Dk. Slaa akamata nyaraka ya siri ya serikali

Huu ni uzushi wa kisiasa.ameshindwa kuwadhibiti wabunge wake wanaokula posho aka ujira wa mwia anadandia asoyajua.

Yaani hapo umenena ndugu, kwanza yeye mwenyewe anajuta kuacha kugombea Ubunge, kwa sababu anazikosa posho. Hujachelewa mzee Slaa gombea tu 2015 ubunge maana uraisi huupati ng'oooo. Labda Zitto Kabwe sio wewe ambaye umejaa Ukatoliki na Uchaga na Ukanda. Tunataka aliyeshiba U-Tanzania.
 
Mwongo huyo, akawadanganye hukohuko kanisani alikokuwa akitumika, mzushi huyu siwezi kumuamini hata kidogo, tangu azushe issue ya kontena la kura, mfuko wa cement kuwa 5000 na mengine mengi simwamini huyu.

Na vipi alipozusha juu ya EPA, KAGODA na watu wakakamatwa japo fedha zenyewe wamerudisha zimeibwa tena?

Kama unaona anazusha, thubutu wewe kumuita Rais fisadi halafu uone kama wiki hiyo utaimalizia nyumbani.
 
Nchi hii tunacheza michezo ya hatari kweli. Hainiingii akilini kama tunaweza kuthubutu kushabikia kitendo cha mtu kuiba nyaraka ya serikali wenyewe tunasema 'akamata'. Kuiba nyaraka ya serikali ni jambo la hatari kwa uhai wa taifa lolote haijalishupi umefanywa na nani? Leo Dr. Slaa anaiba nyaraka ya Serikali na tunamshangilia. Mbinu hii itatumika dhidi ya Serikali ya CHADEMA siku itakapojaaliwa kuingia madarakani. Mchezo huu ukiendelea, hakuna Serikali itakayotawala. Kitendo hiki kinadhoofisha Serikali na sio kitendo ch kushabikia hata kidogo, na ndio maana kuna sheria ya bunge dhidi ya kitendo hicho. Bahati nzuri Serikali yenyewe in huruma huruma hivi.

Lakini la pili ni kuwa, tunataka sasa kuhalalisha ushiriki wa watumishi wa umma kwenye siasa. Hii ni hatari nyingine. Kitendo cha kunajisi utumishi wa umma na siasa, aidha kusaidia Chama Tawala au Chama cha Upinzani ni kitendo cha hatari na kukemea. Watumishi wa umma wakifanya kazi kisiasa hakuna maendeleo yatakayopatikana na hatari ya hujuma aidha dhidi ya wapinzani au serikali inaweza kuwa kitu cha kawaida. Sioni tatizo lolote kuhusu Waraka huo wa kukataza watumishi wa umma kutoshiriki shughuli za siasa. Waraka haukatazi mtumishi wa umma kuwa mwanachama, kinachokatazwa ni kuwa kiongozi wa chama au kufanya shughuli za chama cha siasa mahala pa kazi. Waraka huu unawasaidia pia CHADEMA kuliko tunavyotaka kuaminishwa. Watumishi wa Umma wakiamua kutumika dhidi ya CHADEMA ustawi wa Chama hicho utakuwa mashakani. Inawezekana walioko kwenye utumishi wa umma wakawa CCM wengi kuliko CHADEMA kama ambavyo inawezekana pia wakawa CHADEMA wengi kuliko CCM. Lengo la Waraka huu ni kulinda maslahi ya umma wote na haki yao ya kupata haki na huduma kutoka katika utumishi wa umma bila kujali itikadi. Pengine nielezwe humu ni nchi gani na wapi ambapo utumishi wa umma wanaruhusiwa kujihusisha na siasa za vyama mahala na wakati wa kazi? Kwa nini sisi tuwe wa kwanza?

Tusikubali kutumiwa kuhalalisha mbinu haramu kwa sababu tu ya kutaka kufikia maslahi yetu ya kisiasa. CHADEMA wakumbuke, mbinu hizo hizo zitatumika dhidi yao wakiwa madarakani.

Acha unafiki wa kiccm, waraka unakuwa siri pale unapokuwa hujamfikia mlengwa, mlengwa wa waraka akishaupokea na kuusoma sio siri tena ila kinachobaki ni utekelezaji. Sasa uwezi kufanya utekelezaji kimya kimya inabidi ushirikishe watu wengine ndo hapa waraka unasomwa kwa wale wanaotakiwa kutekeleza. so, hapo hakuna siri tena.

Pili na kushangaa unaposema tusikubali kwa watumishi wa serikali kuwa viongozi wa vyama, hivi hii ni kwa upinzani pekee yake? mbona kuna watumishi wengi wa serikali ni viongozi wa ccm? wapo ambaoni wenyeviti wa umoja wa vijana ccm , wenyeviti wa wilaya, wajumbe wa kamati za siasa za wilaya na mikoa. kwanini kwa upande wa upinzani wa zuiwe?

wewe ni miongoni mwa magamba ambao unaona wakiruhusiwa ccm haitakuwa na chake
 
Nchi hii tunacheza michezo ya hatari kweli. Hainiingii akilini kama tunaweza kuthubutu kushabikia kitendo cha mtu kuiba nyaraka ya serikali wenyewe tunasema 'akamata'. Kuiba nyaraka ya serikali ni jambo la hatari kwa uhai wa taifa lolote haijalishupi umefanywa na nani? Leo Dr. Slaa anaiba nyaraka ya Serikali na tunamshangilia. Mbinu hii itatumika dhidi ya Serikali ya CHADEMA siku itakapojaaliwa kuingia madarakani. Mchezo huu ukiendelea, hakuna Serikali itakayotawala. Kitendo hiki kinadhoofisha Serikali na sio kitendo ch kushabikia hata kidogo, na ndio maana kuna sheria ya bunge dhidi ya kitendo hicho. Bahati nzuri Serikali yenyewe in huruma huruma hivi.

Lakini la pili ni kuwa, tunataka sasa kuhalalisha ushiriki wa watumishi wa umma kwenye siasa. Hii ni hatari nyingine. Kitendo cha kunajisi utumishi wa umma na siasa, aidha kusaidia Chama Tawala au Chama cha Upinzani ni kitendo cha hatari na kukemea. Watumishi wa umma wakifanya kazi kisiasa hakuna maendeleo yatakayopatikana na hatari ya hujuma aidha dhidi ya wapinzani au serikali inaweza kuwa kitu cha kawaida. Sioni tatizo lolote kuhusu Waraka huo wa kukataza watumishi wa umma kutoshiriki shughuli za siasa. Waraka haukatazi mtumishi wa umma kuwa mwanachama, kinachokatazwa ni kuwa kiongozi wa chama au kufanya shughuli za chama cha siasa mahala pa kazi. Waraka huu unawasaidia pia CHADEMA kuliko tunavyotaka kuaminishwa. Watumishi wa Umma wakiamua kutumika dhidi ya CHADEMA ustawi wa Chama hicho utakuwa mashakani. Inawezekana walioko kwenye utumishi wa umma wakawa CCM wengi kuliko CHADEMA kama ambavyo inawezekana pia wakawa CHADEMA wengi kuliko CCM. Lengo la Waraka huu ni kulinda maslahi ya umma wote na haki yao ya kupata haki na huduma kutoka katika utumishi wa umma bila kujali itikadi. Pengine nielezwe humu ni nchi gani na wapi ambapo utumishi wa umma wanaruhusiwa kujihusisha na siasa za vyama mahala na wakati wa kazi? Kwa nini sisi tuwe wa kwanza?

Tusikubali kutumiwa kuhalalisha mbinu haramu kwa sababu tu ya kutaka kufikia maslahi yetu ya kisiasa. CHADEMA wakumbuke, mbinu hizo hizo zitatumika dhidi yao wakiwa madarakani.
Kaka kama huna uwezo wa kuandika kitu kinachoeleweka kwa wasomi nakushauri usifanye hivyo kwani unajiaibisha
wewe soma tuu yaliyoandikkwa labda utaelimika kidogo...,sio lazima umwage upupu wako hapa..
 
Huyu dk wa din hana jipya kwan be4 huu waraka hakuwepo mpaka leo ajifanye umesambazwa,lkn cshangai yeye c alikuwa m2mish wa kanisa ndio maana anaona mageni kwake,jaman ushaur wa bure alud kanisan akam2mikie
sio kosa lako, jina lako linathibisha jinsi ulivyo. ms..........
 
Mwongo huyo, akawadanganye hukohuko kanisani alikokuwa akitumika, mzushi huyu siwezi kumuamini hata kidogo, tangu azushe issue ya kontena la kura, mfuko wa cement kuwa 5000 na mengine mengi simwamini huyu.
Sio kosa lako..ndivo ulivoumbwa!
 
Nchi hii tunacheza michezo ya hatari kweli. Hainiingii akilini kama tunaweza kuthubutu kushabikia kitendo cha mtu kuiba nyaraka ya serikali wenyewe tunasema 'akamata'. Kuiba nyaraka ya serikali ni jambo la hatari kwa uhai wa taifa lolote haijalishupi umefanywa na nani? Leo Dr. Slaa anaiba nyaraka ya Serikali na tunamshangilia. Mbinu hii itatumika dhidi ya Serikali ya CHADEMA siku itakapojaaliwa kuingia madarakani. Mchezo huu ukiendelea, hakuna Serikali itakayotawala. Kitendo hiki kinadhoofisha Serikali na sio kitendo ch kushabikia hata kidogo, na ndio maana kuna sheria ya bunge dhidi ya kitendo hicho. Bahati nzuri Serikali yenyewe in huruma huruma hivi.

Lakini la pili ni kuwa, tunataka sasa kuhalalisha ushiriki wa watumishi wa umma kwenye siasa. Hii ni hatari nyingine. Kitendo cha kunajisi utumishi wa umma na siasa, aidha kusaidia Chama Tawala au Chama cha Upinzani ni kitendo cha hatari na kukemea. Watumishi wa umma wakifanya kazi kisiasa hakuna maendeleo yatakayopatikana na hatari ya hujuma aidha dhidi ya wapinzani au serikali inaweza kuwa kitu cha kawaida. Sioni tatizo lolote kuhusu Waraka huo wa kukataza watumishi wa umma kutoshiriki shughuli za siasa. Waraka haukatazi mtumishi wa umma kuwa mwanachama, kinachokatazwa ni kuwa kiongozi wa chama au kufanya shughuli za chama cha siasa mahala pa kazi. Waraka huu unawasaidia pia CHADEMA kuliko tunavyotaka kuaminishwa. Watumishi wa Umma wakiamua kutumika dhidi ya CHADEMA ustawi wa Chama hicho utakuwa mashakani. Inawezekana walioko kwenye utumishi wa umma wakawa CCM wengi kuliko CHADEMA kama ambavyo inawezekana pia wakawa CHADEMA wengi kuliko CCM. Lengo la Waraka huu ni kulinda maslahi ya umma wote na haki yao ya kupata haki na huduma kutoka katika utumishi wa umma bila kujali itikadi. Pengine nielezwe humu ni nchi gani na wapi ambapo utumishi wa umma wanaruhusiwa kujihusisha na siasa za vyama mahala na wakati wa kazi? Kwa nini sisi tuwe wa kwanza?

Tusikubali kutumiwa kuhalalisha mbinu haramu kwa sababu tu ya kutaka kufikia maslahi yetu ya kisiasa. CHADEMA wakumbuke, mbinu hizo hizo zitatumika dhidi yao wakiwa madarakani.

Ndugu yangu Sheba utaniwia radhi kwa lugha nitakayoitumia kupingana na hoja zako.

1. Usifikri Dr. Slaa ni mjinga na wala Watanzania ni wajinga. Unapaswa kuelewa kipi hasa kinachostahili kuwa siri ya serikali katika maana halisi na kipi hakistahili. Ipo sheria zinazotumika kulinda siri za serikali na hivyo anayezitoa na anayesitumia anastahili kushtakiwa kwa mujibu wa sheria hizo( kwa sasa sina muda wa kuzirejea). Mwamvuli wa sheria hizo usitumike kutuletea uposhaji kama wa kwako. Dr. Slaa hata siku moja hatashtakiwa kwa sheria hizo kwa maana yako ya uelewa wa siri za serikali. Hizo zinazotajwa kuwa ni siri ya serikali ilistahili kuitwa upumbavu wa serikali.

Wakati fulani Dr. Slaa alipokuwa mbunge alisema anazo nyaraka za serikali na ushahidi kuhusu wizo wa EPA na Richomodn nk. Aliibuka waziri mmoja kwamba Dr. Slaa atachukuliwa hatua za kisheria kwa kukutwa na nyaraka za serikali. Upande mwingine Spika akasema kuwa ushahidi wa Dr. Slaa ni feki kwa sababu ameutoa kwenye mitandao. Kuhusu kushtakiwa, Dr. Slaa aliwaambia wakamshtaki lakini hakuna hata mmoja aliyefanya hivyo. kwa suala la Richmond hakuna asiyefahamu yaliyotokea. Hakuna mahala popote duniani ambapo wizi unaendeshwa na serikali halafu useme ni siri isipokuwa hapa Tanzania.

Matumizi ya serikali yanapitishwa na bunge katika vikao vya bajeti, huu uchukuaji wa fedha kutoka benki kuu kwa ajili ya matumizi yasiyoeleweka ndiyo siri ya serikali? Bwana Sheba kama una akili ambayo imeacha kufikiri tafadhali usitumie kutoa mawazo kama hayo kwa Watanzania wenzako. Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atakayekubalina na upumbavu wako.

Waraka wa serikali kwa Makatibu Tawala kuhusu suala la kuandikisha watumishi na vyama vyao ni aina ya upumbavu mwingine wa serikali. Watumishi wanaongozwa na kanuni na miongozo ya kiutumishi. Maagizo kama hayo hayana sifa ya kuwa nyaraka za siri za serikali kwa sababu yana malengo mabaya na yana harufu ya Chama tawala kinachotamani kubaki madarakani kwa nguvu na siyo kwa ridhaa ya wananchi. Kama kanuni za utumishi hazikutaka watumishi watoe taarifa zao za uanachama katika vyama vya siasa, kumetokea nini hadi makatibu tawala waagizwe kufanya kazi ya kishushushu kazi ambayo hata TISS imewashinda kuifanya kwa ajili ya maslahi ya umma?

Kila mwananchi analo jukumu la kuilinda serikali iliyo halali. Kwa sasa Serikali hii ya CCM inaonekana haipo kwa ajili ya maslahi ya umma na wautu hawana hamu ya kuiona inaishi. Kama serikali inaamua kuwanyanyasa wananchi iliopaswa kuwatumikia kuna mategemeo yoyote ya kulindwa. Ni serikali ipi duniani iliyo kwa ajili ya wananchi wake inawaacha wezi wa mali za umma wanashindwa kupelekwa hata mahakamani? Ni serikali ipi inayodai wananchi waipelekee ushahidi wa wizi wa fedha za umma kama vile yenyewe haina vyombo vya kuweza kuwajua? Ni serikali gani duniani iliyo kwa ajili ya maslahi ya umma inashindwa kuwashtaki watuhumiwa hata pale ilipopelekewa ushahidi?

Ndugu Sheba, hiyo siri ya serikali unayoitaka iwe siri haistahili kuwa siri kwa wananchi wa Tanzania. Hivi wewe (mke) ukilietewa siri ya mkuwa mumeo ana hawara utaichuliaje? Huyo aliyekuletea siri utamwona ni mtu mbaya? Kwa mantiki hiyo, kama Wananchi wa Tanzania ndiyo wanye mamlaka ya mwisho juu ya nchi yao, unadhani siri inayohusu serikali kuwaibia wananchi mali zao na kuibaka demokrasi yao inastahili kuwa siri, na kuwa ni kitu kibaya wananchi kuifahamu?
 
Nchi hii tunacheza michezo ya hatari kweli. Hainiingii akilini kama tunaweza kuthubutu kushabikia kitendo cha mtu kuiba nyaraka ya serikali wenyewe tunasema 'akamata'. Kuiba nyaraka ya serikali ni jambo la hatari kwa uhai wa taifa lolote haijalishupi umefanywa na nani? Leo Dr. Slaa anaiba nyaraka ya Serikali na tunamshangilia. Mbinu hii itatumika dhidi ya Serikali ya CHADEMA siku itakapojaaliwa kuingia madarakani. Mchezo huu ukiendelea, hakuna Serikali itakayotawala. Kitendo hiki kinadhoofisha Serikali na sio kitendo ch kushabikia hata kidogo, na ndio maana kuna sheria ya bunge dhidi ya kitendo hicho. Bahati nzuri Serikali yenyewe in huruma huruma hivi.

Lakini la pili ni kuwa, tunataka sasa kuhalalisha ushiriki wa watumishi wa umma kwenye siasa. Hii ni hatari nyingine. Kitendo cha kunajisi utumishi wa umma na siasa, aidha kusaidia Chama Tawala au Chama cha Upinzani ni kitendo cha hatari na kukemea. Watumishi wa umma wakifanya kazi kisiasa hakuna maendeleo yatakayopatikana na hatari ya hujuma aidha dhidi ya wapinzani au serikali inaweza kuwa kitu cha kawaida. Sioni tatizo lolote kuhusu Waraka huo wa kukataza watumishi wa umma kutoshiriki shughuli za siasa. Waraka haukatazi mtumishi wa umma kuwa mwanachama, kinachokatazwa ni kuwa kiongozi wa chama au kufanya shughuli za chama cha siasa mahala pa kazi. Waraka huu unawasaidia pia CHADEMA kuliko tunavyotaka kuaminishwa. Watumishi wa Umma wakiamua kutumika dhidi ya CHADEMA ustawi wa Chama hicho utakuwa mashakani. Inawezekana walioko kwenye utumishi wa umma wakawa CCM wengi kuliko CHADEMA kama ambavyo inawezekana pia wakawa CHADEMA wengi kuliko CCM. Lengo la Waraka huu ni kulinda maslahi ya umma wote na haki yao ya kupata haki na huduma kutoka katika utumishi wa umma bila kujali itikadi. Pengine nielezwe humu ni nchi gani na wapi ambapo utumishi wa umma wanaruhusiwa kujihusisha na siasa za vyama mahala na wakati wa kazi? Kwa nini sisi tuwe wa kwanza?

Tusikubali kutumiwa kuhalalisha mbinu haramu kwa sababu tu ya kutaka kufikia maslahi yetu ya kisiasa. CHADEMA wakumbuke, mbinu hizo hizo zitatumika dhidi yao wakiwa madarakani.
Hujasoma vizuri na kuelewa.Waraka unawaagiza viongozi wote kuwa wasimamie kila kitu kwa manufaa ya CCM na si kwa watanzania.FUNGUKA.
 
Yaani hapo umenena ndugu, kwanza yeye mwenyewe anajuta kuacha kugombea Ubunge, kwa sababu anazikosa posho. Hujachelewa mzee Slaa gombea tu 2015 ubunge maana uraisi huupati ng'oooo. Labda Zitto Kabwe sio wewe ambaye umejaa Ukatoliki na Uchaga na Ukanda. Tunataka aliyeshiba U-Tanzania.
Thanks God I was born on the other side of the world, otherwise ningekuwa mpumbavu kama nyie!
 
Nchi hii tunacheza michezo ya hatari kweli. Hainiingii akilini kama tunaweza kuthubutu kushabikia kitendo cha mtu kuiba nyaraka ya serikali wenyewe tunasema 'akamata'. Kuiba nyaraka ya serikali ni jambo la hatari kwa uhai wa taifa lolote haijalishupi umefanywa na nani? Leo Dr. Slaa anaiba nyaraka ya Serikali na tunamshangilia. Mbinu hii itatumika dhidi ya Serikali ya CHADEMA siku itakapojaaliwa kuingia madarakani. Mchezo huu ukiendelea, hakuna Serikali itakayotawala. Kitendo hiki kinadhoofisha Serikali na sio kitendo ch kushabikia hata kidogo, na ndio maana kuna sheria ya bunge dhidi ya kitendo hicho. Bahati nzuri Serikali yenyewe in huruma huruma hivi.

Lakini la pili ni kuwa, tunataka sasa kuhalalisha ushiriki wa watumishi wa umma kwenye siasa. Hii ni hatari nyingine. Kitendo cha kunajisi utumishi wa umma na siasa, aidha kusaidia Chama Tawala au Chama cha Upinzani ni kitendo cha hatari na kukemea. Watumishi wa umma wakifanya kazi kisiasa hakuna maendeleo yatakayopatikana na hatari ya hujuma aidha dhidi ya wapinzani au serikali inaweza kuwa kitu cha kawaida. Sioni tatizo lolote kuhusu Waraka huo wa kukataza watumishi wa umma kutoshiriki shughuli za siasa. Waraka haukatazi mtumishi wa umma kuwa mwanachama, kinachokatazwa ni kuwa kiongozi wa chama au kufanya shughuli za chama cha siasa mahala pa kazi. Waraka huu unawasaidia pia CHADEMA kuliko tunavyotaka kuaminishwa. Watumishi wa Umma wakiamua kutumika dhidi ya CHADEMA ustawi wa Chama hicho utakuwa mashakani. Inawezekana walioko kwenye utumishi wa umma wakawa CCM wengi kuliko CHADEMA kama ambavyo inawezekana pia wakawa CHADEMA wengi kuliko CCM. Lengo la Waraka huu ni kulinda maslahi ya umma wote na haki yao ya kupata haki na huduma kutoka katika utumishi wa umma bila kujali itikadi. Pengine nielezwe humu ni nchi gani na wapi ambapo utumishi wa umma wanaruhusiwa kujihusisha na siasa za vyama mahala na wakati wa kazi? Kwa nini sisi tuwe wa kwanza?

Tusikubali kutumiwa kuhalalisha mbinu haramu kwa sababu tu ya kutaka kufikia maslahi yetu ya kisiasa. CHADEMA wakumbuke, mbinu hizo hizo zitatumika dhidi yao wakiwa madarakani.

Sheba,
CCM ni wanafiki wakubwa kabisa katika nchi hii. Wakatiinawazuia wafanyakazi kujihusisha na siasa kwa sehemu za kazi IMEWARUHUSUVIONGOZI WA SERIKALI WALIOWEKWA NA UONGOZI WA CCM kujihusisha na siasa.Mawaziri,Wakuu wa Wilaya na Mikoa,Makatibu Tawala Mikoa na wilaya,Wakuu waPolisi wa Mikoa na Wilaya wanajihusishana siasa moja kwa moja. Wengi wao ni MAKADA,WANACHAMA NA WAKEREKETWA WA CCM. Wako kwenye nafasi hizokufanya siasa za CCM na ndiyo maana WANAFANYA KILA MBINU KUZUIA UPINZANI KWENYEMAENEO YAO USIFURUKUTE. Hili liko wzi kabisa na halihitaji uchunguzi wowote.
Tatizo linakuja pale mfanyakazi anapojihusisha au kushabikia upinzani. Hapo CCM watakuja nasheria ya kijinga ya kuzuia kuwa Mfanyakazi husika haruhusiwi kujihusisha nasiasa. This is a Doule standard governance!
Kuhusu hili la NYARAKA ZA SIRI kuwafikia viongozi waupinzani halina tatizo kabisa. Usifikiri Dr. Slaa huwa anaenda kuzitafuta aukuziiba hizi nyaraka. Hata kidogo. Kinachofanyika ni kuwa WAFANYAKAZI WASERIKALI WENYE UCHUNGU NA NCHI HII AMBAO HAWATAKI KUONA NCHI INAONGOZWAKIDIKTETA. Hawa wanapoona hizi nyaraka TATANISHI HUWA WANAZIPELEKA KWA UPINZANIHARAKA SANA.Mimi nawapa pongezi sana watumishi wa aina hii maana wanatupa halihalisi ya kile kinachoendelea ndani ya Serikali ya CCM ,
 
Serikali ya Jk!
Yani ni legelege na hata viongozi wao wote walionao!
Wanafikiri hii karne hii ni ile ya miaka iliyopita.....................kama haijawa kama ile chama ya KANU ya majirani zetu tukae na tuombe UZIMA tu!
 
Huu ni uzushi wa kisiasa.ameshindwa kuwadhibiti wabunge wake wanaokula posho aka ujira wa mwia anadandia asoyajua.

Wewe ndio unadandia usiyoyajua,kwa taarifa yako CDM huwa haikurupuki hapo ni ukweli mtupu,subili uone chama chako kitavyokufa kibudu.
 
Nchi hii tunacheza michezo ya hatari kweli. Hainiingii akilini kama tunaweza kuthubutu kushabikia kitendo cha mtu kuiba nyaraka ya serikali wenyewe tunasema 'akamata'. Kuiba nyaraka ya serikali ni jambo la hatari kwa uhai wa taifa lolote haijalishupi umefanywa na nani? Leo Dr. Slaa anaiba nyaraka ya Serikali na tunamshangilia. Mbinu hii itatumika dhidi ya Serikali ya CHADEMA siku itakapojaaliwa kuingia madarakani. Mchezo huu ukiendelea, hakuna Serikali itakayotawala. Kitendo hiki kinadhoofisha Serikali na sio kitendo ch kushabikia hata kidogo, na ndio maana kuna sheria ya bunge dhidi ya kitendo hicho. Bahati nzuri Serikali yenyewe in huruma huruma hivi.
Lakini la pili ni kuwa, tunataka sasa kuhalalisha ushiriki wa watumishi wa umma kwenye siasa. Hii ni hatari nyingine. Kitendo cha kunajisi utumishi wa umma na siasa, aidha kusaidia Chama Tawala au Chama cha Upinzani ni kitendo cha hatari na kukemea. Watumishi wa umma wakifanya kazi kisiasa hakuna maendeleo yatakayopatikana na hatari ya hujuma aidha dhidi ya wapinzani au serikali inaweza kuwa kitu cha kawaida. Sioni tatizo lolote kuhusu Waraka huo wa kukataza watumishi wa umma kutoshiriki shughuli za siasa. Waraka haukatazi mtumishi wa umma kuwa mwanachama, kinachokatazwa ni kuwa kiongozi wa chama au kufanya shughuli za chama cha siasa mahala pa kazi. Waraka huu unawasaidia pia CHADEMA kuliko tunavyotaka kuaminishwa. Watumishi wa Umma wakiamua kutumika dhidi ya CHADEMA ustawi wa Chama hicho utakuwa mashakani. Inawezekana walioko kwenye utumishi wa umma wakawa CCM wengi kuliko CHADEMA kama ambavyo inawezekana pia wakawa CHADEMA wengi kuliko CCM. Lengo la Waraka huu ni kulinda maslahi ya umma wote na haki yao ya kupata haki na huduma kutoka katika utumishi wa umma bila kujali itikadi. Pengine nielezwe humu ni nchi gani na wapi ambapo utumishi wa umma wanaruhusiwa kujihusisha na siasa za vyama mahala na wakati wa kazi? Kwa nini sisi tuwe wa kwanza?

Tusikubali kutumiwa kuhalalisha mbinu haramu kwa sababu tu ya kutaka kufikia maslahi yetu ya kisiasa. CHADEMA wakumbuke, mbinu hizo hizo zitatumika dhidi yao wakiwa madarakani.

Mimi nadhani hukuelewa walaka ukoje na umekurupuka kama hukukurupuka ni wewe ni miongoni mwa wanaoumwa ugonjwa wa siasa.huwezi kuwa mtanzania na mtu mzima ukajifanya huelewi siasa chafu za nchi hii.nadhani pia umeshindwa kuelewa mtumishi wa umma ni mtu wa aina gani na nani ktk utumishi huu haruhusiwi kujiuhusisha na shughuli za kisiasa.soma alama za nyakati mkuu la sivyo utaishia kuonekana kituko kwa kukurupuka kwako.:A S 465:
 
Thanks God I was born on the other side of the world, otherwise ningekuwa mpumbavu kama nyie!
Sasa kaka mbona kauli yako inatujumuisha wote.,au wewe unatuona wote hatunazo,na KAMA hujazaliwa TZ humu unafanya nini..!!.
au unisahihishe labda ulikuwa na maana kwamba hujazaliwa Tanzania upande wa wala ubwabwa..??.
 
Ametunga single mpya ili watu wamsikie akisema.
Kontena la kura limeishia wapi.
OTIS
 
Sheba, hoja tete na kipinduka nina uhakika kutokana na kauli zenu, nyinyi ni mafisadi au mnafaidika na mfumo wa kifisadi, sisi hatutaiheshimu sheria yoyote inayolenga kukinufaisha chama tawala. tutaiheshimu sheria inayolenga kustawisha taifa na wananchi kwa ujumla. huwezi kuiheshimu serikali inayoplan kutuuza kwa kutumia sheria dhaifu kuitetea nchi, nyaraka ya kutoibwa ni ile tu inayokusudia kulinda utaifa, rasilimali za taifa na wananchi kwa ujumla, hatutambui kunusuru chama, ooh maslahi ya chama yakafie mbele huko!!!!!.
 
Labda haufahamu UPINZANI ni nini na unafanyaje kazi. Vinginevyo Dr Slaa yuko sahihi kabisa kufahamu mbinu zote chafu dhidi upinzani. Uliwahi kusikia kashfa ya "Watergate"?

We wacha tu!! Kuna mizuzu humu JF mpaka inasikitisha ingawa inaelekea wapo hapa kwa maslahi binafsi!!
 
Nchi hii tunacheza michezo ya hatari kweli. Hainiingii akilini kama tunaweza kuthubutu kushabikia kitendo cha mtu kuiba nyaraka ya serikali wenyewe tunasema 'akamata'. Kuiba nyaraka ya serikali ni jambo la hatari kwa uhai wa taifa lolote haijalishupi umefanywa na nani? Leo Dr. Slaa anaiba nyaraka ya Serikali na tunamshangilia. Mbinu hii itatumika dhidi ya Serikali ya CHADEMA siku itakapojaaliwa kuingia madarakani. Mchezo huu ukiendelea, hakuna Serikali itakayotawala. Kitendo hiki kinadhoofisha Serikali na sio kitendo ch kushabikia hata kidogo, na ndio maana kuna sheria ya bunge dhidi ya kitendo hicho. Bahati nzuri Serikali yenyewe in huruma huruma hivi.

Lakini la pili ni kuwa, tunataka sasa kuhalalisha ushiriki wa watumishi wa umma kwenye siasa. Hii ni hatari nyingine. Kitendo cha kunajisi utumishi wa umma na siasa, aidha kusaidia Chama Tawala au Chama cha Upinzani ni kitendo cha hatari na kukemea. Watumishi wa umma wakifanya kazi kisiasa hakuna maendeleo yatakayopatikana na hatari ya hujuma aidha dhidi ya wapinzani au serikali inaweza kuwa kitu cha kawaida. Sioni tatizo lolote kuhusu Waraka huo wa kukataza watumishi wa umma kutoshiriki shughuli za siasa. Waraka haukatazi mtumishi wa umma kuwa mwanachama, kinachokatazwa ni kuwa kiongozi wa chama au kufanya shughuli za chama cha siasa mahala pa kazi. Waraka huu unawasaidia pia CHADEMA kuliko tunavyotaka kuaminishwa. Watumishi wa Umma wakiamua kutumika dhidi ya CHADEMA ustawi wa Chama hicho utakuwa mashakani. Inawezekana walioko kwenye utumishi wa umma wakawa CCM wengi kuliko CHADEMA kama ambavyo inawezekana pia wakawa CHADEMA wengi kuliko CCM. Lengo la Waraka huu ni kulinda maslahi ya umma wote na haki yao ya kupata haki na huduma kutoka katika utumishi wa umma bila kujali itikadi. Pengine nielezwe humu ni nchi gani na wapi ambapo utumishi wa umma wanaruhusiwa kujihusisha na siasa za vyama mahala na wakati wa kazi? Kwa nini sisi tuwe wa kwanza?

Tusikubali kutumiwa kuhalalisha mbinu haramu kwa sababu tu ya kutaka kufikia maslahi yetu ya kisiasa. CHADEMA wakumbuke, mbinu hizo hizo zitatumika dhidi yao wakiwa madarakani.

Serikali inawekwa na watu sasa iweje eti pawepo na nyaraka eti za serikali tena zenye mpango wa kuwahujumu wale tu walio wapenzi wa upinzani??
Hakuna nyaraka ya serikali kwa nchi inafuata democrasia ya kweli! huu ni ukoloni tu (Udikteta). Ikitokea cdm wakakamata uongozi wa nchi hii hakutakuwa na nyaraka tena za serikali kila kitu kitakuwa wazi kwa kila mwananchi na kwa yale mambo muhimu serikali ya cdm haiwezi kutoa maamuzi bila kuwauliza wananchi. Hiyo ndiyo serikali ya cdm itakavyokuwa. Wewe bakia na fikra zako mfu zenye mtazmo wa utawala wa kikoloni.
 
Mwongo huyo, akawadanganye hukohuko kanisani alikokuwa akitumika, mzushi huyu siwezi kumuamini hata kidogo, tangu azushe issue ya kontena la kura, mfuko wa cement kuwa 5000 na mengine mengi simwamini huyu.

Kweli wewe ni mla makombo namba 1!!! lakini siku yenu ipo na ikifika hata kama mtajificha chini ya jiwe, jiwe litasema "gamba lingine limejificha chini yangu" tutafunua jiwe na tutakuingizia vijiti masaburini kama gadaf! na huo ndo utakuwa mwisho wenye enyi Mafirauni.
 
Back
Top Bottom