa wala mtu mmoja mmoja kwa kutoa zawadi ya mbuzi au pesa au kanga, ubwabwa nk. Maendeleo ya nchi ni jukumu la serkali ndo sababu nchi zinaingia gharama kubwa kufanya chaguzi za kupata viongozi wenye uwezo wa kuwaletea maendeleo. Maendeleo ya mtu mmoja mmoja yapo kwenye nchi zinazoitwa failed states (mataifa yaliyoanguka) huko utakuta kila mtu anakisima chake cha maji, anajenereta lake la umeme, ana daktari wake, ana mwalimu wake wa kumfundishia watoto wake, ana mlinzi wake na polisi rafiki yake nk.
 
Ila Slaa nae kazidi kulalamika! Ila yeye mshahara wake amesahau? mbona sijawhi kusikia amesaidia hata mbuzi kwa ajili ya sikukuu kama mzee wa kaya JK? YEYE ZAKE ANAWEKA MFUKONI ANATULIA HALAFU ANAWANYOSHEA WENZIE KIDOLE! SIASA BWANA KAMCHEZO KACHAFU SANA!:lol:

Mijitu mingine bwana mnaongea maneno kama yanatokea kwenye masaburi kwani mshahara wa slaa unatuafect vp sisi wananchi wa kawaida, kwahiyo mbuzi wa sikukuu ndo umeona kitu cha maana sana. watz bwana ndomana tunadanganywa na kofia, kanga na sahani ya ubwabwa.
Yani mtu na akili zako anaongelea mbuzi wa sikukuu wakati maisha yamekuwa magumu kila kitu juu.
 
hayo ni mawazo yangu toa yako, ktk siasa za tanzania usitegemee mwanasiasa alete maendeleo, wote ni wachumia matumbo tu, nimetoa mfano tu kwa dr slaa kuhusu mshahara wake, ila kwa sababu humu watu ni washabiki wa chadema hawakubali kuambiwa ukweli. Chadema wanaongoza majimbo mangapi na wamefanya nini pale? Usikurupuke kunishambulia hata mie haya ni mawazo yangu, toa yako tambaa mbele!

Sasa kama unaongea upupu watu wakuache tu maisha yamepanda alafu unamtetea jk kwa hoja za mbuzi wa sikukuu are u serious? me nahisi wenzetu ndo mnafaidika na pesa za EPPA ndomana mnatetea ujinga. Kuhusu dr. slaa hunasababu ya kumshutumu kwani huo mshahara ni makubaliano rasmi ss tunaongelea mambo ya kupanda kwa gharama za maisha na utendaji mbovu wa serikali na matokeo yake kwa sisi watz maskini sio wewe fisadi. Hata wewe tambaa mbele usilete ubabe wa kijinga
 
Jakubumba; hayo ni mawazo yangu toa yako, ktk siasa za tanzania usitegemee mwanasiasa alete maendeleo, wote ni wachumia matumbo tu, nimetoa mfano tu kwa dr slaa kuhusu mshahara wake, ila kwa sababu humu watu ni washabiki wa chadema hawakubali kuambiwa ukweli. Chadema wanaongoza majimbo mangapi na wamefanya nini pale? Usikurupuke kunishambulia hata mie haya ni mawazo yangu, toa yako tambaa mbele!
I'm curiously with your level of comprehension funky lady. Did you read between lines in Dr. Slaa's arguments or you have just spited out because of your political party support? Who else have more power and influence in governments' policies and decisions making if are not politicians? The issue was not on how Kikwete /Dr Slaa expends his salary but rather the crippling economy where majority are suffering at the expense of few self-indulged politicians and business men who are cronies of the incumbent president. Go back to the post and re-read one more time to clear out your ooziness

FaizaFoxy;Taja kimoja ambacho Kikwete hajakifanya zaidi ya Rais yeyote wa kabla yeke. Nnakuhakikishia huna.

I'm really dumbfounded with your statement in red. Do you live here in Tanzania or you are somewhere else?
 
Ila Slaa nae kazidi kulalamika! Ila yeye mshahara wake amesahau? mbona sijawhi kusikia amesaidia hata mbuzi kwa ajili ya sikukuu kama mzee wa kaya JK? YEYE ZAKE ANAWEKA MFUKONI ANATULIA HALAFU ANAWANYOSHEA WENZIE KIDOLE! SIASA BWANA KAMCHEZO KACHAFU SANA!:lol:
wale wale akina kashilila!
 
jakubumba ..!!!! Tatizo lako mtu akipinga upuuzi wako unazani ni cdm?! Akili mbovu tu wewe! Mimi hapa nimekuwa mpenzi wa sisiem kwa muda mrefu lakini hali ilivyofikia inakera na kuchosha yaani kwa kifupi sifagilii mienendo ya sisiem kabisa kwa sasa!. Ni ukweli usiopingika kuwa cdm ndicho chama kimeonyesha umakini wa kuisuta serikali kwa mapungufu yanayo onekana...sasa itashangaza mtanzania kama wewe mwenye akili unaona maisha yanazidi kuwa magumu alafu unakandia mtu mwenye hoja za msingi kama dr slaa! Mimi huwa na mashaka kidogo na watu wa namna yako kuwe huwenda hata wewe una faidika na haramu inayochumwa na magamba!

Hee!kwani aChadema wameshaanza kumtambua Dr.JMK as nakumbuka walisema hawamtambui sasa inakuaje anamwita 'RAIS KIKWETE!'
 
FaizaFoxy;Taja kimoja ambacho Kikwete hajakifanya zaidi ya Rais yeyote wa kabla yeke. Nnakuhakikishia huna.

I'm really dumbfounded with your statement in red. Do you live here in Tanzania or you are somewhere else?

'jibu hoja then anzisha hoja yako' Askof kilain akimtaka job ndugai ajibu hoja za sumaye then ndo aanzishe yake,naamin huu ushauri hata wewe unakufaa
 
Mijitu mingine bwana mnaongea maneno kama yanatokea kwenye masaburi kwani mshahara wa slaa unatuafect vp sisi wananchi wa kawaida, kwahiyo mbuzi wa sikukuu ndo umeona kitu cha maana sana. watz bwana ndomana tunadanganywa na kofia, kanga na sahani ya ubwabwa.
Yani mtu na akili zako anaongelea mbuzi wa sikukuu wakati maisha yamekuwa magumu kila kitu juu.

Mara nyingi watu wakianza kuchanganyikiwa huwezi kuwasahau
 
Pendekeza ulitaka wamwite nani?

aliekuwa mgombea urais wa ccm,mwenyekiti wa Taifa wa ccm,aliekuwa mbunge wa chalinze,wazir wa zaman wa mambo ya nje,mwenyekit wa zaman wa AU,Rais wa Tz 2005-2010!,baba ridh, yapo mengi!
 
aliekuwa mgombea urais wa ccm,mwenyekiti wa Taifa wa ccm,aliekuwa mbunge wa chalinze,wazir wa zaman wa mambo ya nje,mwenyekit wa zaman wa AU,Rais wa Tz 2005-2010!,baba ridh, yapo mengi!

Endelea wewe kumwita hivyo
 
Mbona anaongelea mambo yaliyopita au kujirudisha kwenye chati maana ameporomoka kweli kweli.

Kwa hyo watu wakiiba na hatua hazijachukuliwa ni kupitwa na wakati?meremeta,epa,tangold,richmond,radar,etc.ni hoja za kupuuza?uku mahospitali wagonjwa wanalala chini,madawati hamna mashuleni,mfumuko wa bei.fikiri kabla ya kuandika usimfuraishe mtu.
 
Dr Slaa yuko makini na analolijenga hapa linamamtiki kubwa sana: Lazima watanzania tuwe makini on making mojor maamuzi ya kukataa uonevu huu wa serikali ya chama chama cha mapinduzi: hata hivyo napata shida pale ninapotafakari idadi ya kura zilizokipa chama chamapinduzi ushindi katika kura za Urais ikiwakilisha watanzania zaidi ya milioni 40, Defenetely unbelievable pale ambapo kiongozi wa nchi akashindwa kuchukua maamuzi magumu dhidi ya watendaji wake na ikaleta shida kwa taifa zima.

Guys we need kuamka na kufanya mabadiliko kwa ajili ya ukombozi wa pili wa taifa letu. We have got where to start na si pengine bali kukataa huu muswada wa mabadiliko ya katiba kwa kuwa utazaa yaleyale::shock::shock: Why are we accepting to be fool all time tena mtu yuleyule I mean Chama cha mapinduzi

Lets do changes
 
Back
Top Bottom